ok.
relax bas gentleman,
hata ufisadi pamoja na usaliti,
heche anafanya kwa maslahi yake binafsi na familia yake πŸ’
Man ukija na siasa nyepesi lazima tukujibu Manny.
Tulia sio kila unalosikia kwenye social media unaleta hapa while huna evidence zaidi ya kusikia manny.
Jipw muda na uweke ushaidi sio kumsikiliza akina Mchome na Odera wasiojua wanataka

Manny tulia usipaniki Manny

Heche tutamlindaa
 
Andiko km hili Wala halina nafasi Kwa jamii yetu kabisa, unapata wapi nguvu ya kuanza kutunga mauongo kiasi icho....alafi unafaidika nini zaidi ....
 
gentleman,
situmii mitandao na wala sifahamu jinsi ya kuitumia zaidi ya JF.
Binafsi mambo muhimu yote nawasiliana na ofisi za wahusika kujiridhisha na hatimae ndio napata cha kueleza humu jukwaani.

na be free to reply my comments as you wish and everything gonna be alright.

ni ngumu kumlinda fisadi na msaliti pale Chadema πŸ’
 
Andiko km hili Wala halina nafasi Kwa jamii yetu kabisa, unapata wapi nguvu ya kuanza kutunga mauongo kiasi icho....alafi unafaidika nini zaidi ....
wajibu wangu ni kueleza ukweli mtupu kwenye mambo ya msingi tu gentleman regardless ya mihemko au makasiriko ya mdau yeyote yule wa Jf,

I'm sorry to say that light truth gentleman πŸ’
 
wajibu wangu ni kueleza ukweli mtupu kwenye mambo ya msingi tu gentleman regardless ya mihemko au makasiriko ya mdau yeyote yule wa Jf,

I'm sorry to say that light truth gentleman πŸ’
Ukweli ni upi apo kwani una evidence....?
Au umeshalewa posho za Lumumba...
 
Itisheni kikao cha halmashauri kuu mumjadili kuhusu tuhuma zenu.
 
Itisheni kikao cha halmashauri kuu mumjadili kuhusu tuhuma zenu.
baraza kuu la chadema taifa limeyeyushwa kisayansi sana na heche,

ila akajisahau na akadhani kwamba jambo lake la ufisadi limekwisha ,
sasa limeibuka la usaliti, atapona kweli gentleman?
 
Manny nina uhakikia lile genge la.kusema makamu mwenyekiti kala hela ndio wewe na wenzankoo na sijui Heche anamuhujumu asitoke
Lissu aliwajibu juzi hapa sijui mkajikausha kama sio nyini leo mmekuja tena na oo hujuma .hapa mtapotean tuu

Huna ushaidi wowote kama unayo weka hapa tuone .

Manny check michongo mingine hii itaisha tuu j5 mtafute lingine.

Cc Lucas Mwashambwa maana namuona hapa anaweka vionjo vyake
 
baraza kuu la chadema taifa limeyeyushwa kisayansi sana na heche,

ila akajisahau na akadhani kwamba jambo lake la ufisadi limekwisha ,
sasa limeibuka la usaliti, atapona kweli gentleman?
Mlitaka muharibu maana mnachuki kama nini tuliwasomaa mapemaa!
 
baraza kuu la chadema taifa limeyeyushwa kisayansi sana na heche,

ila akajisahau na akadhani kwamba jambo lake la ufisadi limekwisha ,
sasa limeibuka la usaliti, atapona kweli gentleman?
Simba anapokasirika kumuona swala anakula nyasi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…