Maketa: Tendo la ndoa kinyume cha maumbile ni chanzo cha ndoa nyingi kuvunjika

Maketa: Tendo la ndoa kinyume cha maumbile ni chanzo cha ndoa nyingi kuvunjika

KWA ASILI MWANAMKE ANA TUMIA MANENO MAKALI KUMUUMIZA MWENZIE
1.KIBAMIA
2.KINYUME NA MAUMBILE
3.HAMRIDHISHI
4. ANA MCHEPUKO

KAWAIDA UJASIRI WAO UKO MDOMONI, UDHAIFU UKO MOYONI.
NDIO MWANZO WA SAFARI ZILE ZA KUSHTUKIZA KWENYE MAKANISA YA MANABII NA MITUME, KUITAFUTA MIUJIZA NA UPAKO. NA HII NI BAADA YA DAWA ZA WAGANGA WA KIENYEJI KUSHINDWA.

NDOA ZINAKUFA KWA SBB:
1.JEURI
2.KIBURI
3.DHARAU
 
Mfumo wa kielimu wa kizuzu unatuletea wataalamu mazuzu, huyu social officer atupe takwimu za utafiti wake!,scientists wame prove kuwa anal sex sio tatizo kabisa as far as wahusika wanakubaliana,na anal sex haiathiri kabisa wakati wa kujifungua, kuna nchi hapo SADC hii kitu ni ya kawaida na akina mama wanazaa watoto wenye afya njema na wazuri!,science ijibiwe na science sio mihemiko au politics
Nchi gani ya SADC, kuzibua mtaro ni kawaida
 
Mfumo wa kielimu wa kizuzu unatuletea wataalamu mazuzu, huyu social officer atupe takwimu za utafiti wake!,scientists wame prove kuwa anal sex sio tatizo kabisa as far as wahusika wanakubaliana,na anal sex haiathiri kabisa wakati wa kujifungua, kuna nchi hapo SADC hii kitu ni ya kawaida na akina mama wanazaa watoto wenye afya njema na wazuri!,science ijibiwe na science sio mihemiko au politics
Tupe vielelezo vya hao the so called Scientist
 
Huyo anakwepa sababu za kiuchumi na vipato ambazo ndo sababu kuu......wanaume wamevurugwa kutokana na uchumi mbovu na hali duni za vipato, mengine yote ni geresha tu......ukitaka kujua fuatilia ni ndoa ngapi za matajiri au watu wenye vipato vikubwa ambazo zimevunjika. Utakuja kukuta ndoa nyingi zinazovunjika ni zile za wanyonge aka. choka mbaya.......​
 
Afisa Ustawi wa Jamii wa Jiji la Dar es Salaam, Joyce Maketa, amesema kwamba miongoni mwa mambo yanayovuruga ndoa hadi kupelekea wanandoa kuachana inasababishwa na wanaume kuomba mahusiano kinyume na maumbile.

Kauli hiyo ameitoa hii leo Septemba 6, 2022, jijini Dar es Salaam, kwenye kipindi cha SupaBreakfast ya East Africa Radio mara baada ya taarifa kuonesha kwamba kila mwezi ndani ya jiji la Dar es Salaam takribani ndoa 300 zinavunjika.

"Kumekuwa na mahusiano mapya (Kwa wanandoa) yanayopelekea wakati mwingine kuomba kuwa na mahusiano kinyume na maumbile hicho kimekuwa ni moja ya kitu ambacho kimekuwa kikivuruga ndoa nyingi na watu mwisho kuachana, tuachane na hizo tabia tunazozi-copy na tuishi maisha yanayompendeza Mungu,"amesema Joyce

====

Haya yanajiri baada ya kamati ya Bunge ya huduma na Maendeleo ya jamii kutoa ripoti Septemba 5, 2022 iliyoelezea kuwa mkoa wa Dar es salaam unaongoza kwa uvunjifu wa ndoa nyingi nchini ambapo wastani wa ndoa 300 huvunjika kila mwezi.

Kamati hiyo ilibaini pia kuwepo kwa mmomonyoko mkubwa wa maadili na ukatili mkubwa wa kijinsia hasa ule unaohusisha watoto.

