Makonda: Ghalib usinilazimishe kusema uozo wako, achia mali yangu. Walioko nyuma yako nawajua

Makonda: Ghalib usinilazimishe kusema uozo wako, achia mali yangu. Walioko nyuma yako nawajua

Muulize wakili wake Alex Mgongolwa ambae anadai mteja wake amemtuma aje public kueleza dhamira yao ya kwenda mahakamani.
Kwenda mahakamani kwa ajili ya umiliki au kuchafuliwa jina?
 
Na waziri wa maswala ya habari ni Nape Nauye
Nape huyuhuyu aliyetishiwa Bastola na lile kundi la Wasiojulikana lililokuwa likiongozwa na Makonda?
cosbyhmm (1).png
 
DOCUMENTS (IT) LOOKS FAKE...!
sitaki niwe kama Dr. Slaa kusema NAUDHIKA...

Kweli kuna kitu hakiko sawa kama kawaida ya Bashite.
Mfano; forms umeshaiweka Passport pictures. Swali ni je. Kwanini #Muhuri wa #Advocate uwe chini ya picha badala ya Passport za wahusika wote #kupigwa Mihuri juu yake. Inaelekea forms na signatures zilighushiwa na mihuri, Passports za wahusika zikatengenezwa & kubandikwa.
#Jpm alimbeba katika kughushi vyeti fake
#This_time_around_noooo..!
#Time_will_tell
#Njia_ya_Mwingi_fupi
#Michongo_hailipiView attachment 2148487
Duh kama ameionesha hii hati hadharani , hajitambui
 
GSM sio mtumishi wa umma, sisi umma tuliokupa ukuu wa wilaya na mkoa ndio tunakuhoji, ulipataje Mali hiyo? Tume ya Maadili wanalijua? Kama wewe kidume wataje hao watu tukumalizie, hapo nyumbani umejaza magari ya kudhulumu na ya wizi, umejengea wazazi wako maghorofa huko mwanza, mkweo Ngara, umeghushi vyeti vya elimu.



Huna pa kutokea na wananchi Wana hamu sana kukuona mahakamani.

Na siku Samia anakupeleka mahakamani ndiyo siku anazoa asilimia 95 ya kura za uraisi, hajajua tu kwamba taifa linaizungukia nyumba yako kama mbwa wenye njaa wanavyomwona sungura ndani ya banda
Mimi pamoja na kusota shule( chuo)miaka mitano nnamiliki Subaru( Forester) halafu kenge tu aliyefoji vyeti nakusomea uvuvi uwani kwake amejaza magari ya kifahari😀😀😀!Asante sana Mungu kwa tarehe 17/3/2021
 
Huyu akamatwe na kunyongwa tu, hana faida na nchi....aliumiza sana wananchi.
Mie naona akamatwe afungwe miaka 30 halafu ndio afunguliwe kesi za makosa yake yote.

Hata akipata wakili mzuri na kushinda kesi, basi awe ameshaonja kunyea kwenye ndoo.
 
Mimi pamoja na kusota shule( chuo)miaka mitano nnamiliki Subaru( Forester) halafu kenge tu aliyefoji vyeti nakusomea uvuvi uwani kwake amejaza magari ya kifahari😀😀😀!Asante sana Mungu kwa tarehe 17/3/2021

Hii tarehe wengi kwa kweli hatutakaa tuisahau, hatimaye tanzania ikapumua
 
Mie naona akamatwe afungwe miaka 30 halafu ndio afunguliwe kesi za makosa yake yote.

Hata akipata wakili mzuri na kushinda kesi, basi awe ameshaonja kunyea kwenye ndoo.
Pumbavu zako
 
HUENDA NGUVU ZA KICHAWI ZIKATUMIKA HAPA PANDE ZOTE MBILI KAENI IMARA /FREQ ZINAONYESHA YUPO MMOJA HAPO ATAKWENDA MALAWI VERY SOON.
 
Wanaume wanajipigia pasi tu. Anatulizwa kifuani, anabinywa, anapewa mwanaume mwengine. Makonda alikua mtu flani wa Cheo, ila zaidi hakuweza kukaa na hawa mamafia. Hawa GSM ndio walimpa ujeuri, sasa anataka kushindana na wanaume. Wale GSM, GHARIB YULE SALAAH na Vichwa vingi sana vinavyowazunguka ni wajeuri. Hata mama Samia anajua hiki kikosi, hadi watoto wao mama samia anajua, hawa ni Miamba. Wamejitengeneza.
Mbona Magufuli aliwahenyesha? Sasa ndio wanapumua

Sema kwa vile kafariki ndo wanae wanateseka ila wakati wake hao miamba walitafutana
 
Makonda mbona unabwekea mbali?

Umetakiwa kupeleka vielelezo na sio kutaja majina ya watu walio nyuma au mbele...😂
Hivi huyu Paulo Makonda Bashite anafikiri bado tupo utawala wa kidikteta wa kakake R.I.P. John Joseph Pombe Magufuli?
Makonda aache kujificha nyuma ya kutishia watu@ KUFICHUA UOZA WA MTU. Nchi inaendeshwa kwa sheria na taratibu siyo vitisho. Tunajuwa Makonda akiwa RC alitishia watu na kuwabambikia kesi za Madawa ya Kulevya wakiwemo kina Manji, Askofu Gwajima n.k.
Iwapo anajua uoza wa GSM alikuwa wapi siku zote kuanika huo uoza? Yeye kama Makonda hiyo Plot aliipata katika mazingira gani? Je, alinunua/kuuziwa na nani na alilipa bei gani?
Vithibitisho hivo viko wapi?
 
Bashite bana..

Sasa "uozo" wa GSM unahusiana nini na kiwanja tajwa? 😀😀

Asichofahamu kutisha (coercion ama blackmail) pia ni kosa kisheria, tena kubwa zaidi...
Bashite is a lunatic....anafikiri bado tiko utawala wa Mwenda zake...!!Shame on him!
Tunataka atuambie alivamia Clouds kwa maelekezo ya nani ?
Huyu anastahili kuwa lupango tu kama yule kichaa mwenzie Maasai Ole wa Sabaya!!
 
Kwenye hili sakata la aliyekuwa Mkuu wa mkoa wa Dar na GSM yataibuka mengi Leo Makonda katishia kusema maovu ya GSM hii inaonesha wazi kuwa wote Wawili ni Matapeli wanajuana jinsi walivuokubaliana kufanya maovu yao.
Huenda GSM anafanya biashara za magendo ambazo Makonda anazijua ila alikuwa kamfichia madhambi yake. Acheni vyuma viumane[emoji23][emoji23][emoji23]
Wanajuana bora waumbuane ili sisi raia tujue kweli nyingi zilizojificha!
 
Back
Top Bottom