Makinda ashangaa wasomi wanaokula bure makwao

Makinda ashangaa wasomi wanaokula bure makwao

Utamkuta Prince Kunta nakadigrii kake ka sociology yuko yuko tu kwa shemeji yake waking'ang'ania remote na beki tatu kisa dada yake anamkingia kifua. Wakati uwani kuna eneo kubwa angalau angelima kabustani kambogamboga.
Mtu mwenye Smartphone hapaswi kukosa shughuli ya kufanya, kwa mtu ambae hana smartphone labda...
 
Ni kweli kuna vijana wako kwa wazazi wao hata baada ya kufuzu vyuo vikuu na ajira Serikalini hawana.
Mimi ninao graduates wawili waliojitafutia namna ya kuyaishi maisha haya wakiwa nyumbani kwa sababu nafasi ipo na uwezo wa kuwahudumia upo!.
Kejeli za mawigi Makinda zinatokana na taarifa za sensa zilizotolewa na wadau wakati wa zoezi la kuhesabu watu, ambapo kulikuwa na swali la kuwa na au kutokuwa na ajira.
Kamishina wa sensa Makinda tayari anatumia taarifa za sensa kukejeli watu hata kabla ya matokeo ya sensa yenyewe kutangazwa!.... Hii haina tofauti na Daktari anayekusanya taarifa za mgonjwa kwa lengo la uchunguzi baadaye taarifa hizo hizo anazitumia kuwananga nazo wanajamii badala ya kutafuta suruhisho.
Hivi alivyoteuliwa kuwa mkuu kwenye sensa hii hakuapishwa?..... Unaweza kuona jinsi tulivyo na viongozi maboga kwenye Serikali.
 
Walamba Asali wanalamba mpaka wanajisahau kuwa watanzania wengi ni masikini, waoga, wajinga,na uzuzu umetamalaki,madame speaker watoto wake wapo Safi,systems imewasaidia na yeye akiugua ni safari ya India au millpark hosp, madame speaker hii ni kauli ya kejeli kwa dot.com, na wao watakushangilia tu, endelea kulamba asali
 
Je wameweka mazingira mazuri ya mtu kujitegemea? Kila mahali tozo, vibali lukuki, ukosefu wa soko n.k. Hao vijana watajiari vipi?

Amandla...
 
aliyeshiba hamjui mwenye njaa
Hawa ukiwaondoa kwenye system ambako wanakula vya bure tena bila kufanya kazi yoyote hawawezi kuishi hata miezi sita, trust me. Hawa watoto wao wote hawakupitia kwenye shida. Kauli kama hizi wanazitoa kwa sababu ya kuvimbiwa. Watanzania bila kuamka na kushikisha adabu watu wa aina hii tusitegemee maisha kubadilika. Nchi ingekuwa na watu wakali watawala wenye kashfa na kiburi namna hii wasingethubutu kukejeli watu.
 
Bongo bwana yaani ujinga umetujaa. Sasa tunafurahi kabisa mtu ana mastres anaendesha bajaj....wacha wafhungu watutawale
Yaani mi huwa naona watu nchi hii wana laana ya asili si bure ,
Yaani serikali inatumia pesa nyingi za walipa Kodi kusomesha na kuzalisha skilled manpower ambayo inaishia kutotumika / kuwa under utilized halafu k*ma kama huyo makinda na mamaku wenzake wanaongea unges£ hapa aisee .

Why wasting time kusomesha hao vijana miaka yote kama mnaona ajira za fani zao Hamna ? Si Bora hiyo pesa ingetumika kutengeneza mazingira Bora ya uwekezaji , biashara na kilimo Kwa kutoa subsidies na mikopo isiyo na riba Kwa hao vijana ? , Yaani mtu asome miaka yote agraduate aishie kuwa machinga ,bodaboda au mbeba zege ?
Aisee kweli WA Afrika wengi wanafikiri Kwa kutumia matacle si bure .
Hivi hawa mbwa wameshawahi kufanya analytical review ya hasara ambayo nchi inaipata Kwa kuwa na skilled man power ambayo haiwi utilised ? Au kuwa under utilized ?

Hili tatizo la ajira ni real nchi hii , na ni tatizo linalosababishwa na serikali yenyewe wala Hakuna mtu mwingine WA kulaumiwa , suala la kutengeneza mazingira Bora ya biashara ,uwekezaji na kukuza sekta binafsi ili kuzalisha na kuongeza ajira si la hao graduates wanaolalamikiwa hapa kila siku ni jukumu la serikali , Huu upuuzi WA hawa wapumbav waliovimbewa Kodi za walalahoi WA nchi hii ni kutafuta scapegoats WA kutupiwa lawama ni kukwepa majukumu na ufinyu WA fikra na akili .
Hao wasenge wanavyoongelea suala la kujiajiri as if wao au watoto wao walishawahi kujiajiri hata Kwa kuuza ubuyu ,

Serikali ya kipumbav ya CCM hii hii ndio imedumaza uchumi na maendeleo Kwa miaka 60 , wamecreate urasimu ,rushwa ,ufisadi ,mfumo mbovu WA uongozi na kutowajibika katika uongozi miaka yote hii ,hata uchumi wenyewe unapumulia mipira matokeo yake nchi imekuwa kiwanda cha kuzalisha lundo la mafukara WA kutupwa huku wahuni wachache including hao mchwa WA CCM wakifaidi national cake halafu wanapata guts za kuropoka ujinga kama huo . Mitaani watu wanaishi kama wakimbizi no hopes no prospects za life .

