Makonda awaonya Wastaafu wanaowashwa washwa! Awaelekeza kulea Wajukuu zao...

safi ngoja awatukane, wamemuendekeza. kwanini wasimkatalie samia kuwa hii hapana, makonda hapana!
Kwa CCM Rais na mweyekiti wao hapingwi kwa lolote lile, alitakalo ndiyo linakuwa,huo ndiyo utamaduni wao.
 
Bashite ana IQ ndogo sana sana..
Waliomchaguwa wana maana yao au nawo yawezekana hajuwi wafanyalo..
Time will tell...
 
Makonda kwa maneno haya anamlenga hasa Kikwete; kwa kumkashifu huku amejiloga yeye na mama Abdul!! Mkwere will not take this lying down, someone will pay dearly.
 
Hana lugha ya staha,hajui kuchagua maneno,hajakomaa wala hakomai, eti "ulitakiwa"badala ya "ukihitajika",,
 
Sema tu Kikwete na mzee Makamba tulieni wamwache mama.........
Mwaka 2012 tulikuwa tunasoma haya JF:

 
... nazi haijaangukia mbali sana na mnazi! ... awamu iliyopita huu ndio uliokuwa wimbo wa WATAWALA!
 
"......Nakumbuka Marehemu Mzee Mkapa alipostaafu siku moja nimeenda nyumbani kwake nikamuuliza Mzee vipi mbona uko kimya sana akasema unataka nifanye nini?, nikamwambia Mzee unajua akasema hapana Mimi nimemaliza wajibu wangu” - Nukuu
Ha ha ngoja tuone panapovuja
Dongo la wazi hili kwa mstaafu Jakaya, maelezo mengine yote yaliyobakia ilikuwa ni kuuzunguka mbuyu. Ajenda ya mstaafu asiyetaka kustaafu inafufuka tena.
 
Hasa yule kikongwe Warioba na Butiku Kwa kulazimisha Katiba ilhali anajua sio msimamo wa Chama.

Mwisho inaelekea makofi ya Makonda hayakumtosha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…