Sometime unakuta gps inakuonyesha speed hadi 80 Ila kibao kinasema 50 dadeki ni mwendo wa fine tuuu...Kuondoa speed limiter manake unaondoa speed governor kwenye gari, ili likimbie kadiri unavyotaka.
Fine ya speed ni ukivuka speed limit ya barabara, especially sehemu zenye speed camera kwa ets2 au kama kuna gari la polisi linapita karibu kwa American Truck Simulator.
Speed limit huwa inaonyeshwa pale kwenye GPS, pia kuna vibao barabarani though kwa American Truck Simulator sivionagi.
Sometime unakuta gps inakuonyesha speed hadi 80 Ila kibao kinasema 50 dadeki ni mwendo wa fine tuuu...
That's why mie nimacha routes za GB napiga routes za nchi zenye right hand driving na Volvo langu linatembea balaaaa....
Wewe bado learner wa gari, hapo unaita service centre wanakuja kukuchukua. But you pay for that.Hii game sikuwai kuicheza, nmeipakua imenivutia tatzo limekuja wakat nadrive gari ikapinduka nmeshindwa kuiinua na game imebak hapohapo. Na kuna wakat nikiwa na drive inadisplay sms kwamba gari inatakaiwa service, sijui jinsi ya kuifanyia service au inakuja sms engne malfunction nayo sijui jnsi ya kuiweka sawa engine. Msaada naomben ili niendelee kuenjoy gam
Mi natumia American Truck Simulator, je itakubali?yeah itakubali
Mkuu naomba kujua vp naweza install mods katika ETS 2 1.1.1 ?, MSAADA TAFADHARIIHiyo mpaka uadownload map ya European+Africa mod
utakua unaligongesha sana mkuu haliwezi kuharibika tu lenyeweNajaribu volvo nw ila wamenipa left hand...scania nliona kutoka london mpk armstedam linaharibika san
Unatumia mtandao gani wa internet?naombeni msaada jinsi ya ku update Euro truck simulator2, game yangu ni 1.1.1
Weka kifurushi cha GB zisizopungua 2.5 halafu dowload utorrent. Ukimaliza kudownload fungua page ya piratebay then search for ets2 v1.22.2 the click to download. Then extract zip file using winrar au software nyingine yeyote. Then fanya installation. Then You you'll be ok.naombeni msaada jinsi ya ku update Euro truck simulator2, game yangu ni 1.1.1
outstanding Habari wanajf. Unaweza ukajifunza jinsi ya kubadilisha makampuni katika Euro Truck simulator 2 na ukaya replace na kubadili muonekano wa trailers pia yakawa ya makampuni ya kitanzania. nimeattach picha lakini sijui kama zitakubaliwa kutokana na mambo ya kibiashara.link hii
Safi sana, ila wakuu bado habari ya Ramani ya Tz. Au mmesahau?outstanding
0758135234Wapenz wa gem kama unahitaji nikuweke kwenye group la wapenzi wa game za android na pc niwhatsapp namba yako. 0764870930
Ee bwana umenipata kamata hiyo 0753105753 tupo wengi mkuu.Wapenz wa gem kama unahitaji nikuweke kwenye group la wapenzi wa game za android na pc niwhatsapp namba yako. 0764870930