Makonda: Ghalib usinilazimishe kusema uozo wako, achia mali yangu. Walioko nyuma yako nawajua

Makonda: Ghalib usinilazimishe kusema uozo wako, achia mali yangu. Walioko nyuma yako nawajua

Leo nae anajua walio nyuma ya watu?

Yeye pia tulikuwa tunajua nani yuko nyuma yake
[emoji23][emoji23][emoji23]Kutesa kwa zamu kweli

Leo Boss aliekuwa anakula raha kuliko wote nae analilia kiwanja seriously ?
Nilidhani atakuwa analala Burj Al Khalfa na kuendesha Bentley huko kumbe nae kaporomoka
Kweli ardhi hii usitembee juu yake kwa kuringa itakuja kukubana siku moja
Naunga mkono hoja
 
Chenga zinaanzia hapa.
====

Kuhusu mteja wake kuwa na uhusiano wa karibu na mlalamikaji, alisema, "mteja wangu na mtu ambaye kwenye mitandao amekuwa akizungumza kwamba anamiliki eneo hilo, mteja wangu katika kipindi anachozungumza huyo mtu cha mwaka 2012 alikuwa hamfahamu kabisa huyo mtu."

"Mimi leo nathibitisha uhalali wa miliki, unaweza ukawa na uhusiano na mtu lakini sio wa kibiashara wa kuuziana na kuhamishiana miliki licha ya kuingia katika makubaliano ya kuhamishiana miliki,"
 
Walionyuma yake? Wewe umejitoa toka lini
Makonda atayalishe vielelezo vya uhalali wa yeye kumiliki kiwanja hicho kwani vitahitajika mahakamani!! Asijifiche kwenye kivuli cha ccm kwani ccm haifugi majambazii!!! Hao anaowataja kuwa wako nyuma ya hao maadui zake kwani wao sio ccm? Kesi ya kiwanja itahukumiwa mahakamani na kama anawajua hao matapeli alikuwa wapi siku zote mpaka alipoumbuliwa juu ya hicho kiwanja ndio akafahamu utapeli wa hao wafanya biashara?

Hii kesi isimalizwe nje ya mahakama ; kwani tutakosa kuyajua mengi yaliyokuwa yanatendeka kinyume na sheria za nchi, kwani Makonda kesha anza kuimba kabla hata ya kufinywa!!!
 
Chenga zinaanzia hapa.
====

Kuhusu mteja wake kuwa na uhusiano wa karibu na mlalamikaji, alisema, "mteja wangu na mtu ambaye kwenye mitandao amekuwa akizungumza kwamba anamiliki eneo hilo, mteja wangu katika kipindi anachozungumza huyo mtu cha mwaka 2012 alikuwa hamfahamu kabisa huyo mtu."

"Mimi leo nathibitisha uhalali wa miliki, unaweza ukawa na uhusiano na mtu lakini sio wa kibiashara wa kuuziana na kuhamishiana miliki licha ya kuingia katika makubaliano ya kuhamishiana miliki,"
Faili la aliyempiga risasi Lissu na aliyemmaliza Ben Saanane linafutwa vumbi ili lije kisutu
 
Leo Makonda yuko tayari kutoa ushirikiano wakati wa kipindi cha enzi zao na mwendazake alipovamia kituo cha TV na redio alipotakiwa kutoa ushirikiano namna alivyovamia kituo hicho,alikula kona kwa kutokea mlango wa nyuma.
 
Comment kwenye hiyo page yake ya instagram alipoposti zinatoa majibu kua hamna anaemtetea kuhusu iyo ishu pole yake majambazi wenzie wamemzidi kete[emoji23][emoji23]
 
Makonda umeambiwa toa vithibitisho vyako,hujaambiwa utaje uozo wake wala walio nyuma yake.

Mwenzako keshatoa vielelezo vyake,Na wewe toa vyako.

HALAFU KUMBE NAWE NI MUOVU ! KUMBE GSM ALIKUWA NA UOVU MWINGI NAWE UKAAMUA KUMFICHIA UOVU WAKE HUKU AKINA GWAJIMA NA YULE MFADHILI WA YANGA UKIWALAZA SELO KWA MADAWA YA KULEVYA!!!

KINYAGO ULICHOKIFUGA SASA KIMEKUGEUKIA WEWE,PAMBANA NA HALI YAKO MKUU.
 
Ndio maana mafisadi yaliyobobea utajiri wao wanaishi nao kwa amani kwa kutotafuta ugomvi usio na kichwa wala miguu.

Mtu kama Rostam au Lowassa wangetaka visasi ingekuwaje leo, hao GSM wanatafuta publicity ambayo siyo kabisa.
 
Back
Top Bottom