Makamu wa Rais, Samia Suluhu amtembelea Tundu Lissu hospitalini Nairobi

Aisee inatia uchungu sana lkn bado kuna baadhi ya miungu watu wanadai kuwa hawajui yupo wapi kisa hakuwaaga
Hizo risasi angepigwa ngu-gay kwenye makazi yake Dom wangemu bebelea kumpelekea Muhimbili? Wangemfutia mshahara? Wangemfutia ubunge? Hapo alipo ameligarimu taifa bill 27 kwa ugonjwa usiojulikana.
 
Hivyo jamaa anaumwa ugonjwa gani maana hata maamuzi yake yanatia mashaka sana
Hizo risasi angepigwa ngu-gay kwenye makazi yake Dom wangemu bebelea kumpelekea Muhimbili? Wangemfutia mshahara? Wangemfutia ubunge? Hapo alipo ameligarimu taifa bill 27 kwa ugonjwa usiojulikana.
 
Kumbuka huyo ni mama na anatumbo la uzazi anayajua machungu ya kumlea mtoto hadi kufika hatua aliyo ifikia lisu , kwa mama hiyo ni kazia kubwa sana na yenye maumivu makali sana na ndio mana alitoa chozi
Sawa lakini zuzu hilo lina kwenda kusambaza uongo usio na tija kwa Taifa letu eri Magufuli anaua watu na dictator.

Linajiona Ulimwengu mzima unamfahamu yeye. Hakuna mtu anamjua yeye zaidi ya baadhibya wa eastafricans.

Njama zao za kumpindua Magufuli zimeshindwa.

Sisi ni waswahili bwana. Hatutumii kiingereza wala kiarabu. Sio rahisi kutushawishi ujinga kwa sababu wanaotushawishi hawajui kiswahili ndiyo maana hawawezi.
 
Umekorogwa wewe siyo bure

Kwani siyo kweli kuwa huyo mzee meko anaua watu
 
Hakika mama Samia Suluhu Hassan ni kiumbe aliyejawa na utu na huruma kwa watanzania.

Hii picha hapo chini inajionyesha kabisa kuwa yeye ni tofauti na wenzake.
Mungu akubariki mama yetu.View attachment 1200985
Naunga mkono hoja, huyu mama...
Basi tuu, kuna Uzi nilijaribu kumuelezea, hakuna maneno ya kutosha kutuelezea, na sii wengi wanaojua kuwa tuko hapa tulipo kwa sababu yake, asingekuwepo, saa hizi tungekuwa tunazungumza mengine!.
P
 
Back
Top Bottom