Extroverted Introvert
JF-Expert Member
- Aug 18, 2022
- 1,145
- 2,937
Nakuambia wizara mambo ya ndani, wewe unasema JWTZ. Huko JWTZ sio MD tu, ukiingia na degree yoyote, nyota ni uhakika au asilimia kubwa.Nitafutie MD sergent au koplo JWTZ, pale Lugalo, nikatutafutie kuku mwenye miguu minne🤣😃😀
Suala la MD kua officer sio ombi ni Sheria za kimataifa😀😃🤣..........MD sio matako kua Kila mtu anayo🤣🤣
SOCIOLOGIST, ACCOUNTANT sio lazima awe officer lakini hii si excuse ya MD kwenye jeshi lolote like duniani
Na akiwa na masters tu baashi,huyo ni major,ama kanali
Bado tu huamini kua Kila alipo MD lazima awapige pumbu wenzake??😃😀🤣😀
Hii chuki kwa madaktari inatokana na wivu,Huna akili,huna kipato pambana kuongeza kipato, badala ya kupambana tamisemi waboreshewe maslahi unaanza kusema laki8 ni pesa hiyo ni posho ya nyumba ya state attorney's
Kua uingie na degree ya SOCIOLOGY nyota uhakika😃😀😃Nakuambia wizara mambo ya ndani, wewe unasema JWTZ. Huko JWTZ sio MD tu, ukiingia na degree yoyote, nyota ni uhakika au asilimia kubwa.
Nenda Hospital ya Magereza Kikosi Maalum - Ukonga, wapo MD hawana nyota. Nenda Polisi Barracks, wapo MD hawana nyota.
Kua uingie na degree ya SOCIOLOGY TPDF nyota uhakika😃😀😃Nakuambia wizara mambo ya ndani, wewe unasema JWTZ. Huko JWTZ sio MD tu, ukiingia na degree yoyote, nyota ni uhakika au asilimia kubwa.
Nenda Hospital ya Magereza Kikosi Maalum - Ukonga, wapo MD hawana nyota. Nenda Polisi Barracks, wapo MD hawana nyota.
Sio chuki Wala me nimuonee wivu mtu mwenye take-home ya kimbweha, me ni consultant nafanya consultancy services kwenye miradi ya ujenzi wa barabara, nikimuona fala anashadadia laki8 namuona ni masikini kabisa taka takaHii chuki kwa madaktari inatokana na wivu,
Vilaza huwa mnafurahisha sana
Umeshafahamu ya kua popote ambapo MD alipo anawapiga pumbu kada zingine?😅😃😀,iwe TAMISEMI,wizarani,jeshini,ajira za kimataifa au taasisi😀😃😅
Umeshafahamu ya kua 70% ya watumishi wa umma Tanzania wapo halmashauri,na MD ndio anaongoza kuwapiga PUMBU?😃😃
Umeshafahamu ya kua kwenye majeshi MD akiingia lazima awe officer?,hata kama ana miezi 2 lazima aanze na nyota kuanzia 1😀😃,tofauti na SOCIOLOGIST🤣🤣
- umekaa unaanza kuwasifia MD wa jeshi wakati hapo ulipo tarehe hii huna hata laki2 wewe ni mjinga, jikomboe kiuchumi umekaa hapo halmashauri unaniangisha na wengine akili huna na hilo deni lako la heslb utalilipa mpaka unastaafu jikomboe tafuta fursa nyingine utoboeKua uingie na degree ya SOCIOLOGY TPDF nyota uhakika😃😀😃
Unaleta mabishano ya KIDUANZI,ili tu MD ifanane na degree zingine?😅🤣🤣
Suala la MD kwenye majeshi kua officer sio yeye anataka ni Sheria za kimataifa🤣😅😃
Pitia basi hii link kama angalau unajua kwa nini MD analipa ada kubwa kuliko courses zingine?chuo,iwe TZ,Kenya,U.S,China ama Iran😅😃 link:https://www.airforcemedicine.af.mil
Air Force Medical Service (.mil)
Medical Corps
Ila ukiwa MBISHI na MPUMBAVU kama mimi angalia hata hii picha tu😃😅🤣
Sehemu zenye pesa kama Gaming board,tra,ewura,tasac,Nps,Osg kuna MD? MD wengi wamejaa halmashauri wanagombania viposho taka taka vya lefu 60 hamna loloteUmeshafahamu kua popote ambapo MD yupo anakupiga pumbu?,iwe TAMISEMI,wizarani,taasisi,ama nje ya nchi?
