Pre GE2025 Makonda: Dereva wangu alikuwa anafunga namba za RC DSM na kutapeli watu

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Hii
Hii michezo dereva alijifunzia wapi ?
Na huo ujasiri aliutoa wapi huku akijua boss wake ni mkti wa ulinzi na usalama mkoa ?
Angetulia tu mengine yasahaulike
 
Tuendelee kunywa mtori, nyama ziko chini.
 
Like faza like son
 
Umeshindwa vipi kumfungulia kesi ili hali una ushahidi kama huu.?
Hivi unaandika hisia kama fact kweli? Kama ulichoandika ni kweli basi Tz ni nchi ya watu waoga sana. DAB ni mjinga mmoja anaetumika kutuonyesha ujinga tulionao wa Tz. Kama tuna ushahidi why hatumchukulii hatua?
 
Kumbe Ben Saanane alifariki?
Asante kwa taarifa mkuu.
Vyombo vya usalama vianze na wewe
 
Mzee wa drama
 
Mengi alikua anaenda front peke yake
 
Nyumbu mnadanganyika kirahisi sana
 
Siyo lazima uzikubali, na usipozikubali hazikufanyi wewe uonekane wa maana, kumbe na wewe ni mjinga tu
 
Ndugu Lior je unayo elimu kidogo kuhusu sheria au umeandika kwa kuwa ulihitimu la Saba B? Kwenye jinai parties ni Republic ndiyo plaintiff na individual ndiyo defendant. Hakuna yeyote mwenye capacity ya kufungua shtaka la jinai dhidi ya Makonda mpaka kwa ruksa ya DPP
 
Yule jambazi asiyejulikana amejiweka peupe peee bila chenga!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…