Makamu wa Rais, Samia Suluhu amtembelea Tundu Lissu hospitalini Nairobi

Makamu wa Rais, Samia Suluhu amtembelea Tundu Lissu hospitalini Nairobi

Mkuu- unamaana gani unaposema halima mantiki- ninadhani hujitendei haki- companion wa victim, aliyekuwepo wakati wa tukio, aliyeona kwa macho yake mwenyewe- asiwe muhimu kwa upelelezi!-Si bure mkuu utakuwa umelogwa

Sawa Mkuu.
 
Unapanga kumuuwa mwenzako ili kushibisha tumbo lako then Mungu anamponya. Ningekuwa mimi ndo muuaji kwa muujiza huu ningeviacha vyote vya dunia, ningetubu na kuutumia mda wangu uliobaki duniani kuhubiri habari njema duniani ili watu waokoke.
Maisha yenye amani duniani Ni kuwa huru kinafsi.
 
Lisu aligoma kuondoka duniani baada ya kupinga njia zisizo halali kisheria za kumuondoa duniani. Kama alishinda Sheria ya kifo je tume, polisi, watamuweza kwa Sheria?
 
Mkuu- unamaana gani unaposema halina mantiki- ninadhani hujitendei haki- companion wa victim, aliyekuwepo wakati wa tukio, aliyeona kwa macho yake mwenyewe- asiwe muhimu kwa upelelezi!-Si bure mkuu utakuwa umelogwa
Kwani Lissu hakuona?wamuhoji
 
Mkuu serikali inadai shahidi muhimu ambaye ni dreva mmemkatalia- unasemaje kuhusu hilo?
1.Shahidi muhimu aweza kuwa dereva.
2.shahidi mwingine aweza kuwa ni jirani au majirani.
3.shahidi mwingine yaweza kuwa aliyetoa camera za ulinzi.
Maelezo ya vipengele namba 2 na 3 yangesaidia wenye Mamlaka ya kiuchunguzi waweze kuwa na maelezo yenye kuweza kuijibu jamii.
Kama kuna ugumu,Vyombo vya ndani vishirikiane na vyombo vilivyobobea katika uchunguzi.
 
Mkuu serikali inadai shahidi muhimu ambaye ni dreva mmemkatalia- unasemaje kuhusu hilo?
Hivi kwa akili yako tu unafikiri serikali nzima na jeshi la polisi na intelligence yao inategemea tu uwepo wa huyo dereva?

Yaani dereva tu ndio anakwamisha upelelezi wao kwa miaka 3? Basi Kama Ni hivyo Tanpol ifumuliwe tu!
 
Huyo mama huenda alitumwa na meko kuangalia kama Lisu amedanja au ame survive ,
Sura yake anaonekana mpole kumbe ndani amejaa roho mbaya kama ya meko
Kwa huyu mama hiyo roho mbaya hapana. Naye ni mhanga kama watanzania wengine.
 
Mkuu- unamaana gani unaposema halina mantiki- ninadhani hujitendei haki- companion wa victim, aliyekuwepo wakati wa tukio, aliyeona kwa macho yake mwenyewe- asiwe muhimu kwa upelelezi!-Si bure mkuu utakuwa umelogwa
Mhusika mwenyewe Tundu mbona hajawahi kuhojiwa hadi leo? Unaanzaje kwa mashahidi wakati mhusika yupo na hakuna mpango wa kumhoji?
 
Hivi kwa akili yako tu unafikiri serikali nzima na jeshi la polisi na intelligence yao inategemea tu uwepo wa huyo dereva?

Yaani dereva tu ndio anakwamisha upelelezi wao kwa miaka 3? Basi Kama Ni hivyo Tanpol ifumuliwe tu!
Mkuu wewe ulikuwepo eneo la tukio?
 
Huyu mama ndiye aliyesema askari wa ccm akikupiga risasi tatu lazima akuue, zikikukosa anaenda kujibu mashtaka.
Aisee........hili sikuwahi kusikia! Kumbe na yeye yumo!?. Au alimaanisha mashambulizi ya maneno kwenye majukwaa ya kisiasa?
 
Imejivua nguo,wanajuta kulifanya hili.
Kuongoza watu sio kumiliki akili zao
Kuna shida kubwa sana kwa viongozi wa kiafrica, wanapochaguliwa hasa kwa nafasi ya urais, basi wanaingiwa na imani potofu kuwa wao ndio wenye akili nyingi kuliko wananchi wao wote!
 
Aisee........hili sikuwahi kusikia! Kumbe na yeye yumo!?. Au alimaanisha mashambulizi ya maneno kwenye majukwaa ya kisiasa?
Mkuu hata wewe ukiingizwa kwenye mfumo wa kiutawala wa ccm leo lazima u adopt hiyo caliber!
 
Kuna shida kubwa sana kwa viongozi wa kiafrica, wanapochaguliwa hasa kwa nafasi ya urais, basi wanaingiwa na imani potofu kuwa wao ndio wenye akili nyingi kuliko wananchi wao wote!
Ttzo katiba za afrika ndio shida.
Unampa vipi mwafrika Kinga ya kutokustakiwa then utegemee atende haki
 
Ttzo katiba za afrika ndio shida.
Unampa vipi mwafrika Kinga ya kutokustakiwa then utegemee atende haki
Sure! ndio maana inakuwa rahisi kwa kiongozi kuamua kujaza ndugu zake kwenye sekta nyeti za kifedha za nchi kisha kujipangia matumizi kadri wanavyoona wao inafaa.
 
Back
Top Bottom