Bot kuna MD wangapi? Tpa kuna MD wangapi? Hizo taasisi 90% ya employees wamesomea economics, accounts, finance hizo MD ni wa kuhesabu Mbweha ww nyie kajazaneni halmashauri mgombanie makombo ya laki8Daktari wa BOT,TPA,analipwa mara 3 ya sociologist wa Tarura😃😀,.......huwezi feli ukakosa kua MD faraja yako ikawa kumponda MD ukabaki salama
Kuwa na ada kubwa sio kigezo ingekuwa ni kigezo watu wa chuo cha Kodi,IFM wasingekuwa wanazidi mishahara Mbweha Mbweha ww msubiri mshahara taka taka kinyesi, laki8 ni ushenzi mtupuTarura kuna sociologist wangapi?🤣🤣
MD yeyote akienda kwenye majeshi anakua officer yaani hii ni Pi=22/7,lazima aanze na nyota kuanzia Moja,.........na hapa ndio unakuta MD anawapiga pumbu kada zingine Kila sehemu,...............😃😀
Ushajua kwa nini MD ndio kozi inayoongoza sio tu TANZANIA hata U.S,CANADA,U.K kwa kua na ada kubwa na kuchukua watu wenye maksi kubwa??
Sawa tajiri, tukutane hospitaliSio chuki Wala me nimuonee wivu mtu mwenye take-home ya kimbweha, me ni consultant nafanya consultancy services kwenye miradi ya ujenzi wa barabara, nikimuona fala anashadadia laki8 namuona ni masikini kabisa taka taka
Unaongelea nchi za watu. Mimi naongelea uhalisia wa nchi yetu. Nenda Hospital kuu ya Magereza utawakuta MD hawana nyota. Nenda Hospitali kuu ya Polisi pale Barrack utawakuta MD hawana nyota. Kasome muongozo uliotoka ofisi ya Utumishi kwenda vyombo vya wizara mambo ya ndani.Kua uingie na degree ya SOCIOLOGY TPDF nyota uhakika😃😀😃
Unaleta mabishano ya KIDUANZI,ili tu MD ifanane na degree zingine?😅🤣🤣
Suala la MD kwenye majeshi kua officer sio yeye anataka ni Sheria za kimataifa🤣😅😃
Pitia basi hii link kama angalau unajua kwa nini MD analipa ada kubwa kuliko courses zingine?chuo,iwe TZ,Kenya,U.S,China ama Iran😅😃 link:https://www.airforcemedicine.af.mil
Air Force Medical Service (.mil)
Medical Corps
Ila ukiwa MBISHI na MPUMBAVU kama mimi angalia hata hii picha tu😃😅🤣
MD hata we mmoja kwenye hio taasisi,iwe TAMISEMI,WIZARA,U.S,CANADA lazima tu atakupiga pumbu,ukiwa unafanya naye kazi kwenye ofisi moja
- MD wangapi wapo ewura, gaming board,BoT,latra,tasac,tra, tpa?
