muerevu jikite kwenye hoja mahususi mezani bila kuweweseka au kujaribu kuhamisha mjadala mahususi uliopo mezani,Wewe ni mtupu kichwani kama kweli wewe ni mbobevu niambie Nchimbi yupo wapi
CHADEMA ni lazima wadhibitiweTangu lini cccm wakawa washauri wema kwa chadema haya ni maajabu kweli
Kwanini wadhibitiwe?CHADEMA ni lazima wadhibitiwe
Kw sababu hawajitambuiKwanini wadhibitiwe?
Kujitambua ndio kuwaje?Kw sababu hawajitambui
Mmefanya kila hila mmeshindwa.Kuna watu wanakitenganisha chadema na hawa wahuni ili chama kisifutwe. Chini ya Lissu na Heche chadema inaweza kufutwa kwwnye daftari, hasa pale wahuni wanapojitahidi kumkwepesha Lissu na kukiingiza chama kwamba ndicho chenye mkakati ule wa No reforms no election uliozaa vurugu za oct29. Kuna watu ndani ya chama wanataka Lissu na kundi lake waubebe mzigo wao ili chama kibaki salama.
Chadema haihusiki na haya hapa maneno:
https://www.facebook.com/
View: https://www.facebook.com/watch/?v=988605313638635
Sasa hivi tuna jambo moja tuu kesi ya mwenyekitiii mkutano wa kamati kuuu ipo tuu mwenyekiti ndio wamuhimu.kuharibu nini kwa mfano gentleman?
ufisadi na usaliti unaharibiwa kwa kuwatimua wahusika wakuu wa hiyo nonsense gentleman π
Tuombeane heri, mambo ni mengi sana.Baada ya kuandamwa na tuhuma za ufisadi na matumizi mabaya ya madaraka na rasilimali za chama kwa maslahi yake binafsi na familia yake,
Makamu mwenyekiti wa chadema taifa ameendelea kuandamwa na tuhuma mbalimbali, na hivi sasa anaandamwa na tuhuma za usaliti, ambazo zinaelekezwa kwake na baadhi ya viongozi wenzake wa kamati kuu taifa, lakini pia na baadhi ya wanachama wa kawaida wa chadema. Kiongozi huyo anatuhumiwa kuhujumu kwa makusudi msimamo wa chama na kudhoofisha jitihada zote za kuhakikisha mwenyekiti wa chadema taifa anakua huru.
Imeelezwa kwamba,
usaliti wake umetokana na kuwasiliana na mamlaka za serikali kwa siri, lakini pia ni mienendo yake inayoonyesha wazi, makamu mwenyekiti huyo wa chadema taifa, anapendelea zaidi mwenyekiti wake taifa atiwe kitanzi ili yeye aendelee kula mema ya chadema.
Una maoni gani kuhusiana na hili?π
Mungu Ibariki Tanzania
Naona Leo umepost kama Taahira na kuwahi kureply kama Luka Majoka.Wauane tu Maana hawana Faida yoyote ile hapa Duniani na hata Mbinguni
Inashangaza sana kuona shetani akisimulia uzuri na shughuli za Mbinguni ilihali kwake ni shimoni kuzimu.Unadhani ni nini kinachochea hali hii kuanza mapema kiasi hiki hata kabla ya hukumu ya mwenyekiti wao? Au ni ule usaliti unaotajwa ndio unaanza kujidhihitisha wenyewe taratibu ndani ya chadema?
Je,
baadhi ya viongozi walio katika harakati hizo wana taarifa za uhakika dhidi ya matokeo ya kesi inayomkabili mwenyekiti wao? Na wamezipata wapi taarifa hizo?
Kama mdau wa jukwaa hili la siasa jf, unadhani ni wakati muafaka sasa kwa baadhi ya viongozi wa kamati kuu ya chadema taifa wanao mezea mate nafasi ya mwenyekiti wa chadema taifa, kuanza kupigana vikumbo na kuanza mipango na mikakati ya chini kwa chini ya kutafuta kuungwa mkono na kurithi nafasi hiyo ya kitaifa ndani ya chadema?
