MTINGIJOLI
JF-Expert Member
- Aug 19, 2014
- 1,455
- 1,473
Na Bado Kilaza[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Eti Ningejua Mambo Ya Mahakamani, Mzee Niko Kwenye field ya Sheria zaidi ya 20yrs
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwenda mahakamani kwa ajili ya umiliki au kuchafuliwa jina?Muulize wakili wake Alex Mgongolwa ambae anadai mteja wake amemtuma aje public kueleza dhamira yao ya kwenda mahakamani.
Kwamba mheshimiwa anauza unga? dah makonda aombe msamaha tu..Ambae Alisema Ni muuza madawa[emoji16]
Nape huyuhuyu aliyetishiwa Bastola na lile kundi la Wasiojulikana lililokuwa likiongozwa na Makonda?Na waziri wa maswala ya habari ni Nape Nauye
ππGari aina gani , IST?Hii issue ukimwangalia Baashite unaona wazi ana akili kama za wale madada wanaopewa funguo za gari bila kadi!!
Duh kama ameionesha hii hati hadharani , hajitambuiDOCUMENTS (IT) LOOKS FAKE...!
sitaki niwe kama Dr. Slaa kusema NAUDHIKA...
Kweli kuna kitu hakiko sawa kama kawaida ya Bashite.
Mfano; forms umeshaiweka Passport pictures. Swali ni je. Kwanini #Muhuri wa #Advocate uwe chini ya picha badala ya Passport za wahusika wote #kupigwa Mihuri juu yake. Inaelekea forms na signatures zilighushiwa na mihuri, Passports za wahusika zikatengenezwa & kubandikwa.
#Jpm alimbeba katika kughushi vyeti fake
#This_time_around_noooo..!
#Time_will_tell
#Njia_ya_Mwingi_fupi
#Michongo_hailipiView attachment 2148487
Umenikumbusha ile jinsi ya kutoboka, pale kwy msiba wa Mzee mengi pale Kilimanjaro. Wakamuita madhabauni
Mimi pamoja na kusota shule( chuo)miaka mitano nnamiliki Subaru( Forester) halafu kenge tu aliyefoji vyeti nakusomea uvuvi uwani kwake amejaza magari ya kifahariπππ!Asante sana Mungu kwa tarehe 17/3/2021GSM sio mtumishi wa umma, sisi umma tuliokupa ukuu wa wilaya na mkoa ndio tunakuhoji, ulipataje Mali hiyo? Tume ya Maadili wanalijua? Kama wewe kidume wataje hao watu tukumalizie, hapo nyumbani umejaza magari ya kudhulumu na ya wizi, umejengea wazazi wako maghorofa huko mwanza, mkweo Ngara, umeghushi vyeti vya elimu.
Huna pa kutokea na wananchi Wana hamu sana kukuona mahakamani.
Na siku Samia anakupeleka mahakamani ndiyo siku anazoa asilimia 95 ya kura za uraisi, hajajua tu kwamba taifa linaizungukia nyumba yako kama mbwa wenye njaa wanavyomwona sungura ndani ya banda
Mie naona akamatwe afungwe miaka 30 halafu ndio afunguliwe kesi za makosa yake yote.Huyu akamatwe na kunyongwa tu, hana faida na nchi....aliumiza sana wananchi.
Mimi pamoja na kusota shule( chuo)miaka mitano nnamiliki Subaru( Forester) halafu kenge tu aliyefoji vyeti nakusomea uvuvi uwani kwake amejaza magari ya kifahariπππ!Asante sana Mungu kwa tarehe 17/3/2021
Pumbavu zakoMie naona akamatwe afungwe miaka 30 halafu ndio afunguliwe kesi za makosa yake yote.
Hata akipata wakili mzuri na kushinda kesi, basi awe ameshaonja kunyea kwenye ndoo.
Mbona Magufuli aliwahenyesha? Sasa ndio wanapumuaWanaume wanajipigia pasi tu. Anatulizwa kifuani, anabinywa, anapewa mwanaume mwengine. Makonda alikua mtu flani wa Cheo, ila zaidi hakuweza kukaa na hawa mamafia. Hawa GSM ndio walimpa ujeuri, sasa anataka kushindana na wanaume. Wale GSM, GHARIB YULE SALAAH na Vichwa vingi sana vinavyowazunguka ni wajeuri. Hata mama Samia anajua hiki kikosi, hadi watoto wao mama samia anajua, hawa ni Miamba. Wamejitengeneza.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]HUENDA NGUVU ZA KICHAWI ZIKATUMIKA HAPA PANDE ZOTE MBILI KAENI IMARA /FREQ ZINAONYESHA YUPO MMOJA HAPO ATAKWENDA MALAWI VERY SOON.
Mambo ya nyakatiYaani Makonda anachezeshwa na kundi kubwa sana, na alikuwa anasakwa kuliko sabaya, Sasa hivi hawezi kutoa amri hata kwa mgambo wa wilaya ya kakonko
Hivi huyu Paulo Makonda Bashite anafikiri bado tupo utawala wa kidikteta wa kakake R.I.P. John Joseph Pombe Magufuli?Makonda mbona unabwekea mbali?
Umetakiwa kupeleka vielelezo na sio kutaja majina ya watu walio nyuma au mbele...π
Bashite is a lunatic....anafikiri bado tiko utawala wa Mwenda zake...!!Shame on him!Bashite bana..
Sasa "uozo" wa GSM unahusiana nini na kiwanja tajwa? ππ
Asichofahamu kutisha (coercion ama blackmail) pia ni kosa kisheria, tena kubwa zaidi...
Hahaha, ila Makonda ile ilikuwa zaidi ya aibu! Kwangu ni moja ya failures nzito za chuma. Mbaya zaidi anavyopenda kujiweka kwenye ulokole na matendo yake ni tofauti mno.Wanaoulizaga Legacy aliyoacha jiwe ni ipi. Ndio hii sasa ya kina Makonda na Sabaya
Wanajuana bora waumbuane ili sisi raia tujue kweli nyingi zilizojificha!Kwenye hili sakata la aliyekuwa Mkuu wa mkoa wa Dar na GSM yataibuka mengi Leo Makonda katishia kusema maovu ya GSM hii inaonesha wazi kuwa wote Wawili ni Matapeli wanajuana jinsi walivuokubaliana kufanya maovu yao.
Huenda GSM anafanya biashara za magendo ambazo Makonda anazijua ila alikuwa kamfichia madhambi yake. Acheni vyuma viumane[emoji23][emoji23][emoji23]