- wewe Ndio uko halmashauri masikini huna hela, unadhani kila mtu analipwa mshahara wa kimbweha wa laki 8? Na hapo halmashauri ulipo kuna watu wengi wanakuzidi kwa hela eg maafisa ardhi, maafisa mipango miji, procurement, ww umekaa kimasikini unasubiri makombo ya laki8 na incall za 60k mpuuzi, Toka halmashauri hapo utaishia kuwa Mbweha msubiri mshahara
MD sio matako kua Kila mtu anaweza.....MD sio kozi ya watu masikini na vilaza🤣😅😅,.... Hivi unajua hapa Tanzania nchi masikini duniani,.......70% ya vyuo vya MD ni private na chenye ada rahisi,hio pesa ni kubwa kuliko per capital ya nchi,.........MD ndio professional inayoanza na mshahara mkubwa kwa wastani kwenye payroll za watumishi wa umma,ambao 70% wapo TAMISEMI- umekaa unaanza kuwasifia MD wa jeshi wakati hapo ulipo tarehe hii huna hata laki2 wewe ni mjinga, jikomboe kiuchumi umekaa hapo halmashauri unaniangisha na wengine akili huna na hilo deni lako la heslb utalilipa mpaka unastaafu jikomboe tafuta fursa nyingine utoboe
Iwe taasisi,iwe TAMISEMI,iwe private,iwe U.N......popote pale kwenye MD lazima awapige pumbu kada zingine😃🤣😅Sehemu zenye pesa kama Gaming board,tra,ewura,tasac,Nps,Osg kuna MD? MD wengi wamejaa halmashauri wanagombania viposho taka taka vya lefu 60 hamna lolote
Popote pale penye MD,Lazima tu atawapiga pumbu kada zingineBot kuna MD wangapi? Tpa kuna MD wangapi? Hizo taasisi 90% ya employees wamesomea economics, accounts, finance hizo MD ni wa kuhesabu Mbweha ww nyie kajazaneni halmashauri mgombanie makombo ya laki8
MD iso kozi ya vilaza,sio kozi ya masikini,.........MD sio matako kua Kila mtu anayoKuwa na ada kubwa sio kigezo ingekuwa ni kigezo watu wa chuo cha Kodi,IFM wasingekuwa wanazidi mishahara Mbweha Mbweha ww msubiri mshahara taka taka kinyesi, laki8 ni ushenzi mtupu
Sociologists TARURA wako wengi sana kwa sababu miradi yao inahusisha jamii
Kuwa na ada kubwa sio kigezo ingekuwa ni kigezo watu wa chuo cha Kodi,IFM wasingekuwa wanazidi mishahara Mbweha Mbweha ww msubiri mshahara taka taka kinyesi, laki8 ni ushenzi mtupu
Sociologists TARURA wako wengi sana kwa sababu miradi yao inahusisha jamii
Hakuna MD ambaye anaweza kukubali kuanza na salary chini ya nyota kwenye jeshi lolote lile hata liwe la mgambo,maana hio pesa hata TAMISEMI anaipata.Unaongelea nchi za watu. Mimi naongelea uhalisia wa nchi yetu. Nenda Hospital kuu ya Magereza utawakuta MD hawana nyota. Nenda Hospitali kuu ya Polisi pale Barrack utawakuta MD hawana nyota. Kasome muongozo uliotoka ofisi ya Utumishi kwenda vyombo vya wizara mambo ya ndani.
Sheria za kimataifa? Mimi nakupa uthibitisho, nenda hizo hospital za Magereza na Polisi ukawaone MD ambao hawana nyota. Kama hujui hizo hospital zilipo, nakupeleka. Ukitaka namba ya MD askari ambaye hana nyota nakupa uongee naye. Nakukumbusha, naongea kitu ambacho nakiona, sileti link za Ulaya huko. Nakupa uhalisia wa nchi hii.
Note: Hakuna sehemu nimesema MD anafana na degree zingine ila suala la kuanza na nyota, hapo umechemka.
Note: Naongelea vyombo vya wizara ya mambo ya ndani. JWTZ ni wizara nyingine kabisa na utaratibu wao ni tofauti na wizara ya mambo ya ndani
Note: Mimi ni MBISHI na MPUMBAVU, sawa.
Basi ndiyo maana unabisha. Kuna comment juu hapo nilikuchambulia vizuri tu namna degree wanavyolipwa mshahara. Nilikuambia MD (polisi, magereza, zimamoto, uhamiaji) analipwa 1.5M na nilikuambia kabisa hiyo ni mshahara maalumu (mshahara kulingana na elimu na sio cheo). Hivyo hivyo pia degree zingine zinalipwa 800,00 - 1,100,000 kama mshahara maalumu. Nikakuandikia na jinsi posho zao zilivyoboreshwa. Soma ile comment vizuri.Hakuna MD ambaye anaweza kukubali kuanza na salary chini ya nyota kwenye jeshi lolote lile hata liwe la mgambo,maana hio pesa hata TAMISEMI anaipata.
Ingekua upolisi una hela , si kila mtu mwenye zile V tatu angetamba🤣🤣
Yes wewe ni MPUMBAVU,ikiwa unahisi MD anaweza ajiriwa kwenye vyombo vya usalama akiwa sio OFFICER,.........hizo ni sheria za U.N wandugu hujiamilii tu😃😀😀
Swali inabidi ujiulize;ni kwanini iwe polisi,zimamoto,ama TPDF..
MD Lazima awe officer?,na sio SOCIOLOGIST,🤣🤣.....yaani U.N walifikiria nini kuwekea hii Sheria
😀😃