Kipangaspecial
JF-Expert Member
- Mar 30, 2020
- 20,778
- 28,722
Wewe kama una akili timamu huwezi uka buy hiyo reason labda kama na wewe dish limeyumba.Mkuu serikali inadai shahidi muhimu ambaye ni dreva mmemkatalia- unasemaje kuhusu hilo?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wewe kama una akili timamu huwezi uka buy hiyo reason labda kama na wewe dish limeyumba.Mkuu serikali inadai shahidi muhimu ambaye ni dreva mmemkatalia- unasemaje kuhusu hilo?
Mkuu- unamaana gani unaposema halima mantiki- ninadhani hujitendei haki- companion wa victim, aliyekuwepo wakati wa tukio, aliyeona kwa macho yake mwenyewe- asiwe muhimu kwa upelelezi!-Si bure mkuu utakuwa umelogwa
Kwani Lissu hakuona?wamuhojiMkuu- unamaana gani unaposema halina mantiki- ninadhani hujitendei haki- companion wa victim, aliyekuwepo wakati wa tukio, aliyeona kwa macho yake mwenyewe- asiwe muhimu kwa upelelezi!-Si bure mkuu utakuwa umelogwa
1.Shahidi muhimu aweza kuwa dereva.Mkuu serikali inadai shahidi muhimu ambaye ni dreva mmemkatalia- unasemaje kuhusu hilo?
Hivi kwa akili yako tu unafikiri serikali nzima na jeshi la polisi na intelligence yao inategemea tu uwepo wa huyo dereva?Mkuu serikali inadai shahidi muhimu ambaye ni dreva mmemkatalia- unasemaje kuhusu hilo?
Kwa huyu mama hiyo roho mbaya hapana. Naye ni mhanga kama watanzania wengine.Huyo mama huenda alitumwa na meko kuangalia kama Lisu amedanja au ame survive ,
Sura yake anaonekana mpole kumbe ndani amejaa roho mbaya kama ya meko
Huyu mama ndiye aliyesema askari wa ccm akikupiga risasi tatu lazima akuue, zikikukosa anaenda kujibu mashtaka.Kwa huyu mama hiyo roho mbaya hapana. Naye ni mhanga kama watanzania wengine.
Kwahiyo dereva angalikufa jee kwahiyo angali tafutwa nani atowe ushahidi??Mkuu serikali inadai shahidi muhimu ambaye ni dreva mmemkatalia- unasemaje kuhusu hilo?
Mhusika mwenyewe Tundu mbona hajawahi kuhojiwa hadi leo? Unaanzaje kwa mashahidi wakati mhusika yupo na hakuna mpango wa kumhoji?Mkuu- unamaana gani unaposema halina mantiki- ninadhani hujitendei haki- companion wa victim, aliyekuwepo wakati wa tukio, aliyeona kwa macho yake mwenyewe- asiwe muhimu kwa upelelezi!-Si bure mkuu utakuwa umelogwa
Mkuu wewe ulikuwepo eneo la tukio?Hivi kwa akili yako tu unafikiri serikali nzima na jeshi la polisi na intelligence yao inategemea tu uwepo wa huyo dereva?
Yaani dereva tu ndio anakwamisha upelelezi wao kwa miaka 3? Basi Kama Ni hivyo Tanpol ifumuliwe tu!
Aisee........hili sikuwahi kusikia! Kumbe na yeye yumo!?. Au alimaanisha mashambulizi ya maneno kwenye majukwaa ya kisiasa?Huyu mama ndiye aliyesema askari wa ccm akikupiga risasi tatu lazima akuue, zikikukosa anaenda kujibu mashtaka.
Kuna shida kubwa sana kwa viongozi wa kiafrica, wanapochaguliwa hasa kwa nafasi ya urais, basi wanaingiwa na imani potofu kuwa wao ndio wenye akili nyingi kuliko wananchi wao wote!Imejivua nguo,wanajuta kulifanya hili.
Kuongoza watu sio kumiliki akili zao
Kama hakufa ndiyo furaha yetu- aseme alichoona- mambo yaendeleeKwahiyo dereva angalikufa jee kwahiyo angali tafutwa nani atowe ushahidi??
Sent from my TECNO CA7 using JamiiForums mobile app
Mkuu hata wewe ukiingizwa kwenye mfumo wa kiutawala wa ccm leo lazima u adopt hiyo caliber!Aisee........hili sikuwahi kusikia! Kumbe na yeye yumo!?. Au alimaanisha mashambulizi ya maneno kwenye majukwaa ya kisiasa?
Hatari sana chifu.Mkuu hata wewe ukiingizwa kwenye mfumo wa kiutawala wa ccm leo lazima u adopt hiyo caliber!
Ttzo katiba za afrika ndio shida.Kuna shida kubwa sana kwa viongozi wa kiafrica, wanapochaguliwa hasa kwa nafasi ya urais, basi wanaingiwa na imani potofu kuwa wao ndio wenye akili nyingi kuliko wananchi wao wote!
Sure! ndio maana inakuwa rahisi kwa kiongozi kuamua kujaza ndugu zake kwenye sekta nyeti za kifedha za nchi kisha kujipangia matumizi kadri wanavyoona wao inafaa.Ttzo katiba za afrika ndio shida.
Unampa vipi mwafrika Kinga ya kutokustakiwa then utegemee atende haki