Makonda awaomba CHADEMA kusitisha shughuli zao za kisiasa, kuomboleza kifo cha Lowassa

Lowassa alikuja kuharibu haiba ya cdm. Kama kweli aliwasaidia akiwa na miezi miwili, aliwasaidia Nini alipokaa miaka miwili? Acheni upotoshaji wa kijinga mkidhani hatujui ukweli. Alaaniwe Mbowe na genge lake kwa kumpokea huyo tapeli wa siasa.
Moja kati ya kitunaamini kinamtesa Mbowe ni hilo
 
Yaani 0 brain awashauri ma genius?
 
Moja kati ya kitunaamini kinamtesa Mbowe ni hilo

Kabisa, ni vile tu wanasiasa huwa wanajitoa ufahamu. Labda kwakuwa alifaidika yeye binafsi na rushwa aliyopewa Ili ampe hicho kiti.
 
Mnafiki mkubwa huyo kenge tu
 
Huyu Kibaka anakuwaje sijui. Anawapangia chadema la kufanya?
Chadema si genge la wahuni ,mzee Mbowe kawafanya msukule kwa hiyo ni lazima mambo ya msingi ya kitaifa wakummbushwe
 
Atuondolee upuuzi wake hapa yeye ni mc tu wa CCM hana ubavu wa kuwaambia nini cha kufanya vyama vingine,akatulize kalio lake huko kama linamuwasha
Chadema ni kundi la wajinga hakuna namna lazima kuwaelekeza aisee
 
Sishangai kwakuwa kazi ya uenezi inahitaji uwe na kiherehere.
 
Chadema si genge la wahuni ,mzee Mbowe kawafanya msukule kwa hiyo ni lazima mambo ya msingi ya kitaifa wakummbushwe
Mhuni mamako aliyebeba mimba yako kwenye mikesha ya mwenge kiasi hata baba yako halisi hajulikani ndiyo maana huna adabu
 
Mhuni mamako aliyebeba mimba yako kwenye mikesha ya mwenge kiasi hata baba yako halisi hajulikani ndiyo maana huna adabu
Sawa ,umepata shahada baada ya kutukana ,tunaposema hiki chama ni cha wahuni angalia hata lugha wanazotumia hawa kenge kwenye mitandao ,sio ajabu na wewe unaitwa baba flani🙆‍♂️🙆‍♂️
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…