Makanisa yanalipa sana! Pastor Tonny Kapola anunua eneo kwa dola milioni tatu Mwenge kwa ajili ya kujenga Kanisa

Money Day Avenue
Ipe caption hii picha ya bishop Tina akiwa na baba wa mafisadi bongo
1739609047178.jpg
 
Dogo alikuwa kajichokea, dini imebadilisha kabisa maisha yake. Ana tembelea Gari, Mercedes Benz G Guard ya zaidi ya bilioni moja.

Sasa kaja kivingine, anahama pale Millennium Tower Phase 2 na kuhamia rasmi Mwenge alikonunua eneo kwa mabilioni ya FEDHA, pale ilipokuwa Century Cinema.

Washikaji, tutafute upako ili tutoboe
Ni kweli. Tanzania kuna maeneo matatu yanalipa. 1. Dini eg unabii, utume nk. 2. Uganga wa kienyeji 3. Siasa za kuwa chawa wa CCM. Nimesahau na madawa ya kulevya.
 
Dogo alikuwa kajichokea, dini imebadilisha kabisa maisha yake. Ana tembelea Gari, Mercedes Benz G Guard ya zaidi ya bilioni moja.

Sasa kaja kivingine, anahama pale Millennium Tower Phase 2 na kuhamia rasmi Mwenge alikonunua eneo kwa mabilioni ya FEDHA, pale ilipokuwa Century Cinema.

Washikaji, tutafute upako ili tutoboe
Hawa wajasiliamalu wakubwa wa upako waanze kulipa kodi
 
Dogo alikuwa kajichokea, dini imebadilisha kabisa maisha yake. Ana tembelea Gari, Mercedes Benz G Guard ya zaidi ya bilioni moja.

Sasa kaja kivingine, anahama pale Millennium Tower Phase 2 na kuhamia rasmi Mwenge alikonunua eneo kwa mabilioni ya FEDHA, pale ilipokuwa Century Cinema.

Washikaji, tutafute upako ili tutoboe
Sidhani kama ni makusanyo ya sadaka peke yake, zingine labda amekopa bank au amepewa na wafadhili au marafiki wa nje ya nchi
 
Fatilia...hayo mabilion hayatokan na kanisa....au hujui mkuu!??
 
Kapola ana waumini vijana mashorabaro sio wa kutoa hata million pale.
Hawa uchungaji ni kichaka iga ufe.
Hio G wagon tu ununui kwa hela ya sadaka.
Acha masanja aendelee kuwaaminisha kilimo kinalipa
Kwa hiyo kitu gani kinalipa?
 
Back
Top Bottom