Makonda: Atakayenunua makontena yangu atalaaniwa yeye na kizazi chake! Atoa onyo kwa atakayethubutu kununua

Makonda: Atakayenunua makontena yangu atalaaniwa yeye na kizazi chake! Atoa onyo kwa atakayethubutu kununua

Hii aibu kabisa na Mh. Rais chukua hatua sasa..

Mkoa wa Mkoa anatia aibu, iweje anashindwa kuongea na mamlaka husika ya kodi TRA hadi kufikia aibu hii? Ina maana kama ni vifaa kweli vya shule alishindwa nn kuongea na Waziri wake wa TAMISEMI ili aongee na Waziri wa Fedha ili vikaguliwe na vipatiwe exemption kwa asilimia fulani alafu kama ni vifaa vya shule basi viruhusiwe... Mm nahisi kuna ujanja fulani labda Mkuu wa Mkoa anataka kuufanya.. Kodi ni lazima ilipwe na jina ni lake ktk makontena, so TRA wako sahihi kudai kodi, Mh. Rais anaweza chukia akamwondoa RC Makonda kwa kosa hili hili la kodi... Ooohh shauri yake...
 
Hizo kontena nadhani aliwahi kukana kwa kugoma kuzizungumzia sasa leo inakuaje anakuja na kuaanza kulialia
 
Kwan makonda ni nan hasa kias kwamba awanyime uhuru taasisi kubwa ya kiserikali kufanya kazi zake kwa uhuru?

Kuna mambo mengine viongoz Wetu wanafanya kias kwamba unajiuliza uyu mpaka leo anafanya nin kwann asipangiwe kazi nyingine ya kufanya au apigwe tuu chin..!!!!

Uyo jamaa kwa jinsi magu anavyo mlea ipo siku atakuja toa kauli za dhiaka kwa rais na uwongoz wake....

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwan makonda ni nan hasa kias kwamba awanyime uhuru taasisi kubwa ya kiserikali kufanya kazi zake kwa uhuru?

Kuna mambo mengine viongoz Wetu wanafanya kias kwamba unajiuliza uyu mpaka leo anafanya nin kwann asipangiwe kazi nyingine ya kufanya au apigwe tuu chin..!!!!

Uyo jamaa kwa jinsi magu anavyo mlea ipo siku atakuja toa kauli za dhiaka kwa rais na uwongoz wake....

Sent using Jamii Forums mobile app
Naibu raiHISI

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu wa mkoa wa Dar es salaam Paul Makonda jana alifanya ibada maalum kanisani kwa ajili ya makontena yake yenye samani za shule yanayoshikiliwa na TRA

Katika ibada hiyo Makonda alionya watakao nunua makontena yake watapata laana kali

Pia aliwarushia dongo TRA akisema ni watu wabaya wasio na huruma na kudai kuwa wanamchukia Makonda

"Kama wanachukia Makonda waondoe nembo ya majina yangu kwenye makontena hayo" alisema Makonda

Ni mara nyingine viongozi wa serikali wanasuguana na taasisi za serikali katika kutekeleza majukumu yake huku kiongozi huyo wa mkoa akihisi anaonewa na ni wivu unaofanywa na TRA kisa anafanya vizuri katika mkoa wake

Juzi Paul Makonda alikaririwa na vyombo vya habari kuhusu kupigwa mnada makontena yake,akisema yeye hatishiki na ni mlima hawezi kuyumbishwa na wale wasiomtakia mema katika harakati zake za maendeleo ya Dar es salaam

Kwa hali ilivyo sasa ni dhahiri kuwa Makonda analaumu serikali kumhujumu na hakubaliani na TRA na mambo inayomfanyia

Kama wasukuma ndo ubongo wetu ulivyo basi viwanda vitaota kama uyoga maana tutatumia miguvu kujenga viwanda akili inafanya kazi za ki msukule ya Gambush
 
yani anatumia kodi za TRA ila anawarushia madongo... huyu jamaa siku zake zinahesabika.. alijisahau sana
 
Hongera sana Mh JPM kwa kuachana na huyu kilaza anayeshindwa na Mkoa wa Dodoma kimapato halafu anataka kuendelea kukwepa kodi. Naamini kwa umakini wako utakuwa umejifungia ukitafuta jina la RC bright wa kuongoza DSM
 
Anatafuta huruma kwa Jiwe tu.
Hayo Maombi ni Kuhalalisha aonekane anapigania Maslahi ya Wengi..
Nia ni kujijenga Kisiasa..Mnafiki tu huyu.
Wengine Wafuate Sheria Kuingiza Makontena Nchini yeye atafute Huruma kwa Magu..Hakuna hiyoo.
 
Eti Mtu anayekwenda Kanisani kila J'pili hayo ndiyo Maombi yake kwa Mungu kwa Mnunuzi halali (siyo mwizi)
Kiburi cha CCM kinafanya Wajione ni wamiliki wa kila kitu Tanzania..
Awamu ya kishamba sana hii.

Hata syo kiburi wala usiihusishe ccm na uendawazimu huu bali husisha kabila letu maana nchi hii imetawaliwa awamu nne hii ni ya tano,why awamu zilizotangulia upuuzi huu haukuwepo!?
 
Kama ni vifaa vya Shule wangemwachia tu, akavisambaze mashuleni au hao TRA wakasambaze mashuleni kuliko kukaa nayo

Sent using Jamii Forums mobile app
Swali langu moja tu....mtu makini kabla ya kuagiza mzigo nje anacheki na TRA kama mzigo huo utatozwa kodi au una kidhi vigezo vya msamaha, na kama kuna kodi anacheki ni kiasi gani ili ajiandae. Sasa makonda kabla hajaomba hiyo misaada huko nje, kwanini hakucheki na kujiridhisha na TRA kuhusu mambo ya kodi? Au alijua kwamba kodi itatozwa lakini kaagiza mizigo ije makusudi ili aanze kutafuta huruma za public?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom