Makato anayokatwa Mwalimu mwenye Digrii kwenye mshahara

Ndiyo maana kazi hiyo imepoteza hadhi
  1. Mwalimu anakosa ari ya kazi
  2. Anaishi kama digidigi kukwepa madeni
  3. Anavaa mavazi ya kuokoteza kwenye mitumba
 
mbona unatudharau hivyo sisi wa chuo Huria tutake radhi mkuu.
 
Kumbe mtu wa diploma ya afya anatofautiana shilingi 10k kwenye salary na mwalimu wa degree?
 
Nitajie mfanyakazi wa halmashauri amemzidi mwalimu
Afya wote wanamzidi Kuanzia diploma na kuendelea..

TGHS B ni diploma Na ni 740,000/=
TGHS C ni Advance Diploma ni 1,040,000/=
TGHS D NI Bachelor ya Manurse na Phamarcy ni 1.2Mil
TGHS E Ni bachelor ya Daktari ni 1.5Mil


Wafanyakazi wa mahakama...
TJs 1.1 ambayo Ni certificate na makarani wenye cheti ni 660k
TJS 2.1 makarani wa Diploma ni 981k
TJS 3.1 mawakili na Maafisa wengine wenye Bachelor 1.39 Milion..
mahakimu na Maafisa wengine waandamizi wanaendelea chini..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…