Bongo bwana yaani ujinga umetujaa. Sasa tunafurahi kabisa mtu ana mastres anaendesha bajaj....wacha wafhungu watutawale
Yaani mi huwa naona watu nchi hii wana laana ya asili si bure ,
Yaani serikali inatumia pesa nyingi za walipa Kodi kusomesha na kuzalisha skilled manpower ambayo inaishia kutotumika / kuwa under utilized halafu k*ma kama huyo makinda na mamaku wenzake wanaongea unges£ hapa aisee .
Why wasting time kusomesha hao vijana miaka yote kama mnaona ajira za fani zao Hamna ? Si Bora hiyo pesa ingetumika kutengeneza mazingira Bora ya uwekezaji , biashara na kilimo Kwa kutoa subsidies na mikopo isiyo na riba Kwa hao vijana ? , Yaani mtu asome miaka yote agraduate aishie kuwa machinga ,bodaboda au mbeba zege ?
Aisee kweli WA Afrika wengi wanafikiri Kwa kutumia matacle si bure .
Hivi hawa mbwa wameshawahi kufanya analytical review ya hasara ambayo nchi inaipata Kwa kuwa na skilled man power ambayo haiwi utilised ? Au kuwa under utilized ?
Hili tatizo la ajira ni real nchi hii , na ni tatizo linalosababishwa na serikali yenyewe wala Hakuna mtu mwingine WA kulaumiwa , suala la kutengeneza mazingira Bora ya biashara ,uwekezaji na kukuza sekta binafsi ili kuzalisha na kuongeza ajira si la hao graduates wanaolalamikiwa hapa kila siku ni jukumu la serikali , Huu upuuzi WA hawa wapumbav waliovimbewa Kodi za walalahoi WA nchi hii ni kutafuta scapegoats WA kutupiwa lawama ni kukwepa majukumu na ufinyu WA fikra na akili .
Hao wasenge wanavyoongelea suala la kujiajiri as if wao au watoto wao walishawahi kujiajiri hata Kwa kuuza ubuyu ,
Serikali ya kipumbav ya CCM hii hii ndio imedumaza uchumi na maendeleo Kwa miaka 60 , wamecreate urasimu ,rushwa ,ufisadi ,mfumo mbovu WA uongozi na kutowajibika katika uongozi miaka yote hii ,hata uchumi wenyewe unapumulia mipira matokeo yake nchi imekuwa kiwanda cha kuzalisha lundo la mafukara WA kutupwa huku wahuni wachache including hao mchwa WA CCM wakifaidi national cake halafu wanapata guts za kuropoka ujinga kama huo . Mitaani watu wanaishi kama wakimbizi no hopes no prospects za life .
Yeye miaka yote amekaa pale serikali ni kitu gani cha Maana kafanya kuwasaidia hao graduates wasio na ajira wanaokula Kwa wazazi wao ? Aisee huwa naumia Sana kuona Hali kama hii , resources zote zilizopo nchi hii yet watu wanaishi undignified lives kama rats with no fault of their own Bali makosa na misconducts za Wapumbav kama hawa wanajiita viongozi nchi hii , aisee ningekuwa Rais nikunyonga Tu mbuz kama hawa , hawa mbwa wameruin maisha na dreams za raia wengi nchi hii . Hakuna uhujumu uchumi mbaya kama huu
Hivi unafikiri hizo nchi zilizoendelea zilifika pale Kwa kuendekeza upumbav kama huu ? Yaani Unatumia gharama kumsomesha nuclear physicist / engineer au daktari NK halafu akimaliza masomo unamwambia awe bodaboda hivi hii ni akili ama ni nini , huyo nuclear physicist unategemea ainvent nini kwenye ubodaboda au alisaidie taifa vipi Kwa huo ubodaboda na ubeba zege ?
Why hao wapumbav wasianzishe research and technology development institutions Kwa kuzipa subsidies na resources ili kufanya tafiti na gunduzi mbalimbali za kisayansi katika Nyanja mbali mbali ambazo zinaweza kulisaidia taifa na hata hizo scientific and technological breakthroughs zikauzwa Kwa pesa ndefu na kuingiza pesa za kigeni ?
Walivyo wapumbavu wanatoa mikopo ya mabodaboda yaani akili za kifala kabisa .
Skilled human resource ni lazima uwe fully utilised with regards to specialization husika .
Halafu ndio utegemee siku moja nchi kama hizi ziendelee ,hiiii[emoji35][emoji35][emoji35] , Kwa kuendekeza wapuuzi kama huyu makinda ?
Hii nchi revolution iabidi iletwe na vijana WA 90's ambao wengi ndio wahanga WA hili janga .
Hizi ni dharau