Yeye miaka yote amekaa pale serikali ni kitu gani cha Maana kafanya kuwasaidia hao graduates wasio na ajira wanaokula Kwa wazazi wao ? Aisee huwa naumia Sana kuona Hali kama hii , resources zote zilizopo nchi hii yet watu wanaishi undignified lives kama rats with no fault of their own Bali makosa na misconducts za Wapumbav kama hawa wanajiita viongozi nchi hii , aisee ningekuwa Rais nikunyonga Tu mbuz kama hawa , hawa mbwa wameruin maisha na dreams za raia wengi nchi hii . Hakuna uhujumu uchumi mbaya kama huu
Hivi unafikiri hizo nchi zilizoendelea zilifika pale Kwa kuendekeza upumbav kama huu ? Yaani Unatumia gharama kumsomesha nuclear physicist / engineer au daktari NK halafu akimaliza masomo unamwambia awe bodaboda hivi hii ni akili ama ni nini , huyo nuclear physicist unategemea ainvent nini kwenye ubodaboda au alisaidie taifa vipi Kwa huo ubodaboda na ubeba zege ?

Why hao wapumbav wasianzishe research and technology development institutions Kwa kuzipa subsidies na resources ili kufanya tafiti na gunduzi mbalimbali za kisayansi katika Nyanja mbali mbali ambazo zinaweza kulisaidia taifa na hata hizo scientific and technological breakthroughs zikauzwa Kwa pesa ndefu na kuingiza pesa za kigeni ?

Walivyo wapumbavu wanatoa mikopo ya mabodaboda yaani akili za kifala kabisa .

Skilled human resource ni lazima uwe fully utilised with regards to specialization husika .
Halafu ndio utegemee siku moja nchi kama hizi ziendelee ,hiiii[emoji35][emoji35][emoji35] , Kwa kuendekeza wapuuzi kama huyu makinda ?

Hii nchi revolution iabidi iletwe na vijana WA 90's ambao wengi ndio wahanga WA hili janga .
Hizi ni dharau
 
Mabibi na mababu waliosoma enzihizo fursa zipo serikalini wanaongea Mambo Kama walevi vile
 
Elimu ni funguo wa maisha, mlango wa maisha upo wapi?kwamba Elimu sio ufunguo wa ajira!!Hawa mbwa wakisha Shiba, wanaona watoto wa watu wenye degree zao lakini wanaendesha boda boda, kama punguani vile?

watoto wa wakubwa, wakimaliza shule tu, wanaletwa nafasi za ajira nyumbani, nafasi za wizarani, mashirika ya umma, taasisi, mtoto wa maskini anaambiwa akajiandikishe ajira portal!
Kwenye kundi la wabunge wa ea, waliochaguliwa, Kuna watoto wa vigogo, kwanza walikuwa nje kwenye balozi, walianza kazi wizarani baada ya kutoka vyuoni tu!

Yaani nikisikia Hawa wazee kizazi Cha Nyerere, Mwinyi, Mkapa, wanaongea hizi pumba, nahisi kutapika kabisa
Tuache visingizio. Kijana yeyote awe msomi au la anatakiwa ajishughulishe, awe tayari kufanya kazi yoyote. Kitu kinachosumbua vijana wasomi ni jinsi jamii inavyowatazama na kuwahukumu. Kusimama majukwani na kuwabeza wasomi ni kuwaongezea msongo wa mawazo. Kwa mtazamo chanya Makinda anataka vijana wasomi wasibweteke- siku hizi ni vijana wachache sana wanapata kazi inayoendana na kozi waliyosomea. Wajitume zaidi, wahangaike mitaani- wajifunze mambo mapya ili kujipatia kipato- si rahisi, lakini msemo wa kiswahili wa penye nia pana njia mara nyingi unafanikiwa. Kazi yoyote itakuongezea "networking "- utafahamiana na watu wengi kuliko kukaa nyumbani.
 
Wengi wanabet na kucheza michezo ya bahati nasibu ndio ajira pekee waliyonayo kwa sasa hakuna anaependa kukaa bure mtu amesotea elimu zaidi ya miaka 15 usimchukulia poa you must show some respect to them, wamepambana kuitafuta elimu kwa jasho, shida na taabu angalau wameelimika..
Asiepata akapata matako huliaaa mbwataaa
 
Back
Top Bottom