Makonda akabidhi ofisi kwa RC Kunenge, adai ofisi hiyo ina majungu mengi

Huyu aliyekuja aendeleze
KUPIMA TEZI DUME wanaume wa Dar
 
Tahadhari kwa mkuu wa mkoa ofisi ina wambea na majungu, kama hakuwa mmoja wa wambea na mpika majungu alishindwaje kuwaondoa wakati ana nyenzo zote? Yale majungu yaliyomuuwa aliyekuwa mkurugenzi wa jiji yalikuwa masufuria.
Aende, Kuna maisha baada ya ukuu wa mkoa alikuwa hajui hilo.
 
Waziri wa mambo ya ndani ajae huyo hivyo tusimalize maneno
Mmh mkuu ujio wa Balozi wa Marekani ndio mwisho wa Makonda katika teuzi kubwa za kitaifa.
Magufuli anahitaji Marekani kuliko anavyomwihitaji Makonda.
 
Serikali ndio itafute solution ya kupima na kutibu tezi dume bure na sio makonda.
 
Hilo la Kua na Yesu ilitakiwa liwe moyoni mwake maana sie hatuwezi kujua kama anae Yesu ama laa
 
Makonda anastahili kupewa kazi nyingine ni mchapakazi.
Huyo ni mpiga domo. Siyo mchapa kazi. Projects zake zote alizopigia domo hakuna hata moja alofanikisha mpaka mwisho.

Hivi walimu wanapanda daladala bure ?Ombaomba wale kwenye foleni wamekwisha ?Wajane ?Wale watoto walikusanywa baba zao wawahudumie ?
 
stinking rubbish
Sikulaumu maana kila mtu huandika/kutoa mawazo kutokana na kile kilichotawala Kwenye kichwa chake.
Na ningeshangaa Sana kicha kilichojaa rubbish kisiandike Mambo ya rubbish "stinking rubbish"
 
Yani unamchanganya Bashite na watu wanaojielewa.
Pathetic, mwambie alete vyeti, mbona hao wenzake wana vyeti
 
Bora wenye majungu kuliko wanafiki
 
Umesahau lile la Lisu
 
Sentensi tata hii,,, anamzungumizia yesu yupi? [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
 
Ajiandae kugombea serikali za mitaa,kumbe kajenga Kigamboni.
Kanunua nyumba moja ya serikali pande za ma saki nadhani ilikuwa kwenye matengenezo makubwa utasikia vijana wa Lumumba tataambiwa wivu wa kike, takukuru tunawasubilia.
 
Hivi kikomo cha ujana ni miaka mingapi? Maana huyo January ana 46
 
Sasa Sam anamtahadharisha kuwa kuna majungu ili halo aye alikuwa ofisi hio hio? Huu si ndio unafiki n uongo?
 
"Asilimia 70 ya huu mkoa ni wambea, na wanapenda umbea kuliko chochote kile, msikubali wakawatenganisha wewe na RAS
wako.wanapiga majungu sana hawa msiwaone hivi, wanamjua mtu kuliko anavyojijua yeye". Aliyekuwa RC Dar es Salaam-Paul Makonda

NB: MAKONDA tuache wana DSM na mkoa wetu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…