Makonda: Ghalib usinilazimishe kusema uozo wako, achia mali yangu. Walioko nyuma yako nawajua

Makonda ni ganda la mua limeisha utamu hana faida wala madhara kwa matajiri
 
Tume itakayoundwa ichunguze pia 'udhulamati wa maisha ya watu' uliofanywa na huyu kenge!
 
Kwa mazingira yalivyo huenda hii 'black mail' ikafanya kazi na wakaacha kumsumbua.
Kwa sahivi hakuna wa kumsikiliza Bashite.
Kila mtu anaona analialia na kutapatapa tu
Kiufupi ni zamu yake kuteseka tu!
 
Huu ndio wakati sasa wa aliyewaliza watu kulia yeye
 

Hapo nyuma Kuna akili ndogo ya Msoga Gang.Yaan Msoga gang wanafikili nchi hii ni yao.Huyo kijana mswahili ,amewekwa pale wizara ya nyumba,sio kusaidia Taifa bali kuleta ujinga ujinga.Itafika mwisho tu.Siku yaja.
 
Huyu Mama bado ni makamu wa rais, maamuzi yote anafanya JK, si unaona hata wale viongozi vilaza waliofukuzwa awamu iliyopita kwa kutojuwa kazi na unafki wamerudishwa.
Mbona Kilaza namba moja enzi za JPM alibakia na ukilaza wake aka Bashite. Sasa katika kipindi chenye vilaza wengi ambao walitumia akili kisoda nguvu kubwa ni enzi za Jpm
 
Alipata wapi mali
Hilo ndiyo swali la msingi.
Hii nji imejaa hata Waandishi wa Habari makajanja tu!
Hivi media zetu zinashindwaje kuandika investigative article itakayohoji huyu X-rc Makonda alipataje kuwanja kile? Alinunua? Nani alimuuzia, Alipewa na nani kwa maxingira gani? Hongo, rushwa, zawadi au alipora?
Makonda from Division Zero Bashite mpaka kumiliki kiwanja eneo la watu wenye Fedha how possible? Aulizwe.
 
Ccm inawalinda wahalifu
 
siasa bwana? jamaa ni mwenezi una taarifa hzo?
 
Uliona tofauti, unaijua siasa weye?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…