Pre GE2025 Makonda amjibu Waziri Bashe, asema atamhoji sababu yeye ndiye anakitafutia kura chama

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Mheshimiwa Makonda ni maarufu sana ndani ya Taifa letu. Ni maarufu ambaye ukitaja jina lake tu kila mtu anamfahamu .ndio maana unaona namna alivyoteka siasa za nchi hii wakati huu.
Bashite ni maarafu kwa sababu ya msambwanda, kuteka watu, kuua na kudhulumu mali za watu
 
Mmoja anajua kutengeneza nadhari kisomi na kuziongea kana kwamba zitaenda .
Mwingine hana nadharia anatenda kulingana kilichopo mbele yake yeye ni Mtendaji hana siasa anapiga popote bila kujali anataka Matokeo.
Wote wana sifa ya kusikiliza hata kama ni kiusanii lkn wanakupa ushirikiano na kuonyesha wako nawe.
Chagueni yupi bora
 
Migogoro mikubwa nchi hii inahusu ardhi. Polisi, Mahakama.

Ni hivi, kigogo anachukua ardhi yako, ardhi ya mama yako, ardhi ya yatima, mjane, analindwa na polisi, mahakama.

Unafanyaje?
Unasubiri Makonda apite uongee. Paralysed mifumo
 
Kama unge
KAMA ungejua serkali inatekeleza ilani ya chama ambacho ni ccm ungekaa kimya.
Bashe yuko hapo kwa mgongo wa chama asilete usanii ataliwa kichwa na wanamjua ni timu Lowasa na Msomali
 
Ukitafakari sana alichosema inamaana hata wapiga kura wake hawwawezi kumuuliza kitu acha sisi wananchi
 
Migogoro mikubwa nchi hii inahusu ardhi. Polisi, Mahakama.

Ni hivi, kigogo anachukua ardhi yako, ardhi ya mama yako, ardhi ya yatima, mjane, analindwa na polisi, mahakama.

Unafanyaje?
Unasubiri makonda aje umweleze. maana hao machadema ndo wamesababisha hizi shida zote kwa wananchi.
 
Sasa Bashe Godfather wake Lowasa yupo hoi bin taabani,atashindana na Makonda mtonyaji maalumu wa Msoga gang kimkakati ambaye alijifanya Mwandani wa Magufuli.
Yule mtoto Bashe amwache tu,yule hamuwezi.Sukuma gang wamejipanga sana!

Sent from my V2111 using JamiiForums mobile app
 
Kama unge

KAMA ungejua serkali inatekeleza ilani ya chama ambacho ni ccm ungekaa kimya.
Bashe yuko hapo kwa mgongo wa chama asilete usanii ataliwa kichwa na wanamjua ni timu Lowasa na Msomali
Sijui ni uzito wa uelewa wako au tatizo ni uelewa mdogo?

Kabla ya hicho unachoita ilani, kuna sheria za nchi na kanuni mbalimbali za utumishi wa Umma.

Pili, narudia kwa mara nyingine ili hata kama uelewa wako ni mdogo uelewe hapa. Chama kina kazi ya kuisimamia serikali kwa kupitia vikao. Makonda hana mamlaka yoyote ya kuwasimamisha majukwaani au kuwapigia simu watumishi wa umma na kuwahoji au kuwapa maagizo yoyote.

Acheni kulishana ujinga.
 
Mwambie Basi Bashe kama hataki kuulizwa na chama na kutoa ufafanuzi wa masuala mbalimbali yanayogusa wizara yake basi ajiuzulu hataleo tu ili Mheshimiwa Rais wetu mpendwa ateue mtu mwingine.
Inaonekana ujinga mnaolishana ni mkubwa kuliko uwezo wangu wa kuelewesha mkuu, naomba nikuache na imani yako.
 
Sasa Bashe ana madaraka gani ya kupambana na Makonda,Makonda ana network pana sana mpaka TISS.

Sent from my V2111 using JamiiForums mobile app
 
Bashe nenda na upepo kama unataka kuendelea kula Kodi zetu ujuaji itakula kwako.
 
Kwa taarifa

Hatakusaidia kuandika kwa hasira. Kwa taarifa yako Waziri yuko hapo kisiasa. Ndio maana Makonda hadili na Makatibu wa wizara ambao hawako kisiasa. Huyo Bashe kama hujui ni Mbunge wa ccm. Ubunge na serkali wapi na wapi? Bora uje kambi yetu ya kudai katiba ili serkali na chama zitenganishwe. Kama hujui kuwa hujui kaa ukijua. Ndio maana tunawaambia suasa na serkali zikae tofauti lkn si kwa katiba hii. Makonda ni Bosi wa Bashe kwa chama chao. Juzi DED huko Tanga amesimamishwa kwa tamko la Makonda akumuomba Waziri mhusika naye amuondoe na waziri huyo ni mwanasiasa wa chama chao.

Relax utapasuka
 
Mim naona unamlisha maneno. Nimeskia kikao cha wazir bashe
Alichokuwa anakisema pale ni kwamba hakuna wa kumuliza kwa nin anaelekeza bei elekez ispokuwa wat 4.
Mbona amepigiwa sim na makonda juu ya bei ya sukar na akamjibu kuwa wanaifanyia kaz kwa kuleta iliyopungua na bei elekez. Mnashabikia vitu vya kijinga.
 
Reactions: Tui
Lakini humans are territorial in nature......
 
Mambo ya kuonyana ni ya chama huko ndani

Huku nje ni kofia za uteuzi kiserikali sababu unahudumia watu wote...kofia ya uwaziri haitaji kuhojiwa na makonda..sababu sio yeye aliyemteua au atakaemtoa

Sawa na monter na kaka mkuu
Kaka mkuu anaweza kuwa katoka darasani kwa monter...kweli kaka mkuu akiwa darasani yuko chini ya monter sababu monter ni mkubwa kidarasa



Ila wakitoka nje kaka mkuu over all .....monter ananguvu ya kumuongoza kaka mkuu
 
Sasa Bashe ana madaraka gani ya kupambana na Makonda,Makonda ana network pana sana mpaka TISS.

Sent from my V2111 using JamiiForums mobile app
Kuna sehemu nimezungumza kuhusu madaraka kwenye mchango wangu mkuu?

Halafu punguza ujuaji, haya mambo ya TISS sijui na network endeleeni kujadiliana huko vijiweni.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…