Makanisa yanalipa sana! Pastor Tonny Kapola anunua eneo kwa dola milioni tatu Mwenge kwa ajili ya kujenga Kanisa

Makanisa yanalipa sana! Pastor Tonny Kapola anunua eneo kwa dola milioni tatu Mwenge kwa ajili ya kujenga Kanisa

Pesa ndefu sana napata mashaka kama ni sadaka tu zimempa ukwasi wote huo.
Sadaka kwa waumini gani alio nao? siku hizi ni rahisi tu, unaongea nao, wanakubeba kifedha, mtalipana mdogo mdogo kwa mwaka mtu mmoja. Na wewe hubiri injili rahisi. Achana na mambo ya acha dhambi, sijui vaa vile, au tujiandae tuende mbinguni, HAPANA.
 
Dogo alikuwa kajichokea, dini imebadilisha kabisa maisha yake. Ana tembelea Gari, Mercedes Benz G Guard ya zaidi ya bilioni moja.

Sasa kaja kivingine, anahama pale Millennium Tower Phase 2 na kuhamia rasmi Mwenge alikonunua eneo kwa mabilioni ya FEDHA, pale ilipokuwa Century Cinema.

Washikaji, tutafute upako ili tutoboe
🤝
 
Kwani hizo pesa kazitoa kwa muumini mmoja?
Imagine una kanisa lenye waumini 1000 halafu kila muumini akatoa shillingi 1000 na zaidi hapo mchungaji anatoka na shillingi millioni moja na zaidi. Na ikumbukwe hiyo ni ibada moja na hapo kuna wengine watakutumia pesa kwenye simu.
Huyo lakini ana daddy wake pia anaitwa Uebert Angel, gold mafia huko Zimbabwe.
 
Back
Top Bottom