Makampuni ya simu yadharau agizo la Serikali (TCRA)

Watarekebisha tuu si Raisi nae linamkera,ndo maana kalizungumzia na boss wa eneo husika kazinguliwa maana alizingua😴😴😴
 
Tuonyesheshe uzalendo tukatae kutumia bidhaa yoyote ya Vodacom. Kuanzia laini mpaka vocha. Maana mpaka leo hawajarudisha vifurushi vya awali kama serikali ilivyoagiza. Hii ni njia nzuri ya kuwakumbusha waache dharau.

Tugomee kutumia bidhaa ya vodacom kwa mwezi mzima wakipata hasara watajirekebisha.
 
IMG_20210407_102254.jpg
Nimeiona mahala.
 
Holotel wamerudisha kwa kishindo mega bundle 1000tsh Mb 1024 sawa na GB 1.2 kwa weeek na dakika 100.
 
Habari Wakuu,

Naona kuna Mitandao ya Simu hadi sasa ni kama wamekaidi Amri ya Serikali Kuhusu Vifurushi. Hivi Serikali nayo ndio imeamua Kuwafumbia macho?

Mfano wa Mitandao hiyo ni Vodacom, Tigo Je Serikali Imeshindwa Kuwafatilia?
 
Bila shaka kuna wenye hisa zao huko na ndio viongozi wetu,mama anatakiwa kua mkali sana,kuna majizi yameanza kuonekana mapema mno,yaani voda na tigo wanatesa sana watanzania
 
Habari Wakuu, Naona kuna Mitandao ya Simu hadi sasa ni kama wamekaidi Amri ya Serikali Kuhusu Vifurushi. Hivi Serikali nayo ndio imeamua Kuwafumbia macho?

Mfano wa Mitandao hiyo ni Vodacom,Tigo...Je Serikali Imeshindwa Kuwafatilia?
so far wanao mhujumu Rais wetu Mpendwa ni :
1. Geron Msigwa -kwa kukataa kufungulia magazeti.
2, Makampuni ya Simu kakata kushusha gharama za simu.
3. MATAGA

Mama tunasimama na wewe, iwe jua iwe mvua,
 
Habari Wakuu, Naona kuna Mitandao ya Simu hadi sasa ni kama wamekaidi Amri ya Serikali Kuhusu Vifurushi. Hivi Serikali nayo ndio imeamua Kuwafumbia macho?

Mfano wa Mitandao hiyo ni Vodacom,Tigo...Je Serikali Imeshindwa Kuwafatilia?
Vodacom mbona wamerudisha toka juzi
 
Bila shaka kuna wenye hisa zao huko na ndio viongozi wetu,mama anatakiwa kua mkali sana,kuna majizi yameanza kuonekana mapema mno,yaani voda na tigo wanatesa sana watanzania
Hawa jamaa sijui yanii yanii wanatesa Sana kila mtu analalamika yani
 
Kwenye matamko kama haya ndio nilikuwa namkubali jpm alikuwa apepesi macho. Mama ajitafakari sana kuhusu matamko yake asilegeze macho sana
 
Habari Wakuu, Naona kuna Mitandao ya Simu hadi sasa ni kama wamekaidi Amri ya Serikali Kuhusu Vifurushi. Hivi Serikali nayo ndio imeamua Kuwafumbia macho?

Mfano wa Mitandao hiyo ni Vodacom,Tigo...Je Serikali Imeshindwa Kuwafatilia?
Vodacom wana kiburi kwakuwa mfadhili wao mkuu ni serikali. Viongozi wote wa serikali na taasisi zake wanazo line za Vodacom, kila mwezi wanapewa vifurushi vya kutisha ambavyo hata wangetumia vipi hawawezi kuvimaliza ndani ya mwezi.

Hela wanayovuna Vodacom serikalini hata hawatuhitaji tena tunaotaka tutumie kifurushi cha sh 2,000 kwa wiki.
 
Duh
 
Back
Top Bottom