pesakilakitu
JF-Expert Member
- Aug 17, 2024
- 1,618
- 2,861
Dah Sasa nikienda ndio si ataanza kunihubiria ..Mimi nataka konekshen bwana wapi "alipotobolea"Bei Facebook anmelden
Melde dich bei Facebook an, um dich mit deinen Freunden, deiner Familie und Personen, die du kennst, zu verbinden und Inhalte zu teilen.www.facebook.com
Kula chuma ichoo
Atasali peke yake? Maana waumini walichanga ili wapate sehemu yao ya kufanyia sala zao kwa uhuru, hakuna aliyetoa sadaka ili awe mmilikiKanisa ni project yake binafsi
Ipe caption hii picha ya bishop Tina akiwa na baba wa mafisadi bongoMoney Day Avenue
Ni kweli. Tanzania kuna maeneo matatu yanalipa. 1. Dini eg unabii, utume nk. 2. Uganga wa kienyeji 3. Siasa za kuwa chawa wa CCM. Nimesahau na madawa ya kulevya.Dogo alikuwa kajichokea, dini imebadilisha kabisa maisha yake. Ana tembelea Gari, Mercedes Benz G Guard ya zaidi ya bilioni moja.
Sasa kaja kivingine, anahama pale Millennium Tower Phase 2 na kuhamia rasmi Mwenge alikonunua eneo kwa mabilioni ya FEDHA, pale ilipokuwa Century Cinema.
Washikaji, tutafute upako ili tutoboe
😊😊 KaribuEh nilivyoona picha yako na unaemshadadia ni kapola nikapigia mstari tu majibu...
Hawa wajasiliamalu wakubwa wa upako waanze kulipa kodiDogo alikuwa kajichokea, dini imebadilisha kabisa maisha yake. Ana tembelea Gari, Mercedes Benz G Guard ya zaidi ya bilioni moja.
Sasa kaja kivingine, anahama pale Millennium Tower Phase 2 na kuhamia rasmi Mwenge alikonunua eneo kwa mabilioni ya FEDHA, pale ilipokuwa Century Cinema.
Washikaji, tutafute upako ili tutoboe
Sidhani kama ni makusanyo ya sadaka peke yake, zingine labda amekopa bank au amepewa na wafadhili au marafiki wa nje ya nchiDogo alikuwa kajichokea, dini imebadilisha kabisa maisha yake. Ana tembelea Gari, Mercedes Benz G Guard ya zaidi ya bilioni moja.
Sasa kaja kivingine, anahama pale Millennium Tower Phase 2 na kuhamia rasmi Mwenge alikonunua eneo kwa mabilioni ya FEDHA, pale ilipokuwa Century Cinema.
Washikaji, tutafute upako ili tutoboe
Narrow the location well..Bila kuanzia Nijeria hutoboi next level
Do you need to invest in that market?Narrow the location well..
Kindewa tu, sio rahisi kwa watoto wa mbwa kuzielewaHayo mambo ndio yapi hayo mkuu namimi nifungue kanisa.
Kwa hiyo kitu gani kinalipa?Kapola ana waumini vijana mashorabaro sio wa kutoa hata million pale.
Hawa uchungaji ni kichaka iga ufe.
Hio G wagon tu ununui kwa hela ya sadaka.
Acha masanja aendelee kuwaaminisha kilimo kinalipa
Hakuna pesa ya muumin hao ni wafuaji wa pesaPesa za waumini hizo. Halafu unakuta muumini hana hata nyumba au eneo