Ukimtazama facial expressions zao, tones, body language na mienendo yao ya kisiasa ndani ya chadema, unadhani ni nani na nani hasa,
ndio wako kwenye fire, wakpigana vikumbo kwa wajumbe wa baraza kuu na wa mkutano mkuu wa chadema taifa huko mikoani? Je unaona ni sahihi au ndio ile kufa kufaana?π
Mungu Ibariki Tanzania
Acha Ujinga Wako hapa wewe ππNaona Leo umepost kama Taahira na kuwahi kureply kama Luka Majoka.
Naona unaingilia Dirishani unatokea Mlangoni.Acha Ujinga Wako hapa wewe ππ
Achaga ushoga,****** utapasuka huwo.Unadhani ni nini kinachochea hali hii kuanza mapema kiasi hiki hata kabla ya hukumu ya mwenyekiti wao? Au ni ule usaliti unaotajwa ndio unaanza kujidhihitisha wenyewe taratibu ndani ya chadema?
Je,
baadhi ya viongozi walio katika harakati hizo wana taarifa za uhakika dhidi ya matokeo ya kesi inayomkabili mwenyekiti wao? Na wamezipata wapi taarifa hizo?
Kama mdau wa jukwaa hili la siasa jf, unadhani ni wakati muafaka sasa kwa baadhi ya viongozi wa kamati kuu ya chadema taifa wanao mezea mate nafasi ya mwenyekiti wa chadema taifa, kuanza kupigana vikumbo na kuanza mipango na mikakati ya chini kwa chini ya kutafuta kuungwa mkono na kurithi nafasi hiyo ya kitaifa ndani ya chadema?
Ukimtazama facial expressions zao, tones, body language na mienendo yao ya kisiasa ndani ya chadema, unadhani ni nani na nani hasa,
ndio wako kwenye fire, wakpigana vikumbo kwa wajumbe wa baraza kuu na wa mkutano mkuu wa chadema taifa huko mikoani? Je unaona ni sahihi au ndio ile kufa kufaana?π
Mungu Ibariki Tanzania
Tokea asubuhi unamkatia miuno dully hapaUnadhani ni nini kinachochea hali hii kuanza mapema kiasi hiki hata kabla ya hukumu ya mwenyekiti wao? Au ni ule usaliti unaotajwa ndio unaanza kujidhihitisha wenyewe taratibu ndani ya chadema?
Je,
baadhi ya viongozi walio katika harakati hizo wana taarifa za uhakika dhidi ya matokeo ya kesi inayomkabili mwenyekiti wao? Na wamezipata wapi taarifa hizo?
Kama mdau wa jukwaa hili la siasa jf, unadhani ni wakati muafaka sasa kwa baadhi ya viongozi wa kamati kuu ya chadema taifa wanao mezea mate nafasi ya mwenyekiti wa chadema taifa, kuanza kupigana vikumbo na kuanza mipango na mikakati ya chini kwa chini ya kutafuta kuungwa mkono na kurithi nafasi hiyo ya kitaifa ndani ya chadema?
Ukimtazama facial expressions zao, tones, body language na mienendo yao ya kisiasa ndani ya chadema, unadhani ni nani na nani hasa,
ndio wako kwenye fire, wakpigana vikumbo kwa wajumbe wa baraza kuu na wa mkutano mkuu wa chadema taifa huko mikoani? Je unaona ni sahihi au ndio ile kufa kufaana?π
Mungu Ibariki Tanzania
Nadhani haya yanasemwa zaidi na wafuasi wa CCM na/au watu ndani ya CHADEMA wasiokitakia mema chama chao.Baada ya kuandamwa na tuhuma za ufisadi na matumizi mabaya ya madaraka na rasilimali za chama kwa maslahi yake binafsi na familia yake,