Uzuri wake sio lazima kufanya hiyo kazi, ukiona mshahara mdogo unaacha , simple tu
Duh 🙄 !!Kwa makadirio, mshahara wa daktari serikalini basic ni 1,480,000
HESLB wanakata 222,000
74000 ya PSSSF
kodi ni 290,580
bima ya afya 44,400
Unabaki na 849,020
Toa kodi ya nyumba, bill ya maji, umeme, usafiri na chakula halafu niambie unabaki na sh ngapi [emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
Kisha sisi akina kalimanzila tutatibiwa na nani !!Uzuri wake sio lazima kufanya hiyo kazi, ukiona mshahara mdogo unaacha , simple tu
Ujinga huo public servants ni watu muhimu sana kwenye kupeleka nchi mbele.Uzuri wake sio lazima kufanya hiyo kazi, ukiona mshahara mdogo unaacha , simple tu
Na unabaki ulivyo zaliwaKwa makadirio, mshahara wa daktari serikalini basic ni 1,480,000
HESLB wanakata 222,000
74000 ya PSSSF
kodi ni 290,580
bima ya afya 44,400
Unabaki na 849,020
Toa kodi ya nyumba, bill ya maji, umeme, usafiri na chakula halafu niambie unabaki na sh ngapi [emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
Vema.Ana heri anayepokea kiasi hicho na bado atake kubaki na balance.
Umejiuliza graduate mwenye miaka nane (8) mtaani baada ya kukosa ajira au namna rasmi ya kujikwamua kiuchumi anayehangaika na maisha huku akihitaji yote hayo ana wakati mgumu kiasi gani?
Sometimes unakuta anamzidi hata elimu huyo anayepokea kiasi hicho,kila mtu ashukuru kwa kidogo chake hicho hicho kuna watu hawakipati na wanakitamani.
Polisi/askari/trafiki watumie vipi utaalamu wao?Kataa utumwa wa kuajiliwa!
Siku ukijua kuwa, hata walionje ya ajira wana maisha mazuri na wanatusua tu, Utajibana mwaka mmoja tu ukitafuta mtaji kwenye ajira yako!
Kataa kutumiwa utaalamu wako kwenye kazi za watu, utumie utaalam wako kwa ajili yako wewe
Yes, if you can't defeat them, join themHii nchi hii ina pesa balaa tatizo la nchi hii nayo ina mchwa balaa.
Wenye jukumu la kuwaangamiza mchwa hao nao wamejiunga nao hao mchwa.