Makamu wa Rais, Samia Suluhu amtembelea Tundu Lissu hospitalini Nairobi

Nasikia huko alienda kwa nauli yake mwenyewe. Aliamka tu asubui akaanza safari ya ubelgiji kumuona mzee wa MIGA.
 
Whatever hakuna lisilowezekana maana hata mshahara wake unamruhusu.
Na kutoa ni moyo
Nasikia huko alienda kwa nauli yake mwenyewe. Aliamka tu asubui akaanza safari ya ubelgiji kumuona mzee wa MIGA.
 
Ni mashetani tu na kifo chao ndiyo hukumu yao
Kweli shetan haina rafiki.Nyie vibwengu wa Lumumba mkiulizwa kosa la Lissu mnatoa mishuzi ka nguruwe. Lissu kawakosea nn zaid ya tofaut zà kisiasa mpaka mfikirie kumuua kana kwamba nyie hamtakufa?
 
Yaani inaniuma Sana nikifikilia Lissu alikuwa na hali gani mda Kama huu na tarehe Kama ya leo halafu likondomu moja linakuja kutimiza humu
 
Aisee inatia uchungu sana lkn bado kuna baadhi ya miungu watu wanadai kuwa hawajui yupo wapi kisa hakuwaaga
 
Back
Top Bottom