manizzle
JF-Expert Member
- Apr 29, 2015
- 3,421
- 4,320
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Si amesema ni samani za shule za Dar Mkuu?Mkuu ina maana wewe vitu vyako vikipigwa mnada utakaa kimya?
Albadri @ work.Nilisikiaga kama yalikanwa, kwamba si ya kwake, lakini leo nakutana na kitu tofauti hapa, huenda kuna jambo kubwa zaidi ya hili ambalo tunalijua hapa
Naibu raiHISIKwan makonda ni nan hasa kias kwamba awanyime uhuru taasisi kubwa ya kiserikali kufanya kazi zake kwa uhuru?
Kuna mambo mengine viongoz Wetu wanafanya kias kwamba unajiuliza uyu mpaka leo anafanya nin kwann asipangiwe kazi nyingine ya kufanya au apigwe tuu chin..!!!!
Uyo jamaa kwa jinsi magu anavyo mlea ipo siku atakuja toa kauli za dhiaka kwa rais na uwongoz wake....
Sent using Jamii Forums mobile app
Tuwasubiri 'TIARAEI' watujibu MkuuYana nini hayo makontena?
Mkuu wa mkoa wa Dar es salaam Paul Makonda jana alifanya ibada maalum kanisani kwa ajili ya makontena yake yenye samani za shule yanayoshikiliwa na TRA
Katika ibada hiyo Makonda alionya watakao nunua makontena yake watapata laana kali
Pia aliwarushia dongo TRA akisema ni watu wabaya wasio na huruma na kudai kuwa wanamchukia Makonda
"Kama wanachukia Makonda waondoe nembo ya majina yangu kwenye makontena hayo" alisema Makonda
Ni mara nyingine viongozi wa serikali wanasuguana na taasisi za serikali katika kutekeleza majukumu yake huku kiongozi huyo wa mkoa akihisi anaonewa na ni wivu unaofanywa na TRA kisa anafanya vizuri katika mkoa wake
Juzi Paul Makonda alikaririwa na vyombo vya habari kuhusu kupigwa mnada makontena yake,akisema yeye hatishiki na ni mlima hawezi kuyumbishwa na wale wasiomtakia mema katika harakati zake za maendeleo ya Dar es salaam
Kwa hali ilivyo sasa ni dhahiri kuwa Makonda analaumu serikali kumhujumu na hakubaliani na TRA na mambo inayomfanyia
Swali langu moja tu, kwani kabla ya kuagiza giKama ni vifaa vya Shule wangemwachia tu, akavisambaze mashuleni au hao TRA wakasambaze mashuleni kuliko kukaa nayo
Sent using Jamii Forums mobile app
Eti Mtu anayekwenda Kanisani kila J'pili hayo ndiyo Maombi yake kwa Mungu kwa Mnunuzi halali (siyo mwizi)
Kiburi cha CCM kinafanya Wajione ni wamiliki wa kila kitu Tanzania..
Awamu ya kishamba sana hii.
Swali langu moja tu....mtu makini kabla ya kuagiza mzigo nje anacheki na TRA kama mzigo huo utatozwa kodi au una kidhi vigezo vya msamaha, na kama kuna kodi anacheki ni kiasi gani ili ajiandae. Sasa makonda kabla hajaomba hiyo misaada huko nje, kwanini hakucheki na kujiridhisha na TRA kuhusu mambo ya kodi? Au alijua kwamba kodi itatozwa lakini kaagiza mizigo ije makusudi ili aanze kutafuta huruma za public?Kama ni vifaa vya Shule wangemwachia tu, akavisambaze mashuleni au hao TRA wakasambaze mashuleni kuliko kukaa nayo
Sent using Jamii Forums mobile app
Alijua atapata msamaha kwa Rais na si ajabu hayo makontena ni msaada