Adiosamigo
JF-Expert Member
- Oct 2, 2013
- 7,681
- 9,892
Halali hapo liogo sana nasikia wanamzulia eti Iran kataka kumuwa, wakati ni Hezbullah πShambulizi limepiga nyumba ya Netanyau ila hakuwepo hapo wakati shambulizi linafanyika.
Netanyau alisha zikimbia nyumba zake tangu kuanza kwa vita.
Kinachoonekana Hizbullah anaanza kuiga mbinu za Israel taratibu.Kwa sababu viongozi wa Israel wanechagua hayo maisha acha wapambane.
Hivi hakuna majeruhi kwenye hio nyumba kweli, au jamaa hakuwa na familia hapo?
Sasa ukimtukana Mungu, yeye anawashwa auTujitahidi kuwa wastaarabu, sio vizuri kumtukania mtu Mungu wake. Lugha za kejeli ziwe na mipaka, ugomvi wa wengine usitufanye kuharibu amani yetu.
Hiyo sehemu inasemeka hakuna ulize.Naamini ilikuwa message, hawakushindwa kutuma drone 10 zinafuatana zikapiga hio nyumba ikatitia...
Hizo drone kutoonekana na air defenses ni hatari sana.
Sasa wao walidhani kumlenga Nasrallah ni upekee sana kumbe na wao wanafikika kirahisi.Kinachoonekana Hizbullah anaanza kuiga mbinu za Israel taratibu.
Si ajabu mbeleni tukaanza kusikia wanaanza kupiga maeneo yenye mikusanyiko ya raia.
Kuhusiana na majeruhi hakuna taarifa na sababu ni hii:
Israeli media: Military censorship bans publication of information related to building targeted by drone in Caesarea
Na ataanza kufa yeye Netanyahu kabla ya AYATOLLAHNetanyahu siku zake zinahesabika vyenginevyo aendelee kuishi mapangoni au akubali kumaliza vita
Jeshi ni taaluma mimi pia ninayoSiri za chumbani za Netanyahu wewe umezijuaje?
Ni excuse hizo mzee, hizo drone zinapenya air defenses, kutoka umbali wa km 70 hadi kwenye hio nyumba unafikiri imepenya air defenses ngapi?Hiyo sehemu inasemeka hakuna ulize.
Drone zilikuwa zinaruka karibu na ardhi ni ngumu kuonekana kwenye radar
Hezbollah hao kwani mbona kitambo sana walishaonesha clip footage mpaka kitanda anacholalia Netanyahu. Kambi zote za kijeshi na maeneo yote muhimu Wana coordinate. Iran ni kama anawasaidia kisilaha na kuwapa intelligence lakini wanatekeleza wenyewe mashambuliziIla tuwe wakweli, Hili shambulizi ni maafisa wa Iran wametekeleza, kama ni Hezbollah basi ni kwa maelekezo ya wana intelijensia kutoka Iran.
Hapa ndipo nimeanza kuelewa kwanini Iran walisema Israel akijibu watarudisha mashambulizj makali zaidi.
Na sidhani kama lile shambulio la missiles 200 walikuwa hawajui hio nyumba ipo wapi..
Ana hama hama kama Swala?Hakuna jipya maana netanyahu haishi hapo tena.........
Netanyahu na viongozi wenzake wawe makini sana sasa hivi.Huwa nacheka wafuasi wa taifa teule wanapo kuwa wanawacheka viongozi wa Hamas na Hizbullah kujificha kwenye handaki wakati hata bwana wao Netanyau anaishi huko huko.
Taaluma ya kujua Netanyahu Leo kalala na nani hiyo siyo taaluma hizo ni Siri za wake zake ukiwemo weweJeshi ni taaluma mimi pia ninayo
Hahaha!Sasa wao walidhani kumlenga Nasrallah ni upekee sana kumbe na wao wanafikika kirahisi.
Ni kawaida yao kusema no casualties...π
Wazee wa no casualties...
Netanyahu atakuwa anasindikizwa kwenye msafara na THAAD kwenye lori hivi sasa π
Kinachofuatia hapo wataanza kulenga ikulu.Hahaha!
Soon ataelewa kwa nini ziliwekwa sheria za kivita kimataifa.
Hizbullah wakitaka wamtie kiwewe zaidi wapige missile moja tu yenye uwezo wa kutindua mpaka mahandaki.
Hapo watakuwa wameshammaliza nguvu.
Sasa sijui atajifichia wapi?!
Israel hawahitaji excuse kushambulia,wameshambulia sana,UN imetoa matamko sanaPia ukute hiyo drone ni wenyewe israel wameirusha ili watimize jambo lao fulani wanalotaka kulifanya baadae.
Taaluma ya kujua Netanyahu Leo kalala na nani hiyo siyo taaluma hizo ni Siri za wake zake ukiwemo wewenimejadili mbini za vita na kujihami
Nimejadili mbini za kujihami na kushambulia, askari kiongozi (Amiri Jeshi) anyewindwa hawezi kupatikana makazi rasmi wakati wa vita, hata Ayatollah kwa nyakati hizi hawezi kuishi makazi yake rasmi kuepuka hatari ya kuuwawa na hivyo kupoteza moral ya wapiganaji wakeTaaluma ya kujua Netanyahu Leo kalala na nani hiyo siyo taaluma hizo ni Siri za wake zake ukiwemo wewe
Shika korodaniMleta habari umeleta habari mbili zenye maelezo ambayo yanatuchanganya.
Habari ya kwanza inataja kuwa makazi ya Benja yameshambuliwa na inavyodaiwa Benja alikuwepo.
Habari ya pili inasema shambulio limefanyika eneo lililo karibu na makazi ya Benja.
Sasa hapo tushike lipi?