sooo buss naendesha kabisa or n yale ya barabarani tuu like nakuwa napishana nayo tuuKuna vitu vinaitwa mods mkuu,ni file unazidownload then unaziweka ktk game lako kutokana na version ya game kulingana na mode inaweza cheza ktk version ipi. Jinsi ya kuinstal mods unaweza angalia hapana kuzipata hizo mods za mabasi ingia hapa na uhakikishe mod unayoidownload inaweza kucheza ktk version ya game lako Bus | ETS2 Mods Car / Bus | ETS 2 Mods Buses kila lakheri
Unaendesha kabisa mkuusooo buss naendesha kabisa or n yale ya barabarani tuu like nakuwa napishana nayo tuu
Hapa mapunda sijakuelewa. Computer core i5 na hii 750 ni nini?ETS2 ON CORE I5 AND 750 TI
Processor ni intel core i5 2400@ 3.1 ghz na graphics card ni nvidia gtx 750 TI 2gb mkuu.Hapa mapunda sijakuelewa. Computer core i5 na hii 750 ni nini?
hujanifikia nna garage 14 magar 32 naendesha benz linanipa raha kwa kwelTutambiane kidogo, ETS 2 nani yuko Level ya juu na anamiliki gari nyingi, bila kutumia mods?
Mimi niko level 34.
Kampuni yangu ina trucks 8.
Bank kuna 300,000+.
Naendesha Scania Streamline Topline.
Explored 66% of World Map (ETS version 1.20.1)
Profit / Last 7 days 500,000+
Tutambiane kidogo, ETS 2 nani yuko Level ya juu na anamiliki gari nyingi, bila kutumia mods?
Call of duty zmejaa online tu.. Ingia Oceanofgames.com au Ovagames.com utapata... Au kama upo kibaha karibu mimi nina call of Duty zote..Hivi naweza pata wapi mchezo wa "CALL OF DUTY" kuanzia ya 2,au 3 hata 4?!
Au kama kuna mchezo mwingine wowote wa kijeshi ambao una silaha za kisasa na zana za kutosha........
Tupo mkuuHabari wakuu, mpo?
Nifundishe namna ya kuhack basi....nimecheza sana euro truck simulator 2 PC ikazingua nikaanza upya nikaamua nihack xp na hela xo saiv byee
Ni pm namba yako mkali nikuchekiCall of duty zmejaa online tu.. Ingia Oceanofgames.com au Ovagames.com utapata... Au kama upo kibaha karibu mimi nina call of Duty zote..
Mi naona kuhack kunapunguza utamu wa gemu lenyewe, raha yake kustrugle.nimecheza sana euro truck simulator 2 PC ikazingua nikaanza upya nikaamua nihack xp na hela xo saiv byee
Hivi naweza pata wapi mchezo wa "CALL OF DUTY" kuanzia ya 2,au 3 hata 4?!
Au kama kuna mchezo mwingine wowote wa kijeshi ambao una silaha za kisasa na zana za kutosha........