Makamu wa Rais, Samia Suluhu amtembelea Tundu Lissu hospitalini Nairobi

1601787292344.png
 
Serikali ina husika ,hakuna mpinzani anae weza kuondoa Askari eneo linalo lindwa 24 HRS /hakuna mpinzani anae weza kunyofoa kumukimbu za Camera kwenye Nyumba ya Kalemani (Kiongozi).Milio ya Risasi Mchana kweupe kwa hawa Askari wetu asikamatwe hata Mtu mmoja mpaka leo !!!...
SO?
 
Utakuwa umenielewa Mkuu,hivyo tuache tuendelee kuinyooshea kidole Serikali katika hili kwa Sababu imeshindwa kuwajibika kwenye jambo ambalo lipo wazi kabisa.
 
Mkuu serikali inadai shahidi muhimu ambaye ni dreva mmemkatalia- unasemaje kuhusu hilo?
 
Hilo halina mantiki Mkuu ,kama ange fariki ktk tukio lile Uchunguzi usinge fanywa ?.
 
Anaweza hojiwa hata kwa simu wakitaka au wanaweza changiwa nauli kwenda kumhoji ulaya sio mbinguni unaenda asubui jioni unarudi.
Wasijifichie huko
 
Hilo halina mantiki Mkuu ,kama ange fariki ktk tukio lile Uchunguzi usinge fanywa ?.
Mkuu- unamaana gani unaposema halina mantiki- ninadhani hujitendei haki- companion wa victim, aliyekuwepo wakati wa tukio, aliyeona kwa macho yake mwenyewe- asiwe muhimu kwa upelelezi!-Si bure mkuu utakuwa umelogwa
 
Back
Top Bottom