Makonda bado ana kidonda cha kutengwa, kutwezwa na kususwa na system pamoja na marafiki zake. Kazi ya uenezi itamshinda

Makonda bado ana kidonda cha kutengwa, kutwezwa na kususwa na system pamoja na marafiki zake. Kazi ya uenezi itamshinda

Hao unasema walikuwa wanamtenga ndio hao waliompa kazi ya uenezi. CCM tunaanza kujipanga kwa ajili ya Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024 na Kisha Uchaguzi Mkuu 2025! Nyie bakini kupiga ramli!
Uchaguzi gani mnajipanga, kwani Tanzania Kuna uchaguzi au Kuna maonyesho ya ujinga wa mtu Mweusi kwenye box la kura?
 
Wewe usiye Bogus mbona hata hujulikani?
Bogus anakuzidi mafanikio wewe na uko wako wote kipi bora?
Ujuaji wa kujitia utoto wa mjini lakini huna la maana unalofanya na hujulikani hata kwa mjumbe wa nyumba kumi!
Nyinyi mapimbi ndo mnachukiaga watu bila sababu!
Makonda kawa kiongozi UV-CCM Taifa, Mkuu wa Wilaya Kinondoni, Mkuu wa Mkoa Dar ea Salaam na leo Mwenezi- Big Four ndani ya Chama unamwita Bogus!
Naomba utulize kinyeo mzee maombi yako uchwara yameshindwa tena nikwambie utaendelea kushindwa!
Kwani hivyo vyeo kigezo Cha kuvipata ni ugenius? Hivyo vyeo vyake vyote sifa kuu ni kujua kusoma na kuandika. Na ukiweza kujipendekeza umefanikiwa. Ingekuwa Kawa rubani hapo tungeona ana maana.
 
Yani Samia ametanguliza mapenzi yake binafsi kwa kumteua mtu ambaye Marekani imempiga marufuku kukanyaga ardhi yao kwa tuhuma ya kuondolea watu haki ya kuishi!
Kwani yeye kazi ya uenezi ataifanyia marekani au Tanzagiza?

Sent from my HUAWEI KII-L22 using JamiiForums mobile app
 
Wakati wa awanu ya 5, licha ya uRC, Bashite alikuwa Rais Mwenza. Tuone awsmu ya 6 kama atakuwa Nwenezi tu au Rais Mwenza pia.
 
Lucas yupo sahihi Paul makonda ni mbunifu sana watu anafanya vitu vinavyooneka ni mzalendo sana
 
We juha nini? Badala ya kuthamini nchi yako eti unashughulika na mtu kukanyaga Marekani? Kupigwa marufuku Wamarekani kukanyaga Tanzania ina nguvu kuliko mtanzania kukanyaga huko kwao. Ifike wakati mjithamini kdg basi.
Malizia usemi wako kwamba...kuondolea watu haki ya kuishi na haki ya kuoana wanaume kwa wanaume. Jitambue
Rubbish
 
Wewe una heshimu maamuzi ya Marekani kuliko maamuzi ya Watanzania, wana ccm kama hawajaridhia na uteuzi wake tutegemee kesho kwandamana kuipinga, kitu ambacho ni impossoble, maanake makonda bando anapendwa na raia wa Tanzania.
Sema anapendwa na mpenzi wake aliyemteua na sio watanzania
 
Kabla ya kumpa uenezi angepewa japo uRC ambao ungempa nafasi ya kujenga urafiki na ukaribu na viongozi mbalimbali ambao walikuwa wanamkatia simu ama kugoma kupokea simu zake.

Makonda ana hasira na watu wengi ambao anapaswa kufanya nao kazi kwa sasa. Hivyo itakuwa ngumu kwa yeye kupata ufanisi. Hatowaamini tena watu hawa, na hatokuwa huru kuonesha umahiri wake kikamilifu.

Mtu sahihi ambaye yuko pending lkn anapendwa na anaiweza kazi ya uenezi ni Humphrey Polepole.
Ngoja tuone atakuja na lipi.

Watanzania hawana hamu naye.
Kwanza wakimuona watakuwa wanakimbia
 
Mtanyooka tuu maana namna mmeanza Ramli chonganishi baada ya kuona uteuzi wake ukilitetemesha Taifa kwa furaha na kuteka anga la siasa za hapa nchini na nje ya nchi.makonda ndio dawa ya upinzani uchwara wa hapa nchini uliozoea kuokoteza vihabari vya vijiweni. Anakwenda kuwasambaratisheni majukwaani na kila kona ya nchi yetu .anakwenda kula nanyi sahani moja mpaka mpige magoti kuomba msamaha .huo ndio uteuzi na mtu aliyesubiliwa kwa hamu kubwa sana na mamilioni ya watanzania kuona Makonda akirejea uongozini.kiukweli karejea kwa kishindo kikubwa sana kilicholeta mtikisiko katika mioyo ya upinzani
Wanaotetemeka kwa kuchaguliwa makonda watakuwa milembe hawawezi kuwa wazima
 
Kabla ya kumpa uenezi angepewa japo uRC ambao ungempa nafasi ya kujenga urafiki na ukaribu na viongozi mbalimbali ambao walikuwa wanamkatia simu ama kugoma kupokea simu zake.

Makonda ana hasira na watu wengi ambao anapaswa kufanya nao kazi kwa sasa. Hivyo itakuwa ngumu kwa yeye kupata ufanisi. Hatowaamini tena watu hawa, na hatokuwa huru kuonesha umahiri wake kikamilifu.

Mtu sahihi ambaye yuko pending lkn anapendwa na anaiweza kazi ya uenezi ni Humphrey Polepole.
Waliofanya maamuzi wana akili zao na wanaelewa anafanya nini.

Huna details na knowledge za kutosha kuwashinda kina Kinana.
 
Hatuna kidonda mkuu.

Tuliopo benchi.

Tunaipenda nchi yetu.
 
Back
Top Bottom