Makazi ya Netanyahu yaliyopo Caesaria yashambuliwa kwa drone

Israel ni hadith nyingine boss
 
Qur'an 2:154. Wala msiseme kuwa wale walio uwawa katika Njia ya Mwenyezi Mungu ni maiti; bali hao ni wahai, lakini nyinyi hamtambui. 154
Njia ya Mungu hamuifamu Nyie mpaka muulize waliopewa kitabu
Mtume wenu aliwaonya muwe mnauliza waliopewa kitabu ndo mnaweza kuelewa

Pia hapo alijitoa lawama ili siku ya hukumu ajitoe kwamba aliwaelekeza muulize wenye kitabu
 
Qur'an 2:154. Wala msiseme kuwa wale walio uwawa katika Njia ya Mwenyezi Mungu ni maiti; bali hao ni wahai, lakini nyinyi hamtambui. 154
Kabla ya Muhammed saw Wayahudi walikuwa wakiishi bila shida yeyote katika Hijazi na Yemen lakini baada ya Muhammed saw kuja na Uislamu akaanza kulazimisha Wayahudi na Wakristo walipe "Jizya" laa sivyo Wasilimu.

Wewe unaona sawa hiyo Bibie?
 
Solution ya hapo ni Israel na Palestina wawe Taifa moja,kitu ambacho USA hakitaki ili aendelee kutengeneza migogoro hapo afaifike kimasilahi.

Kuna maslahi gani? Mmekaririshwa ujinga.
 
Israel inapambana na vikundi vya migambo ambavyo anavizidi silaha na pesa za misaada anazopewa.

Na vikundi hivyo vinaonyesha kukabiliana naye vikali.
Hivyo jeshi la Israel ni overrated, juzi hapa katumiwa salamu na Iran mbona kashindwa kujibu?

Huko Lebanon ameua viongozi wa Hezbollah lakini sidhani kama atashinda.
Hadi leo hao mateka waliotekwa na hamas kawapata?
Hamas bado wamekataa kuweka silaha chini...

Ukiitizama Gaza ilivyo ndogo na imezungukwa na Israel ni ngumu kuamini jamaa ni mwaka sasa wanahangaika kupambana na kisehemu ukubwa wa wilaya na vijana waliobeba AK47.

Naamini Hamas ina askari wakali wa mapigano kuliko Israel katika levels zote.
 
Sasa Lebanon na Israel aliyefeli kiulizi nani?
Sawa useme drone za Ukraine kupiga urusi ndani useme urusi imefeli kiulizi.
Wewe unavuoona nani kafeli kiulizi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…