Tindo
JF-Expert Member
- Sep 28, 2011
- 63,730
- 111,542
Uchaguzi gani mnajipanga, kwani Tanzania Kuna uchaguzi au Kuna maonyesho ya ujinga wa mtu Mweusi kwenye box la kura?Hao unasema walikuwa wanamtenga ndio hao waliompa kazi ya uenezi. CCM tunaanza kujipanga kwa ajili ya Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024 na Kisha Uchaguzi Mkuu 2025! Nyie bakini kupiga ramli!