Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nimeshangaa sana aisee
Kajisahaulisha
Naunga mkono hojaLeo nae anajua walio nyuma ya watu?
Yeye pia tulikuwa tunajua nani yuko nyuma yake
[emoji23][emoji23][emoji23]Kutesa kwa zamu kweli
Leo Boss aliekuwa anakula raha kuliko wote nae analilia kiwanja seriously ?
Nilidhani atakuwa analala Burj Al Khalfa na kuendesha Bentley huko kumbe nae kaporomoka
Kweli ardhi hii usitembee juu yake kwa kuringa itakuja kukubana siku moja
Makonda atayalishe vielelezo vya uhalali wa yeye kumiliki kiwanja hicho kwani vitahitajika mahakamani!! Asijifiche kwenye kivuli cha ccm kwani ccm haifugi majambazii!!! Hao anaowataja kuwa wako nyuma ya hao maadui zake kwani wao sio ccm? Kesi ya kiwanja itahukumiwa mahakamani na kama anawajua hao matapeli alikuwa wapi siku zote mpaka alipoumbuliwa juu ya hicho kiwanja ndio akafahamu utapeli wa hao wafanya biashara?Walionyuma yake? Wewe umejitoa toka lini
Naunga mkono hoja
Faili la aliyempiga risasi Lissu na aliyemmaliza Ben Saanane linafutwa vumbi ili lije kisutuChenga zinaanzia hapa.
====
Kuhusu mteja wake kuwa na uhusiano wa karibu na mlalamikaji, alisema, "mteja wangu na mtu ambaye kwenye mitandao amekuwa akizungumza kwamba anamiliki eneo hilo, mteja wangu katika kipindi anachozungumza huyo mtu cha mwaka 2012 alikuwa hamfahamu kabisa huyo mtu."
"Mimi leo nathibitisha uhalali wa miliki, unaweza ukawa na uhusiano na mtu lakini sio wa kibiashara wa kuuziana na kuhamishiana miliki licha ya kuingia katika makubaliano ya kuhamishiana miliki,"
Come to me then rename yourselfSomebody i loved him much but it has remained history(,to yeye was meaning love to him)
Ilikuwa ni Mbowe vs CCM woteIla hii Nchi hatupoi tumetoka kwa bro Mbowe Vs Mahakama sasa BashiteVsGSM
inaonesha wamebadili gia mwezake sabaya kashazoea Hali halisi ya gerezaniWalionyuma yake? Wewe umejitoa toka lini
Anayetaka kutaja uozo, hata jina lake ni uozo, jina fekiHivi ana maana gani kusema GSM usinilazimishe kusema uozo wako”?
Kweli kuna watu hawana aibu
Ila tutasikia mengi na hao wakianza kusema uozo wake
Yaani waanze kusutana kama madem daaa
Anayetaka kutaja uozo, hata jina lake ni uozo, jina feki