Baada ya kikao wamekuja kwa nguvu
Tlaataa
Trol jf
Lucas mwashambwa
Bado tu kengele ya propaganda za kichovu haijagonga tu?
jikite tu moja kwa moja kwenye hoja mahususi mezani gentleman bila kumbwelambwela vitu useless jukwaani na itapendeza zaidi πŸ’
 
jikite tu moja kwa moja kwenye hoja mahususi mezani gentleman bila kumbwelambwela vitu useless jukwaani na itapendeza zaidi πŸ’
Ajenda yetu ya 2030 mmeihifadhi wapi
 
Wala hatuyumbishwi na hizo swagaa tuko na Makamu Mwenyekiti hizo ni siasa nyepesi mmetoka na ulaji wa michango mmehama kwenye usaliti

Passport ni yake binafsi inahusiana vip na CDM

NIDA number inahusiana vip na CDM

MAMBO BINAFSI YASIHUSUSHWE NA CDM

HATA KIDOGO Mh Sana Kiongozi wa Chama kikuu cha siasa nchini kwetuu songa mbele .

Tuko na wewe tena weka number uokotee chochote kituu
 
Ajenda yetu ya 2030 mmeihifadhi wapi
Gentleman,
kwamba agenda yenu ya kumbanudua heche uongozini ni mpaka 2030?

kwamba ufisadi na usaliti wake mnamkenulia tu right?πŸ’
 
ok.
relax bas gentleman,
hata ufisadi pamoja na usaliti,
heche anafanya kwa maslahi yake binafsi na familia yake πŸ’
 

Ukiona asiyekutakia mema analalama ufanyayo basi shikilia hapohapo, Heche yuko njia sahihi na Supporter namba moja wa afanyayo ni mwenyekiti wake Lissu.
 
Heche ni mtu hatari sana. Kamdhulumu mangi Lema mgawo wake wa tonetone, Lema akaamua kuweka usaliti wake hadharani. Heche ni mkurya mwenye asili ya uchagani kwa sababu anapenda hela balaa.
In fact,
baada ya hukumu ya uhaini, ni wazi haitachukua muda atabanduliwa uongozini πŸ’
 
Moja ya post za kipuuzi kuwahi kuziona
 
View attachment 3669885View attachment 3669886View attachment 3669887
hivi havihusiani na hoja mahususi mezani gentleman, right?πŸ’

Naamini umeona jinsi inavyohusiana.
 
Makamu wa raisi Dk. Emmanuel Nchimbi mbona hajaenda kutoa pole kwa chura aka kizimkazi?
Kazi ni kipimo cha utu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…