files na risiti za ufisadi na usaliti wa heche zipo na, zitawekwa wazi kwa wakati muafaka kwenye vikao husika hususani Baraza kuu la chadema taifa na hapo ndipo mbivu na mbichi zitabainishwa.

ni muhimu sana kua wastahilivu na wenye subra. Acheni wadau wa JF wajadili ufisadi na usaliti wa heche kwa uhuru πŸ’
 
Mmekuja kutuchota? Ili mjue plan B sio ?🀫
 
Mmekuja kutuchota? Ili mjue plan B sio ?🀫
Gentleman,
hebu wafafanulie wadau wa JF kwa kina kirefu kidogo gentleman kuhusu hiyo nahau yako na itapendeza zaidi πŸ’
 
Tangu lini cccm wakawa washauri wema kwa chadema haya ni maajabu kweli
wataalamu wabobevu waandamizi wa masuala ya kisiasa,
hua tunaeleza ukweli mtupu kwenye mambo ya msingi tu gentleman πŸ’
 
wataalamu wabobevu waandamizi wa masuala ya kisiasa,
hua tunaeleza ukweli mtupu kwenye mambo ya msingi tu gentleman πŸ’
Wewe ni mtupu kichwani kama kweli wewe ni mbobevu niambie Nchimbi yupo wapi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…