Makato ya Mshahara kwa Daktari mpya Serikalini, bado tuna safari ndefu sana

Hii nchi tasisi mbili tuu ndo zinalipwa vzr wengine kiukweli ni huruma ,ukiweza jiajiri.
Kwa maisha yasa pesa ndogo sana
Kua Kila aliejiajiri anapata income kubwa kuliko alieajiriwa?
Kua ukiajiriwa huwezi kujiajiri ukapata double/triple cash flows?
 
Hii nchi tasisi mbili tuu ndo zinalipwa vzr wengine kiukweli ni huruma ,ukiweza jiajiri.
Kwa maisha yasa pesa ndogo sana
Kua Kila aliejiajiri anapata income kubwa kuliko ?
Kua uakiajiriwa huwezi kujiajiri ukapata double/triple cash flows?
 
Pamoja sana mkuu,....kwenye maisha kikubwa ni income.........hakuna maana ya kua mfanyabiashara uliyebusy hupati faida huku ikiwa walioajiriwa wanapata per capital ya nchi kwa miezi 2 tu, tena hata weekend hawaendi kazini






Inawezeka kwa asimia mia Moja ,sikuwa na maana aache hoja yangu ipo humohumo chumbani kwana ni swala uandishi tuu
 
Tra kuna MD wangapi?
MD wa tamisemi anazidiwa na police wa form iv mbona
 
Ulivyosema laki8 ni kubwa nimekuona Mbweha msubiri mshahara masikini
 
Tra kuna MD wangapi?
MD wa tamisemi anazidiwa na police wa form iv mbona
Tarura kuna sociologist wangapi?๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ
MD yeyote akienda kwenye majeshi anakua officer yaani hii ni Pi=22/7,lazima aanze na nyota kuanzia Moja,.........na hapa ndio unakuta MD anawapiga pumbu kada zingine Kila sehemu,...............๐Ÿ˜ƒ๐Ÿ˜€
Ushajua kwa nini MD ndio kozi inayoongoza sio tu TANZANIA hata U.S,CANADA,U.K kwa kua na ada kubwa na kuchukua watu wenye maksi kubwa??
 
Ulivyosema laki8 ni kubwa nimekuona Mbweha msubiri mshahara masikini
Yes wapo MD kibao wanasubiri mishahara ambayo ni ndoto ya mitaij ya wafanyabiashara wakubwa๐Ÿ˜€๐Ÿ˜ƒ
MD Kila sehemu lazima awapige pumbu kada nyingine๐Ÿ˜ƒ๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€
MD akiwa TAMISEMI ataanza na hio laki 8,lakini yeye ndio ataongoza kwa huo mshahara hapo TAMISEMI kwa waajiriwa wapya kada zote๐Ÿ˜†๐Ÿ˜€
MD huyo huyo akisema aende U.S kufanya USLME bado atawapiga pumbu kada zingine kwa income kubwa
Ushajua kwa nini MD ndio kozi inayoongoza sio tu TANZANIA hata U.S,CANADA,U.K kwa kua na ada kubwa na kuchukua watu wenye maksi kubwa??๐Ÿ˜ƒ๐Ÿคฃ๐Ÿ˜…
 
Umechemka hapa. Huo mfumo ulikuwa zamani kwamba kila degree lazima aanze na nyota. Kwa sasa hakuna hiyo.

Vyombo vya wizara ya mambo ya ndani: PT, MT, UT, ZT yeyote mwenye degree including hao madaktari watapanda vyeo kawaida kabisa kila baada ya miaka 3 au 4. Yani ataanza kama Konstebo (asiye na cheo = private), ataenda koplo>>sajent>>sajent meja (staff sajent) >>>nyota. Akibaatika, atapanda kutoka konstebo >>> sajent (koplo ataluka).

Na hii ndiyo hasara wanayoipata vyombo vya wizara M/Ndani kuwa pamoja na taasisi za kiraia kama NIDA na RITA.

Watakachosaidiwa, kila mwenye degree atalipwa mshahara maalumu wa degree + professional allowance kama 15% hivi kama sijakosea. Kwahiyo Daktari akiajiriwa kama askari, atalipwa 1.5M + proffesional allowance ya 15% (225000/=, haina kodi).

Nyongea ya posho kama house allowance 15%, Utility allowance 15%, Risk/hardship allowance 15%, Transport allowance 15%. Kwahiyo kwa daktari hapo atakusanya 225000 kwa kila posho (hazina kodi). Taaluma zingine nao wana mishahara yao kwa degree (800,000 - 1,100,000) + na posho hizo.
 
Huna akili,huna kipato pambana kuongeza kipato, badala ya kupambana tamisemi waboreshewe maslahi unaanza kusema laki8 ni pesa hiyo ni posho ya nyumba ya state attorney's
 
Sociologists wako wengi kwa sababu miradi yote ya road construction mtu wa social lazima awepo, salary scale ya sociologist wa TARURA ni 2.1m
 
??๐Ÿ˜ƒ
Huna akili,huna kipato pambana kuongeza kipato, badala ya kupambana tamisemi waboreshewe maslahi unaanza kusema laki8 ni pesa hiyo ni posho ya nyumba ya state attorney's

Sociologists wako wengi kwa sababu miradi yote ya road construction mtu wa social lazima awepo, salary scale ya sociologist wa TARURA ni 2.1m
Umeshafahamu ya kua popote ambapo MD alipo anawapiga pumbu kada zingine?๐Ÿ˜…๐Ÿ˜ƒ๐Ÿ˜€,iwe TAMISEMI,wizarani,jeshini,ajira za kimataifa au taasisi๐Ÿ˜€๐Ÿ˜ƒ๐Ÿ˜…
Umeshafahamu ya kua 70% ya watumishi wa umma Tanzania wapo halmashauri,na MD ndio anaongoza kuwapiga PUMBU?๐Ÿ˜ƒ๐Ÿ˜ƒ
Umeshafahamu ya kua kwenye majeshi MD akiingia lazima awe officer?,hata kama ana miezi 2 lazima aanze na nyota kuanzia 1๐Ÿ˜€๐Ÿ˜ƒ,tofauti na SOCIOLOGIST๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ
 
Nitafutie MD sergent au koplo JWTZ, pale Lugalo, nikatutafutie kuku mwenye miguu minne๐Ÿคฃ๐Ÿ˜ƒ๐Ÿ˜€
Suala la MD kua officer sio ombi ni Sheria za kimataifa๐Ÿ˜€๐Ÿ˜ƒ๐Ÿคฃ..........MD sio matako kua Kila mtu anayo๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ
SOCIOLOGIST, ACCOUNTANT sio lazima awe officer lakini hii si excuse ya MD kwenye jeshi lolote lile duniani
Na akiwa na masters tu baashi,huyo ni major,ama kanali
Bado tu huamini kua Kila alipo MD lazima awapige pumbu wenzake??๐Ÿ˜ƒ๐Ÿ˜€๐Ÿคฃ๐Ÿ˜€

 
Hujaumwa wewe, hawa jamaa utatamani ukawape free lunch ila kuwapata ni ngumu inabidi utume na ya kutolea.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