Makonda bado ana kidonda cha kutengwa, kutwezwa na kususwa na system pamoja na marafiki zake. Kazi ya uenezi itamshinda

Hao unasema walikuwa wanamtenga ndio hao waliompa kazi ya uenezi. CCM tunaanza kujipanga kwa ajili ya Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024 na Kisha Uchaguzi Mkuu 2025! Nyie bakini kupiga ramli!
Uchaguzi gani mnajipanga, kwani Tanzania Kuna uchaguzi au Kuna maonyesho ya ujinga wa mtu Mweusi kwenye box la kura?
 
Kwani hivyo vyeo kigezo Cha kuvipata ni ugenius? Hivyo vyeo vyake vyote sifa kuu ni kujua kusoma na kuandika. Na ukiweza kujipendekeza umefanikiwa. Ingekuwa Kawa rubani hapo tungeona ana maana.
 
Yani Samia ametanguliza mapenzi yake binafsi kwa kumteua mtu ambaye Marekani imempiga marufuku kukanyaga ardhi yao kwa tuhuma ya kuondolea watu haki ya kuishi!
Kwani yeye kazi ya uenezi ataifanyia marekani au Tanzagiza?

Sent from my HUAWEI KII-L22 using JamiiForums mobile app
 
Wakati wa awanu ya 5, licha ya uRC, Bashite alikuwa Rais Mwenza. Tuone awsmu ya 6 kama atakuwa Nwenezi tu au Rais Mwenza pia.
 
Lucas yupo sahihi Paul makonda ni mbunifu sana watu anafanya vitu vinavyooneka ni mzalendo sana
 
Rubbish
 
Wewe una heshimu maamuzi ya Marekani kuliko maamuzi ya Watanzania, wana ccm kama hawajaridhia na uteuzi wake tutegemee kesho kwandamana kuipinga, kitu ambacho ni impossoble, maanake makonda bando anapendwa na raia wa Tanzania.
Sema anapendwa na mpenzi wake aliyemteua na sio watanzania
 
Ngoja tuone atakuja na lipi.

Watanzania hawana hamu naye.
Kwanza wakimuona watakuwa wanakimbia
 
Wanaotetemeka kwa kuchaguliwa makonda watakuwa milembe hawawezi kuwa wazima
 
Waliofanya maamuzi wana akili zao na wanaelewa anafanya nini.

Huna details na knowledge za kutosha kuwashinda kina Kinana.
 
Hatuna kidonda mkuu.

Tuliopo benchi.

Tunaipenda nchi yetu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…