Makonda: Ghalib usinilazimishe kusema uozo wako, achia mali yangu. Walioko nyuma yako nawajua

Nyie shangilieni tu lakini najua mneona ni jinsi Gani wakubwa wanavyoikata keki ya taifa kwa vidole, Bora wangetumia hata kisu ingekatika bila punje nyingi lakini wanataka punje zimwagike nyingi ili muone wanyonge na hamna la kufanya zaidi ya kubweka tu huku jukwaan
 
πŸ˜„πŸ˜„πŸ˜„we mwenyewe unafokaπŸ˜– ukiwa mtandaoni tena kwa id fake.


kusema vile haimaanishi nipo sukuma yako hiyoπŸ˜„πŸ˜„

namaanisha ni lini mtatoka uvinguni huko? hata matokeo ya uchafuzi mliongelea mkiwa uvunguni πŸ˜„πŸ˜„

trust me my point is too much hurt buddieπŸ˜„πŸ˜„πŸ˜„ bt is a real.
 
GSM sio wasafi na wala Makonda sio msafi.
Ndio maana kakimbilia Yanga ili kikinuka makomandoo wa Yanga na Manara wao wanaandamane au waanze kutujazia server kwa kumetete GSM ambao hata serikali inawajua kuwa sio waadilifu kabisa na wakwepaji kodi wakubwa ,hawa GSM ni mafia gang.
 
Umeona eeh! Naona hata tamko limesita kumtaja kwa jina
πŸ˜„πŸ˜„πŸ˜„πŸ˜„ na wanaomtusi kupost, kulaani yaani ni wa ID fakes πŸ˜„πŸ˜„πŸ˜„

ila mwamba anawajibu kwa AC og kimafumbo πŸ˜„πŸ˜„πŸ˜„dah
 
Subiri mambo yanaenda taratibu tu, yani kinyago tuchonge wenyewe ndio kitutishe?

Huyu anatafunwa taratibu, aliidharau ya kubenea hajajua Ile kesi ilikuwa Kama ya kuchokoza tu, Ile imelipiwa na matajiri wanaommaindi huyu dogo.

Sasa anajiingiza kesi ya kiwanja ya GSM bila kujua jamaa wamekaa na watu wenye akili wanamvuta taratibu kaweka mkataba wazi mkataba ambao upo fake kabisa yani mhuri wa wakili upo chini ya picha ya makonda na mke wa Ghalib pamoja na picha ya Ghalib mwenyewe hii umewahi kuona wapi?????

Halafu mkataba hauna proof ya malipo ya awali na aliyomalizia πŸ˜ƒπŸ˜ƒ dogo ni fala kajikuta watu wanamtafuta umiliki wake hadi Wizara ya Ardhi kumbe kiwanja kinasomeka jina la Ghalib.

Sasa kama alinunua aonyeshe malipo alivyofanya kwa kuleta receipts pamoja na malipo ya capital gain.

Kwanza Kama alinunua bila kufanya transfer ina maana ile kesi ya kwamba alikuwa anatumia madaraka vibaya ndio imepata proof maana hana maelezo ya kutosha ilikuwaje Ghalib alimpa kiwanja Kama anavyodai ?

He haiprove kwamba alitumia madaraka vibaya? Imagine hakufanya transfer sababu Magufuli angejua maana alikuwa anapitia mali za viongozi wote.

Anazidi kujichimbia kabiri na watu wanaenda nae taratibu utasikia watu wanajiunga kwenye kesi ya Kubenea. Subiri tu wapo wanakuja dogo wanamtafuna taratibu.

Huyu ni Kama Sabaya alitiwa ndimu na watu akavimba fuvu, leo ananyea debe peke yake.

Mnaomshauri mwambieni ukweli msimtie ndimu anafungwa au watamfilisi zile mali zote. Makonda sio wa kumiliki viwanja name Dodoma kwenye block moja, nyumba masaki, nyumba Ada Estate, nyumba kigamboni, nyumba mbweni Yani kwa mshahara upi wa RC? Na ukichukulia ameupata uRC ndani ya miaka kadhaa tu na kabla hakuwa na kitu.

Mshaurini sahihi huu sio muda wa kuvimba kama ana akili amalozane na watu maana walikuwa wanaangalia upepo kama mama anamsapoti kumbe mama Hana mpango nae amemuacha ajikaange kwa mafuta yake mwenyewe.

Akili kichwani
 
Mkuu wewe umeumbiwa kutype kishabiki tu bila kujua nani anaemchokoza mwenzake ni km ya uchafuzi mwaka juzi yako wapi leo hii ni wa moja.

huyo unaemtetea kiwanda kimeungua akijua anamtengenezea chuki bashite il aendelee kuonekana mwema. Yanga wanajua watapata hasara kiasi gani na sio hyo GSM

kumbe anazidi kumjengea mnara wakuogopwa mzidi Kumchafua mkiwa uvunguni πŸ˜„πŸ˜„

ndio maana nasema hamtaacha kumwongelea uvunguni coz hamjui vizuri ila mnapapasa.
 
Umri na ufahamu ndio tunatofautiana youngman. Kua uyaone.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…