Makamu wa Rais, Samia Suluhu amtembelea Tundu Lissu hospitalini Nairobi

shukrani
 
hivi unafikiri rais hajui kuhusu makamu wake kwamba atapita kumuona Lisu? hivi unaelewa vizuri shughuli za serikali na viongozi? au tunaandika tu kwa kadri ya miemko yetu?
 
..kwanini sauti inaanza na kuishia na salamu za TL kwa Raisi?

..kwanini tukio zima la Makamu wa Raisi halikurekodiwa badala yake kimerekodiwa kipande kifupi tu?

..ni kweli TL ametuma salama kwa Raisi Magufuli. Lakini video hii inaonekana kurekodiwa kwa lengo moja tu la kupata sauti ya TL akifanya hivyo and nothing else.

..Itapendeza kumjua aliyerekodi na kusambaza tukio hili.
 
Ina maana kumbe tuna balozi huko? mbona sikuzote hakwenda?
tena pindi chana huyu si mtu w asingida huyu na lissu si ndugu yake kabisa au ?


Naomba niseme ukiangalia chain ya haya matukio kwa macho matatu utagundua kuwa Mungu wa ajabu sana!!
 
atafikisha salamu kama vile mgonjwa alivyoomba ..... mmmhh ngoja tuone
 
Balozi hakujuwa kuwa Lisu amelazwa Nairobi?Haya anayoyafanya ni kwa utashi wake au kuna nguvu ya nje ya utashi wake?Maana inasababisha maswali mengi kuliko majibu.
 
Watu wengine fikra zao ni mgando,kwani Lisu amelazwa jana? miezi mingapi imepita sasa?Sasa nyie mnapongeza nini? Kwanini mnajitoa ufahamu?
Watu wengine fikra zao kama kiroboto hawajawahi kwenda kumsalimia Lisu ila wanahoji kwa nn fulan kaenda leo eti alikuwa wapi siku zote.......? Kwa nn mnajitoa ufahamu......?
 
She has opened the gates for everyone who is in fear. Her visitation will summon many vide such incidence
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…