naiman64
JF-Expert Member
- Nov 22, 2013
- 6,961
- 5,460
Wanaogopa uozo wao utawekwa hadhariMakonda amekuwa tishio sijui kwanini
Wengi wanamsema vibaya wakiwa uvunguni mwa kitanda
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wanaogopa uozo wao utawekwa hadhariMakonda amekuwa tishio sijui kwanini
Wengi wanamsema vibaya wakiwa uvunguni mwa kitanda
Kama alivyotoa nani kwa nani?Kama ulitoa kwa moyo kwanini udai?
Kweli kabisa. Kama ilikuwepo.Pumbavu zako
😄😄😄we mwenyewe unafoka😖 ukiwa mtandaoni tena kwa id fake.Picha inaanza subiri Kuna siku utashindwa kuongea haya. Unajifanya as if hazikuwepo enzi zake anatanua matako yake .
Subiri Yani hii muvi imeanzishwa mbali sana aisee. Najua sukumagang mnamtetea sababu alikuwa mmoja wa makerubi wa mungu wenu aliyekufa na ameoza.
Tulieni mnacheza na watu wenye akili sana sio wachunga ng'ombe mliokuja mjini mngetulia muusome mji Ila mmekosea sana hatutakosea kuweka mchunga mbuzi maishani.
😄😄yaani skuizi anaogopwa kuzidi rashidWanaogopa uozo wao utawekwa hadhari
Ndio maana kakimbilia Yanga ili kikinuka makomandoo wa Yanga na Manara wao wanaandamane au waanze kutujazia server kwa kumetete GSM ambao hata serikali inawajua kuwa sio waadilifu kabisa na wakwepaji kodi wakubwa ,hawa GSM ni mafia gang.GSM sio wasafi na wala Makonda sio msafi.
kwahyo ni mwamvuli bosi😄Bado haaminiki kama kweli nguvu zimeisha ama ndo anatumika kama chambo ili wengi wajae.
😄😄😄😄 na wanaomtusi kupost, kulaani yaani ni wa ID fakes 😄😄😄Umeona eeh! Naona hata tamko limesita kumtaja kwa jina
Subiri mambo yanaenda taratibu tu, yani kinyago tuchonge wenyewe ndio kitutishe?😄😄😄we mwenyewe unafoka😖 ukiwa mtandaoni tena kwa id fake.
kusema vile haimaanishi nipo sukuma yako hiyo😄😄
namaanisha ni lini mtatoka uvinguni huko? hata matokeo ya uchafuzi mliongelea mkiwa uvunguni 😄😄
trust me my point is too much hurt buddie😄😄😄 bt is a real.
Mkuu wewe umeumbiwa kutype kishabiki tu bila kujua nani anaemchokoza mwenzake ni km ya uchafuzi mwaka juzi yako wapi leo hii ni wa moja.Subiri mambo yanaenda taratibu tu, yani kinyago tuchonge wenyewe ndio kitutishe?
Huyu anatafunwa taratibu, aliidharau ya kubenea hajajua Ile kesi ilikuwa Kama ya kuchokoza tu, Ile imelipiwa na matajiri wanaommaindi huyu dogo.
Sasa anajiingiza kesi ya kiwanja ya GSM bila kujua jamaa wamekaa na watu wenye akili wanamvuta taratibu kaweka mkataba wazi mkataba ambao upo fake kabisa yani mhuri wa wakili upo chini ya picha ya makonda na mke wa Ghalib pamoja na picha ya Ghalib mwenyewe hii umewahi kuona wapi?????
Halafu mkataba hauna proof ya malipo ya awali na aliyomalizia 😃😃 dogo ni fala kajikuta watu wanamtafuta umiliki wake hadi Wizara ya Ardhi kumbe kiwanja kinasomeka jina la Ghalib.
Sasa kama alinunua aonyeshe malipo alivyofanya kwa kuleta receipts pamoja na malipo ya capital gain.
Kwanza Kama alinunua bila kufanya transfer ina maana ile kesi ya kwamba alikuwa anatumia madaraka vibaya ndio imepata proof maana hana maelezo ya kutosha ilikuwaje Ghalib alimpa kiwanja Kama anavyodai ?
He haiprove kwamba alitumia madaraka vibaya? Imagine hakufanya transfer sababu Magufuli angejua maana alikuwa anapitia mali za viongozi wote.
Anazidi kujichimbia kabiri na watu wanaenda nae taratibu utasikia watu wanajiunga kwenye kesi ya Kubenea. Subiri tu wapo wanakuja dogo wanamtafuna taratibu.
Huyu ni Kama Sabaya alitiwa ndimu na watu akavimba fuvu, leo ananyea debe peke yake.
Mnaomshauri mwambieni ukweli msimtie ndimu anafungwa au watamfilisi zile mali zote. Makonda sio wa kumiliki viwanja name Dodoma kwenye block moja, nyumba masaki, nyumba Ada Estate, nyumba kigamboni, nyumba mbweni Yani kwa mshahara upi wa RC? Na ukichukulia ameupata uRC ndani ya miaka kadhaa tu na kabla hakuwa na kitu.
Mshaurini sahihi huu sio muda wa kuvimba kama ana akili amalozane na watu maana walikuwa wanaangalia upepo kama mama anamsapoti kumbe mama Hana mpango nae amemuacha ajikaange kwa mafuta yake mwenyewe.
Akili kichwani
Umri na ufahamu ndio tunatofautiana youngman. Kua uyaone.mkuu ww umeumbiwa kutyp kishabiki tu bila kujua nani anaemchokoza mwenzake ni km ya uchafuzi mwaka juzi yako wapi leo hii ni wa moja.
huyo unaemtetea kiwanda kimeungua akijua anamtengenezea chuki bashite il aendelee kuonekana mwema. Yanga wanajua watapata hasara kiasi gani na sio hyo GSM
kumbe anazidi kumjengea mnara wakuogopwa mzidi Kumchafua mkiwa uvunguni 😄😄
ndio maana nasema hamtaacha kumwongelea uvunguni coz hamjui vizuri ila mnapapasa.
Bashite anaishi kitapeli snKingai anauziwa kesi
Arudishe mali za watu mpuuzi huyuBaba wa GSM ndiye alikuwa mtetezi wa Makonda, kafariki juzi tu hata hajaoza yameanza kuibuka mambo.!
Bashite ni janja janja snBashite bana..
Sasa "uozo" wa GSM unahusiana nini na kiwanja tajwa? 😀😀
Asichofahamu kutisha (coercion ama blackmail) pia ni kosa kisheria, tena kubwa zaidi...