GUSA ACHIA BAHASHA GOLI
JF-Expert Member
- Apr 19, 2023
- 5,110
- 7,349
CHuo cha utapeli kwa mgongo wa dini kiko nigeriaBila kuanzia Nijeria hutoboi next level
Sadaka kwa waumini gani alio nao? siku hizi ni rahisi tu, unaongea nao, wanakubeba kifedha, mtalipana mdogo mdogo kwa mwaka mtu mmoja. Na wewe hubiri injili rahisi. Achana na mambo ya acha dhambi, sijui vaa vile, au tujiandae tuende mbinguni, HAPANA.Pesa ndefu sana napata mashaka kama ni sadaka tu zimempa ukwasi wote huo.
Huyo mchungaji wenu anapendwa na watoto wa 2000 pamoja na single ladiesDady wetu 🙈🙈
Absolutely yes.Do you need to invest in that market?
🤝Dogo alikuwa kajichokea, dini imebadilisha kabisa maisha yake. Ana tembelea Gari, Mercedes Benz G Guard ya zaidi ya bilioni moja.
Sasa kaja kivingine, anahama pale Millennium Tower Phase 2 na kuhamia rasmi Mwenge alikonunua eneo kwa mabilioni ya FEDHA, pale ilipokuwa Century Cinema.
Washikaji, tutafute upako ili tutoboe
Sijaamini$3,000,000 = Tsh 7.8 B
Hakuna qaumini wenye kukusanya kipato hicho. Hizo ni cover tuPesa za waumini hizo. Halafu unakuta muumini hana hata nyumba au eneo
Pamoja sana
Nimekumiss mno, hadi nimeku mistakenSidhani kama ni makusanyo ya sadaka peke yake, zingine labda amekopa bank au amepewa na wafadhili au marafiki wa nje ya nchi
Nenda ...Where to sell my soul for wealth. ? Mnaongea hamsemi au hammalizii sentensi.
Amekopa kwa collateral zipi ili ku secure huo mkopo mkubwa?Sidhani kama ni makusanyo ya sadaka peke yake, zingine labda amekopa bank au amepewa na wafadhili au marafiki wa nje ya nchi
Uchawa haulipi, uchawa ni lango la kijana wa kiume kuwa shogaNi kweli. Tanzania kuna maeneo matatu yanalipa. 1. Dini eg unabii, utume nk. 2. Uganga wa kienyeji 3. Siasa za kuwa chawa wa CCM. Nimesahau na madawa ya kulevya.
Aisee... Hapo ex president anapigwa tongozo, baba Mimi ni mpweke na Nina upwiruIpe caption hii picha ya bishop Tina akiwa na baba wa mafisadi bongo View attachment 3237769
Wataishia kwenye hema la kukutanikia tu, hawana maamuzi yoyoteAtasali peke yake? Maana waumini walichanga ili wapate sehemu yao ya kufanyia sala zao kwa uhuru, hakuna aliyetoa sadaka ili awe mmiliki
Huyo lakini ana daddy wake pia anaitwa Uebert Angel, gold mafia huko Zimbabwe.Kwani hizo pesa kazitoa kwa muumini mmoja?
Imagine una kanisa lenye waumini 1000 halafu kila muumini akatoa shillingi 1000 na zaidi hapo mchungaji anatoka na shillingi millioni moja na zaidi. Na ikumbukwe hiyo ni ibada moja na hapo kuna wengine watakutumia pesa kwenye simu.
Usiwaamini sana wasizwa mazee ukute pameuzwa chini ya hapo ila tunajua kuongeza sifuri tu.$3,000,000 = Tsh 7.8 B
Makanisa ni njia rahisi sana ya kutakatisha fedha.Huwa kuna mambo mengine pia. Sadaka tu haitoshi kufanya hayo yote. Wana biashara zao za siri.
UONGOBiashara ya Dini inalipa kinoma,
Ndo maana ROMAN CATHOLIC wanapesa kuliko Serikali yoyote Ile duniani
Roman Catholic wanamiliki Robo ya kipande Cha ardhi yote ya hii dunia