Kumpiga ngwara hakuwatosha!!!!Anaambiwa Warioba, siyo?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kumpiga ngwara hakuwatosha!!!!Anaambiwa Warioba, siyo?
Let's hope sio Msoga gang....manake kama vile kuna kitu nakiona.Wastaafu gani hao?.
Kwa CCM Rais na mweyekiti wao hapingwi kwa lolote lile, alitakalo ndiyo linakuwa,huo ndiyo utamaduni wao.safi ngoja awatukane, wamemuendekeza. kwanini wasimkatalie samia kuwa hii hapana, makonda hapana!
Na kwaitoNasikia kasema kuanzia leo mawaziri wote watoe ripoti kwake🤣🤣🤣🤣🤣
Dijei walete
Kwani wewe na Makamba mnaijua Kesho yenu??Huyu kijana hana adabu nikae kimya mimi na makamba sawa kijana hujui kesho yako
Bashite ana IQ ndogo sana sana..Uenezi CCM, Paul Makonda amesema sio utaratibu kwa Wastaafu kila siku kuongeaongea huku akiwashauri Wastaafu wakishapumzika watulie na walee Familia zao na kwamba kama watahitajika kwa ajili ya kazi wataitwa.
Akiongea Jijini Dodoma leo Makonda amesema “Kuna tofauti kubwa kati ya tuliokuja Mjini kwa kuungaunga na wale tuliowakuta Mjini, tuliokuja kwa kuungaunga tumepigana vita mapori mengi sana, ndio maana hata ukiulizwa hivi Makonda ni nani hata Baba yake humjui kwasababu tumepiga vita vingi sana, niwaombe tu mliopo ndani ya CCM na nje ya CCM huyu Dkt. Samia ndiye Rais wetu ameletwa na Mungu kwa mapenzi yake Mungu tumpe nafasi ya kufanya kazi”
“Sikuweza kusema kipindi cha miaka yote ile kwasababu sikuwa na nafasi yoyote na Mimi utaratibu wangu ukipewa nafasi unapewa kazi uliyopewa ukimaliza unapumzika, huwezi kupewa kazi umemaliza umepumzika wewe ni Mstaafu lakini kila siku upo kwenye microphone, huo sio utaratibu”
“Ukishaitwa Mstaafu tulia lea Familia yako wakikuona wa maana watakuita kama walivyomuita Makonda, huwezi kuwa Mstaafu halafu kutwaa, aah, aah, na Wastaafu Nchi hii wanaheshimika sana na Mimi nimejifunza kutoka kwao, nakumbuka Marehemu Mzee Mkapa alipostaafu siku moja nimeenda nyumbani kwake nikamuuliza Mzee vipi mbona uko kimya sana akasema unataka nifanye nini?, nikamwambia Mzee unajua akasema hapana Mimi nimemaliza wajibu wangu”
“Kwahiyo tumuache Rais Samia afanye kazi , tusilipelipe Watu mitandaoni wamtukane, kama una pesa kuna Bodaboda wanahitaji pikipiki, Mamantilie wanahitaji mitaji, Wavuvi wanataka boti, kama unawapenda wape hao badala ya kuwapa Watu hela wamtukane Rais wetu na ndio maana waliposikia Makonda ameteuliwa wamepiga kelele nyingi kwasababu wanajua nawajua na hofu yao ni kuwajua, walitamani waendelee kukaa kwenye maficho wasijulikane lakini Mungu ni mwema ninawafahamu”
My Take
Watu kama Samia wasio na maono ndiyo huzoa wateule kama hawa ambao hata akili ndogo ya kujua haki ya mtu kikatiba hana. Kwa hiyo Nyerere na Mkapa ni wajinga waliostaafu wakaandika vitabu tena wakikosoa?
Wewe kibibi pia inakuhusu
Kaa Tulia Lea vijukuu
Ahsante kwa taarifa.Click to expand...
Makonda kwa maneno haya anamlenga hasa Kikwete; kwa kumkashifu huku amejiloga yeye na mama Abdul!! Mkwere will not take this lying down, someone will pay dearly.Uenezi CCM, Paul Makonda amesema sio utaratibu kwa Wastaafu kila siku kuongeaongea huku akiwashauri Wastaafu wakishapumzika watulie na walee Familia zao na kwamba kama watahitajika kwa ajili ya kazi wataitwa.
