Dr Restart
JF-Expert Member
- Jul 15, 2021
- 4,949
- 24,046
Mbona mara ya pili sauti ilitoka na akaanza kuzungumza vema?.Hujawahi kutana na watu wenye sauti ndogo na nyembamba?
Wasitafute huruma huku... 😀Hayo ni mambo yenu ya kike muyamalize huko huko Longido
Ananichosha tu 😂Huyu jamaa nae ni wale wale usimjibu achana nae
Ha ha haaaaNi kawaida yao wanawake kulumbana na kurushiana maneno hata kama ni hadharani na usisahau wanawake hua hawapendani
Hakuna kuwatetea wafujaji na wazembe.Huu utamaduni wa kutetea uzembe na kutowajibika ndio kumefanya watanzania wengi hawawezi kufanya kazi kwenye mashirika ya kimataifa.Akisemeshwa mtu anakimbilia kusema ni unyanyasaji.Watu wanasema uongo wanachelewesha miradi kwa makusudi ili waingize pesa kwenye mifuko yao.Ikikemewa wanakuja so called civilised people ohh pale angetumia lugha laini.Akitumia lugha laini ohh huyu ni kiongozi dhaifu.Wazembe na wafujaji na wabadhirifu China wananyongwa hapa tunawatetea halafu wakiiiba tunapiga kelele kwanini hatua hazichukuliwi.Mbona mara ya pili sauti ilitoka na akaanza kuzungumza vema.
Tukubaliane tu kuwa Makonda ametumia maneno ya hovyo katika kumtaka azungumze kwa sauti.
Ila swala la sauti ndogo, huyo mwanamama hana sauti ndogo. Pengine aliingiwa na hofu wakati wa kuhojiwa.
Labda mkombozi wa ukoo wenu wa panyaMWACHE AHOJIWE NA ANATAKIWA ATOE MAJIBU SIYO KUMUNGUNY AMANENO WAMEIBA SANA MKOMBOZI KAINGIA ARUSHA WACHA WANYOROSHWE BADO LEMA
Nami nitakunyorosha weweMWACHE AHOJIWE NA ANATAKIWA ATOE MAJIBU SIYO KUMUNGUNY AMANENO WAMEIBA SANA MKOMBOZI KAINGIA ARUSHA WACHA WANYOROSHWE BADO LEMA
PumbafuuuuuMWACHE AHOJIWE NA ANATAKIWA ATOE MAJIBU SIYO KUMUNGUNY AMANENO WAMEIBA SANA MKOMBOZI KAINGIA ARUSHA WACHA WANYOROSHWE BADO LEMA
Mwizi, muhuniMakonda hafai kuwa kiongozi wa umma
Mwizi ni mwizi tuAngekuwa mke wako ungesema hivi Mkuu?
Ingawa simtetei Makonda ila kama ni mwizi wacha apate maneno makaliKila kitu kina utaratibu wake, kama alikuwa hamsikii angemwambia kistaarabu aongeze sauti, sio kumjibu kama alivyomjibu
Hajui kitu aibuHuyo baba anaropoka sana… anajitia aibu, sijui mkewe hamwambii?
Huyo baba ni mjomba wako?
Hujisikii aibu kumtetea? Au hujaona hiyo clip?
Kuna watu wana sauti ndogo sana
Anamwambiaji aongeze sauti sjui asimrembee km anatoa posa bla bla mke wake this mke that. Vina mahusiano gani ktk mahojiano??
Angemwambia tu weka maiki vizuri mdomoni ili usikike, asingeeleweka?
“a fish rots from the head down”Huyu mama alikosea kumrudisha
Matatizo makubwa wanayo hao wanaohojiwa. Watu wazima, wengine ni wasomi wazuri wana familia zao lakini wanaonyesha kumwogopa huyu mpumbavu tena kilaza mwenye elimu ya mchongo. Wangekuwa wanajiamini na kumpa majibu yanayostahili wala asingethubutu kuendelea na huu ujinga. Ndiyo maana mimi niliapa hizi kazi za kuteuliwa au kuajiriwa kwenye serikali ya Tanzania, sitaki. Bora niwe mkulima wa jembe la mkono. Nasema hivi kwa sababu nina uhakika kwa asilimia zote angeingia kwenye anga zangu na kufanya kebehi anayofanya siku hiyo hiyo wangenifukuza kazi lakini baada ya kumpa maneno yanayomfaa.Angekuwa mke wako ungesema hivi Mkuu?
Aliyemteua makonda anafanana naye kiakili.Huyu mama alikosea kumrudisha