Nadhani umekusudia Odinga kashinda mara mbili ???
Naona mnaanza kusuka mipango mapema kumuweka Rizimoko 2030. Itakuwa na jambo jema sana maana Wagalatia wa CCM hawatakubali, chama kitavunjika😁
Ndio maana Mimi huamini Tanzania inatakiwa kuwa na Rais Atheist au mpagani tu ili kuondoa huu ujinga wa udini wa hizi dini kubwa mbili.Mimi siungi mkono hilo katokea lkn kwenye HAKI ni kweli jamii ya Waislamu inadai miaka 20 ya kutawala!!!!
Ndio maana Mimi huamini Tanzania inatakiwa kuwa na Rais Atheist au mpagani tu ili kuondoa huu ujinga wa udini wa hizi dini kubwa mbili.
Vipi kwenye mawaziri na manaibu waziri labda?Hali ni mbayaaaa kwelikweli !!.
8. Meja Jenerali Dr Amri Salim Mwami - Mkuu wa Huduma za Kimatibabu wa Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania(TPDF)7. Meja jeneral salum haji othman - mnadhimu mkuu/chief of staff
Wewe shoga utawapiga na maganda ya karanga ?Chekeni tuu ila soon mtajua hamjui
Hawa hapa.Chadema wao uwiano ikoje?
Huku napo Tangaza christ eehyeah watashangaa wasioelewa, lkn binafsi naelewa kinachiendelea for the last 100 years, kila kitu kimepangwa lkn with the fall of islamic regime in iran, karata zinachangwa upya, matter of fact siku za mwisho za islamic regime zimekaribia tanzagiza anza kuzoea hilo, na ndiyo maana mnajificha.
tanzagiza will never be islamic ...
Abushiri alipigana na wajerumani hadi wakamnyonga alikuwa anapigania bara?Kwahiyo Chief Mkwawa je History yake ya kupigana na Wajerumani ni ya Uongo?
Lakini mbona Jamii ya Pwani haijawahi kupigana na Wakoloni
Wa chadema huu hapaTuletee na mkeka wa chadema ili tubalance mzani
👇👇Yaani na Bashite, Kabudi, Mwigulu
Nao hawa unawahesabu kwenye wakristo?
Huyu mama yenu ni mdini
Jeshini amejaza ISIS
Wizara nyeti amejaza watu wa dini yake
Leo CCM nzima kajaza wala kitimoto Kwa Siri
Tazama wizara ya fedha
Wizarara ya Afya
Tamisemi
Utumishi wa umma
Kavunja katiba naibu.wazir wa elimu ni Mzanzibari,na elimu sio suala la Muungano