Makazi ya Netanyahu yaliyopo Caesaria yashambuliwa kwa drone

Kumlenga Kiongozi wa Nchi ni kosa la Kimataifa. Ayatolah akilengwa Direct kwenye Shimo lake analojifichia wasilielie.
 
Wanasema hakuna casualty,lakini ambulance ilionekana hapo
Hata kama hapakutokea majeruhi kwa sababu labda wanaoishi humo walikuwa kwenye vyumba vya chini ya ardhi (bunker house); ambulance ilifika hapo ili kama kuna majeruhi iwawahishe hospitali; huo ndio utayari unaotakiwa kwenye mamlaka za nchi yoyote makini.
 
Drone ni tishio, Makonda alidokeza alilengeshwa drone ila jeshi likamuokoa, hiyo ilikaaje? Sio umbea, alisema mwenyewe.
 
Siyo ambulance moja
 
Kinachofuatia hapo wataanza kulenga ikulu.
Taratibu tu Israel itafika inapopahitaji, wataanza kufanyia mikutano chini ya ardhi kama panya.

Kwa hili shambulizi nadhani hadi sasa akili hazijawakaa sawa.
Na hiyo ndiyo njia pekee Israel inayoielewa.

Kama Malcom X alivyosema "Sometimes, we must speak the language of the aggressor in order for them to understand."

Iran aliwapitishia missile moja juu ya bunge lao😂😂
 
Na hiyo ndiyo njia pekee Israel inayoielewa.

Kama Malcom X alivyosema "Sometimes, we must speak the language of the aggressor in order for them to understand."

Iran aliwapitishia missile moja juu ya bunge lao😂😂
Dah! Ila iran ilionyesha umahiri wa hali ya juu sana, missiles kupita anga za nchi nyingine hadi kupiga Israel ni uwezo wa hali ya juu sana...
Ule uhakika kwamba hivi vyuma vinafika si mchezo...

Kwamba hawakuwa na wasiwasi baadhi ya missiles kati ya hizo zote 200 kwamba kuna hata baadhi zitaanguka nchi za watu kwa malfunctioning na kuua raia wa nchi zingine kama Jordan n.k...

Jamaa vyuma vyote 200 vimetua salama ardhi ya Israel, hii hata kama ni wewe lazima uogope, ni utaalamu wa hali ya juu sana .
 
Pin point accuracy
 
Nilisoma sehemu kwamba drone ikienda chini chini ni ngumu kunaswa na mitambo ya ulinzi. Kwa mfano, lile shambulizi la drone lililpiga kambi ya jeshi la Israel ilienda chini chini na wakati mwingine watu wakawa wanadhani ni mwewe
 
Mazayuni ndani ya miaka 2 mpaka 5 ijayo watakuwa hawana nchi yao. Wamechombezwa na kwa kuwa ni wajinga wameingia kichwa kichwa.

Nani aliyewachombeza? Hakuna zaidi ya wale waliowaua kwa wingi duniani na kuwafurusha kwao.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…