Makanisa yanalipa sana! Pastor Tonny Kapola anunua eneo kwa dola milioni tatu Mwenge kwa ajili ya kujenga Kanisa

Makanisa yanalipa sana! Pastor Tonny Kapola anunua eneo kwa dola milioni tatu Mwenge kwa ajili ya kujenga Kanisa

Dogo alikuwa kajichokea, dini imebadilisha kabisa maisha yake. Ana tembelea Gari, Mercedes Benz G Guard ya zaidi ya bilioni moja.

Sasa kaja kivingine, anahama pale Millennium Tower Phase 2 na kuhamia rasmi Mwenge alikonunua eneo kwa mabilioni ya FEDHA, pale ilipokuwa Century Cinema.

Washikaji, tutafute upako ili tutoboe
Bro kanisa ni front bumper tuu
 
Kwani hizo pesa kazitoa kwa muumini mmoja?
Imagine una kanisa lenye waumini 1000 halafu kila muumini akatoa shillingi 1000 na zaidi hapo mchungaji anatoka na shillingi millioni moja na zaidi. Na ikumbukwe hiyo ni ibada moja na hapo kuna wengine watakutumia pesa kwenye simu.
Endelea na hesabu mpaka ifike bilion 7.8 ni miaka mingapi
 
Inawezekana ikawa hivyo ni ngumu kuamini kama ni sadaka tu
Namjua mtu ambaye ni partner wa kapola, wanajiita "the osborns"

wanatoa sadaka zao tofauti na zile za kanisani

aliniambia kuna partner aliwahi kutoa 400M kama shukrani

hapo bado kuna wafanyabiashara wakubwa wanatoa fungu la kumi

na fungu la kumi ni halali ya mchungaji 100%
 
Pesa ndefu sana napata mashaka kama ni sadaka tu zimempa ukwasi wote huo.
Na kama si sadakapekee, Kwa nn ameelekeza fedha zote hizo kwenye uwekezaji wa kanisa? ambapo kila mtu anaewekeza mahala anatarajia kuvuna zaidi ya hiyo ktk uwekezaji anaofanya! Mwenzie wa kawe hauoni yy anajenga matenti tu, anaogopa kuweka fedha nyingi kwenye jengo la kanisa.
 
Kagame amepiga mrufuku huu utapeli...NI afrika pekee utakuta watu wanachangishana kujenga kabisa la bilioni Ila si kufungua kiwanda au biashara ya bilons of money ....unadhani tutaendeleaa kwa hizi harambee uchwara
 
Namjua mtu ambaye ni partner wa kapola, wanajiita "the osborns"

wanatoa sadaka zao tofauti na zile za kanisani

aliniambia kuna partner aliwahi kutoa 400M kama shukrani

hapo bado kuna wafanyabiashara wakubwa wanatoa fungu la kumi

na fungu la kumi ni halali ya mchungaji 100%
Basi wanakusanya pesa nyingi sana
 
Namjua mtu ambaye ni partner wa kapola, wanajiita "the osborns"

wanatoa sadaka zao tofauti na zile za kanisani

aliniambia kuna partner aliwahi kutoa 400M kama shukrani

hapo bado kuna wafanyabiashara wakubwa wanatoa fungu la kumi

na fungu la kumi ni halali ya mchungaji 100%
Kwa wachungaji aina ya kapola, si fungu la kumi pekee lililo halali yao, ni kila mchango na matoleo ya kanisa, yule wa kawe anauza hadi karatasi za mia mia
 
Bwana unaonaje tuyatoe magugu ili ngano zikue vizur

BWANA, hapana yachen magugu na ngano zikue kwa pamoja siku za mwisho nitakuja mwenyewe kukusanya ngano na kuziweka gharani Kisha magugu nitayachoma moto

Acheni kuhukumu sawa
 
Na kama si sadakapekee, Kwa nn ameelekeza fedha zote hizo kwenye uwekezaji wa kanisa? ambapo kila mtu anaewekeza mahala anatarajia kuvuna zaidi ya hiyo ktk uwekezaji anaofanya! Mwenzie wa kawe hauoni yy anajenga matenti tu, anaogopa kuweka fedha nyingi kwenye jengo la kanisa.
Ameziweka kanisani kwa sababu ndio sehem atakapoirudisha pesa aliyoiwekeza taratibu na uzuri ni kwamba kanisa ni lake tofauti na makanisa mengi yanakuwa chini ya ushirika.
 
Back
Top Bottom