EATV
Mbona hili la viungo bandai vya kungonoka ambavyo Vingine vinatumia umeme, kweli mkeo alisha zoe hivyo bado ana haja na ww??😭😭 pia na kuongezeka kwa mashoga mtaani wameyafunika!
 

Attachments

  • IMG-20220824-WA0021.jpg
    IMG-20220824-WA0021.jpg
    37.1 KB · Views: 16
Tatizo jamii imeamua kuwasikiliza wanawake kuliko wanaume na wanaume wameamua kukaa kimya mwanamke anafanya madudu yake anajificha kwenye suala la kuombana mzigo kinyume ili apoteze ushahidi.
 
Angesema Wanawake husingizia sababu hiyo.

Nazijua kesi za namna hiyo, wanawake wengi wakitaka kukuacha au kukudhalilisha wanatabia ya kusema umewaomba kinyume na maumbile.
Kweli kabisa mkuu na mimi nasimama na point yako wanajua wakisema hvyo wameuwa ndege wawili kwa wakati mmoja inakuwa rahisi kwao kusikilizwa.
 
Kama angefanya research ya akili kubwa angegundua kuwa makahaba yaliyoenda kujificha kwenye nyumba za ibaada ili kuolewa ndiyo chanzo kikuu.
Maana yakikosa ule uhuru wa kujirusha husingizia mme kumtaka kinyume na maumbile ili ndoa ivunjwe. Ikiisha vunjwa yanarudi jalalani kuendeleza uchafu wao wa awali.
Na pili ni ugumu wa maisha unaochagizwa na tozo lukuki zilizoidhinishwa na awamu hii ya sita
 
Huo utafiti sio sahihi kwa sababu wanawake wengi wakiingia kwenye mgogoro hadi kufikia kudaina talaka lakini kwakuwa ni ving'ang'anizi basi uamua kumdhalilisha mwanaume kwa madai kwamba kwa vile ameshamuaribu kwa kumtumia kinyume cha maumbile halafu anataka kumwacha.
 
ustawi wa jamii huwa nawashangaa sana, ni waongo na hawajui vitu mno. kwamba kweli ndoa zinaachika kwasababu ya kuomba tigo? Noo, nijuavyo, anaume wanaojielewa uwa hawawaingilii kirahisi au hata kuanzisha tu icho kitu kwa " mke wake", wengi hufanya huko kwa michepuko. pia, ukiona mtu anamwingilia mke kinyume na maumbile jua walianza kufanya hivyo tangu wakiwa wachumba hadi wakaoana. hakuna mtu mwenye ujasiri wa kumwomba tigo mke wa ndoa, labda kama amelewa na hata akiwa amelewa akijirudi kwenye akili zake huwa wanaomba radhi.

kinachovunja ndoa nyingi ni feminism, wanawake kujifanya wapo sawa na wanaume, pia uzinzi na maisha magumu. wanaume wanashindwa kuwatunza wake zao na familia kiasi kwamba wake huwa wanajikuta wamechepuka bila kujipendea na wakizoea ndio dharau zinazidi na siri hizo zikifichuka ndio magomvi yanaingia kwenye familia hadi kuachana. pia, wanaume kufumaniwa au kujulikana na wake zao kuwa wanatembea na michepuko, magonjwa ya zinaa n.k, ndio vyanzo. ila sio kweli kwamba kuombana tigo ndio kiwe kigezo. hakuna mwanaume anayempenda mke wake anayeweza kumwomba tigo, hayupo, na ukiona mwanamke anatoa tigo ujue walianza kabla hawajaoana na wamekuja kuendeleza kwenye ndoa na kwa sababu hiyo mwanamke huyo hana haja ya kulalamika.

kuna demu mmoja aliwahi kunishirikisha hizo tigo kwamba bwanake anamtaka tigo, na yeye hatatoa tigo labda mumewe aweke cruser hapo nje kwamba atamnunulia kama zawadi. nilishangaa kumbe likiwekwa cruser hapo anaweza kutoa tako, na kwasababu hiyo hata kama hatato akwa mumewe mchepuko huko nje ukiweka mzigo hapo anatoa kiurahisi tu. ujinga mtupu.

kitu chengine, watu kama kina joyce kiria na takataka zengine za gender huko, wanaharibu sana akili za wanawake.
Kumbe ukiweka v8 unapewa tope. Aisee!
 
Back
Top Bottom