Akiongea Jijini Dodoma leo Makonda amesema “Kuna tofauti kubwa kati ya tuliokuja Mjini kwa kuungaunga na wale tuliowakuta Mjini, tuliokuja kwa kuungaunga tumepigana vita mapori mengi sana, ndio maana hata ukiulizwa hivi Makonda ni nani hata Baba yake humjui kwasababu tumepiga vita vingi sana, niwaombe tu mliopo ndani ya CCM na nje ya CCM huyu Dkt. Samia ndiye Rais wetu ameletwa na Mungu kwa mapenzi yake Mungu tumpe nafasi ya kufanya kazi”
“Sikuweza kusema kipindi cha miaka yote ile kwasababu sikuwa na nafasi yoyote na Mimi utaratibu wangu ukipewa nafasi unapewa kazi uliyopewa ukimaliza unapumzika, huwezi kupewa kazi umemaliza umepumzika wewe ni Mstaafu lakini kila siku upo kwenye microphone, huo sio utaratibu”
“Ukishaitwa Mstaafu tulia lea Familia yako wakikuona wa maana watakuita kama walivyomuita Makonda, huwezi kuwa Mstaafu halafu kutwaa, aah, aah, na Wastaafu Nchi hii wanaheshimika sana na Mimi nimejifunza kutoka kwao, nakumbuka Marehemu Mzee Mkapa alipostaafu siku moja nimeenda nyumbani kwake nikamuuliza Mzee vipi mbona uko kimya sana akasema unataka nifanye nini?, nikamwambia Mzee unajua akasema hapana Mimi nimemaliza wajibu wangu”
“Kwahiyo tumuache Rais Samia afanye kazi , tusilipelipe Watu mitandaoni wamtukane, kama una pesa kuna Bodaboda wanahitaji pikipiki, Mamantilie wanahitaji mitaji, Wavuvi wanataka boti, kama unawapenda wape hao badala ya kuwapa Watu hela wamtukane Rais wetu na ndio maana waliposikia Makonda ameteuliwa wamepiga kelele nyingi kwasababu wanajua nawajua na hofu yao ni kuwajua, walitamani waendelee kukaa kwenye maficho wasijulikane lakini Mungu ni mwema ninawafahamu”
My Take
Watu kama Samia wasio na maono ndiyo huzoa wateule kama hawa ambao hata akili ndogo ya kujua haki ya mtu kikatiba hana. Kwa hiyo Nyerere na Mkapa ni wajinga waliostaafu wakaandika vitabu tena wakikosoa?
Mimi nilidhani ni Warioba. Kikwete inasemwa ni mbonyeza rimoti.Sema tu Kikwete na mzee Makamba tulieni wamwache mama.........
Mwaka 2012 tulikuwa tunasoma haya JF:Sema tu Kikwete na mzee Makamba tulieni wamwache mama.........
... nazi haijaangukia mbali sana na mnazi! ... awamu iliyopita huu ndio uliokuwa wimbo wa WATAWALA!Uenezi CCM, Paul Makonda amesema sio utaratibu kwa Wastaafu kila siku kuongeaongea huku akiwashauri Wastaafu wakishapumzika watulie na walee Familia zao na kwamba kama watahitajika kwa ajili ya kazi wataitwa.
Akiongea Jijini Dodoma leo Makonda amesema “Kuna tofauti kubwa kati ya tuliokuja Mjini kwa kuungaunga na wale tuliowakuta Mjini, tuliokuja kwa kuungaunga tumepigana vita mapori mengi sana, ndio maana hata ukiulizwa hivi Makonda ni nani hata Baba yake humjui kwasababu tumepiga vita vingi sana, niwaombe tu mliopo ndani ya CCM na nje ya CCM huyu Dkt. Samia ndiye Rais wetu ameletwa na Mungu kwa mapenzi yake Mungu tumpe nafasi ya kufanya kazi”
“Sikuweza kusema kipindi cha miaka yote ile kwasababu sikuwa na nafasi yoyote na Mimi utaratibu wangu ukipewa nafasi unapewa kazi uliyopewa ukimaliza unapumzika, huwezi kupewa kazi umemaliza umepumzika wewe ni Mstaafu lakini kila siku upo kwenye microphone, huo sio utaratibu”
“Ukishaitwa Mstaafu tulia lea Familia yako wakikuona wa maana watakuita kama walivyomuita Makonda, huwezi kuwa Mstaafu halafu kutwaa, aah, aah, na Wastaafu Nchi hii wanaheshimika sana na Mimi nimejifunza kutoka kwao, nakumbuka Marehemu Mzee Mkapa alipostaafu siku moja nimeenda nyumbani kwake nikamuuliza Mzee vipi mbona uko kimya sana akasema unataka nifanye nini?, nikamwambia Mzee unajua akasema hapana Mimi nimemaliza wajibu wangu”
“Kwahiyo tumuache Rais Samia afanye kazi , tusilipelipe Watu mitandaoni wamtukane, kama una pesa kuna Bodaboda wanahitaji pikipiki, Mamantilie wanahitaji mitaji, Wavuvi wanataka boti, kama unawapenda wape hao badala ya kuwapa Watu hela wamtukane Rais wetu na ndio maana waliposikia Makonda ameteuliwa wamepiga kelele nyingi kwasababu wanajua nawajua na hofu yao ni kuwajua, walitamani waendelee kukaa kwenye maficho wasijulikane lakini Mungu ni mwema ninawafahamu”
My Take
Watu kama Samia wasio na maono ndiyo huzoa wateule kama hawa ambao hata akili ndogo ya kujua haki ya mtu kikatiba hana. Kwa hiyo Nyerere na Mkapa ni wajinga waliostaafu wakaandika vitabu tena wakikosoa?
Dongo la wazi hili kwa mstaafu Jakaya, maelezo mengine yote yaliyobakia ilikuwa ni kuuzunguka mbuyu. Ajenda ya mstaafu asiyetaka kustaafu inafufuka tena.Ha ha ngoja tuone panapovuja
Hasa yule kikongwe Warioba na Butiku Kwa kulazimisha Katiba ilhali anajua sio msimamo wa Chama.Uenezi CCM, Paul Makonda amesema sio utaratibu kwa Wastaafu kila siku kuongeaongea huku akiwashauri Wastaafu wakishapumzika watulie na walee Familia zao na kwamba kama watahitajika kwa ajili ya kazi wataitwa.