Makamu wa Rais, Samia Suluhu amtembelea Tundu Lissu hospitalini Nairobi

Bado nipo airport nasubiri ujio wa lissu,ndege karibu zote zimetua,nasubiri labda ataingia na Rwandair
 
Alafu eti wanasema hawajui Tundu Lisu yypo wapi daaaaah
 
Hakuna zuri unaloweza kufanya hata likafunika uovu mkubwa kama kuua, kuteka, kupoteza watu na kuteka.

Hakika hakina atendaye hayo au aungaye mkono hayo halafu asiwe ibilisi au wakala wake. Hata kama mtu huyu anakesha hekaluni au msikitini, hata kama kitanda chake ni madhabahu, ukiona mtu anayatenda hayo ujue ni shetani au ni mbeba roho ya shetani hata kama sura na umbile lake ni la kibinadamu.

Wanadamu wenye Roho ya Mungu ni hekima kujitenga na shetani na fahari zake, hata kama fahari hizo ni zenye kupendeza machoni.

Kumbukeni enyi wanadamu kuwa kuna kuanguka na kutenda dhambi ambako ni tofauti kabisa na kuuabudu na kuutumikia utawala wa shetani. Hata tukitenda dhambi, tukitubu na kuacha dhambi, tunapata msamaha wa dhambi na kutakaswa LAKINI hakuna msamaha kwao waishio na kuutumikia utawala wa shetani.
 
Naunga mkono hoja, huyu mama...
Basi tuu, kuna Uzi nilijaribu kumuelezea, hakuna maneno ya kutosha kutuelezea, na sii wengi wanaojua kuwa tuko hapa tulipo kwa sababu yake, asingekuwepo, saa hizi tungekuwa tunazungumza mengine!.
P
Hakika kabisa kaka kwa hili tupo pamoja
 
Hakuna zuri unaloweza kufanya hata likafunika uovu mkubwa kama kuua, kuteka, kupoteza watu na kuteka.

Hakika hakina atendaye hayo au aungaye mkono hayo halafu asiwe ibilisi au wakala wake. Hata kama mtu huyu anakesha hekaluni au msikitini, hata kama kitanda chake ni madhabahu, ukiona mtu anayatenda hayo ujue ni shetani au ni mbeba roho ya shetani hata kama sura na umbile lake ni la kibinadamu.

Wanadamu wenye Roho ya Mungu ni hekima kujitenga na shetani na fahari zake, hata kama fahari hizo ni zenye kupendeza machoni.

Kumbukeni enyi wanadamu kuwa kuna kuanguka na kutenda dhambi ambako ni tofauti kabisa na kuuabudu na kuutumikia utawala wa shetani. Hata tukitenda dhambi, tukitubu na kuacha dhambi, tunapata msamaha wa dhambi na kutakaswa LAKINI hakuna msamaha kwao waishio na kuutumikia utawala wa shetani.
Wanasahau kuwa mbele ya Mungu wote tuna haki sawa
 
Back
Top Bottom