Makonda: Ghalib usinilazimishe kusema uozo wako, achia mali yangu. Walioko nyuma yako nawajua

Makonda: Ghalib usinilazimishe kusema uozo wako, achia mali yangu. Walioko nyuma yako nawajua

Makonda ni ganda la mua limeisha utamu hana faida wala madhara kwa matajiri
 
Tume itakayoundwa ichunguze pia 'udhulamati wa maisha ya watu' uliofanywa na huyu kenge!
 
Kwa mazingira yalivyo huenda hii 'black mail' ikafanya kazi na wakaacha kumsumbua.
Kwa sahivi hakuna wa kumsikiliza Bashite.
Kila mtu anaona analialia na kutapatapa tu
Kiufupi ni zamu yake kuteseka tu!
 
Huu ndio wakati sasa wa aliyewaliza watu kulia yeye
 
Naam Uozo Usemwe na walio nyuma yake wasemwe na wote waliokosea hata ikiwemo wewe (Makonda) sheria ifuate mkondo wake muwajibike..., Huenda kufichiana Uozo ndio kulipelekea wewe kupewa hicho kiwanja

Hii nchi haipaswi kuendeshwa kimafioso

The biggest looser hapa ni Tanzania kama nchi, yaani hii nchi imekuwa kama Teleno

Naam Uozo Usemwe na walio nyuma yake wasemwe na wote waliokosea hata ikiwemo wewe (Makonda) sheria ifuate mkondo wake muwajibike..., Huenda kufichiana Uozo ndio kulipelekea wewe kupewa hicho kiwanja

Hii nchi haipaswi kuendeshwa kimafioso

The biggest looser hapa ni Tanzania kama nchi, yaani hii nchi imekuwa kama Telenovella
Hapo nyuma Kuna akili ndogo ya Msoga Gang.Yaan Msoga gang wanafikili nchi hii ni yao.Huyo kijana mswahili ,amewekwa pale wizara ya nyumba,sio kusaidia Taifa bali kuleta ujinga ujinga.Itafika mwisho tu.Siku yaja.
 
Huyu Mama bado ni makamu wa rais, maamuzi yote anafanya JK, si unaona hata wale viongozi vilaza waliofukuzwa awamu iliyopita kwa kutojuwa kazi na unafki wamerudishwa.
Mbona Kilaza namba moja enzi za JPM alibakia na ukilaza wake aka Bashite. Sasa katika kipindi chenye vilaza wengi ambao walitumia akili kisoda nguvu kubwa ni enzi za Jpm
 
Alipata wapi mali
Hilo ndiyo swali la msingi.
Hii nji imejaa hata Waandishi wa Habari makajanja tu!
Hivi media zetu zinashindwaje kuandika investigative article itakayohoji huyu X-rc Makonda alipataje kuwanja kile? Alinunua? Nani alimuuzia, Alipewa na nani kwa maxingira gani? Hongo, rushwa, zawadi au alipora?
Makonda from Division Zero Bashite mpaka kumiliki kiwanja eneo la watu wenye Fedha how possible? Aulizwe.
 
Ccm inawalinda wahalifu
 
GSM sio mtumishi wa umma, sisi umma tuliokupa ukuu wa wilaya na mkoa ndio tunakuhoji, ulipataje Mali hiyo? Tume ya Maadili wanalijua?

Kama wewe kidume wataje hao watu tukumalizie, hapo nyumbani umejaza magari ya kudhulumu na ya wizi, umejengea wazazi wako maghorofa huko mwanza, mkweo Ngara, umeghushi vyeti vya elimu.

Huna pa kutokea na wananchi Wana hamu sana kukuona mahakamani.

Na siku Samia anakupeleka mahakamani ndiyo siku anazoa asilimia 95 ya kura za uraisi, hajajua tu kwamba taifa linaizungukia nyumba yako kama mbwa wenye njaa wanavyomwona sungura ndani ya banda
siasa bwana? jamaa ni mwenezi una taarifa hzo?
 
Nimeamini jamaa ni "Zero Brain", vyote kwa jinsi alivyomilikishwa mali na GSM pamoja na anavyolihandle hili suala..

Kama sheria ipo upande wake, haina haja ya "kupiga mikwara" au "kutunishiana misuli" handarani sababu mahakama ipo..

Nauona mwisho mbaya sana kwake utakaosababishwa na "ukilaza" wake..
Uliona tofauti, unaijua siasa weye?
 
Back
Top Bottom